KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Nakuwa nikifuatilia Bunge kwa makini sana na uongozi wa Mwenyekiti wa Muda Bungeni Pandu Ameir Kificho nimegundua huyu mzee anastahili sifa japo wachache walibeza kuchaguliwa kwake kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SEREKALI TATU! Watanzania eleweni kua, Chama chochote kinacholazimisha wawakilishi wake kupiga kura ya wazi ili kuwabana kupigia kura SEREKALI MBILI badala yaSEREKALI TATU wanayo itaka, ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangua anze kuongea sasa live Tbc na startv kwenye bunge la katiba, na kusema anajenga hoja Je kuna mtu kamuelewa hoja yake! kwani nimeshindwa kumuelwa msaada!
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Ina sikitisha sana kuona wabunge wetu pamoja na wale wateuliwa wamemua kuligeuza bunge hili maalum kama soko. Kwakweli yeyote aliyepata nafasi ya kutazama hata kidogo mjadala wa bunge maalum...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenzenu mimi kama Mwalimu naona aibu kuangalia Bunge kutokana na michango mibovu inayotolewa na mwalimu mwenzangu Olochu katika kikao cha bunge. Kweli inaniuma kama yeye ni mwakilishi wetu wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Majuzi hapa nilimsikia Profesa Maghembe wa Bunge Maalum la Katiba akimkosoa Mbunge mwenzake aliyetamka kwa makosa, kuwa Uingereza nao waliandika Katiba yao. Profesa Maghembe...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Hayo hapo juu ni maneno ambayo aliwahi kuyatamka Mwalimu Nyerere hapo zama za kale. Jee maneno hayo bado yaenziwe au watu wasonge mbele kwa kudai Tanganyika yao ? 60% (kura ya maoni) ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu sasa ni wehu, haiwezekani uongozi wa BUNGE la katiba agenda ya mwanamke iingie sasa, hizi ni hila za CHENGE na group lake baada ya kuona MH SITTA anaelekea kuwa mwenyekiti sasa anaingiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ngoja niseme ya moyoni. Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia. Nawasilisha!!
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau, Muda huu ninaangalia Bunge maalum la Katiba lenye uwakilishi wa makundi mbalimbali. Kwa mujibu wa kanuni za Bunge hilo zinatambua tu watu wenye mahitaji maalum ambao ni walemavu wa...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Kiongozi wa kanisa lenye waumini wengi zaidi hapa Tanzania Muadhama Policarp Kardinali Pengo amependekeza kura ya siri ndiyo inayolinda utu... Amesema ni maoni yake kama Pengo na si maoni ya...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Haya ndio aliyoaandika Mheshimiwa Zitto Kabwe kwenye FACEBOOK PAGE yake: Siri? Wazi? Wabunge wamegawanyika, wananchi wamegawanyika. Wachambuzi kama Mimi Mwanakijiji na wengine wanashauri...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa sheria,siku Muungano uliopo ukivunjika: 1.Je kutakuwa na gharama za kuuvuna mkataba kama ilivyo kwa mikataba mingine? 2:Je Kuna mali za kugawana kati ya nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANANCHI wana mashaka; kuwa huenda muda uliopangwa kuanza na kumalizika mikutano ya Bunge Maalum la Katiba usitoshe kutokana na kuahirisha vikao vya kutengeneza kanuni, mathalani wakichukulia...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Kamati ya Bunge la katiba imesitisha siwa kutokana na gharama kubwa ya utengenezaji wake. Eti wananchi hawatawaelewa ================================= Maelezo ya Mjadala huo wa Fimbo hiyo Fuata |...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu, Fact moja katika bunge hili la katiba ni kwamba CCM wana uwakilishi mkubwa kupita makundi yote ukiyaweka kwa pamoja !. Kutokana na huu ukweli, ni wazi kwamba CCM watakuwa wengi katika kila...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu,wanJF, zaidi, kwa wale wenye uelewa mzuri zaidi katika hili: Mimi nafuatilia vizuri sana Bunge hili maalum la Katiba licha ya matatizo ya kila siku ya Umeme wa Tanesco kukatika-katika...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
Kwenye ukurasa wake wa facebook,Mtatiro ameandika ujumbe ufuatao akiwatuhumu mawaziri wa CCM kuhujumu mchakato wa katiba mpya. Mh.Mtatiro ameandika: Jana waziri Maghembe amewaita wawakilishi wa...
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alifanikiwa kutuliza hali ya hewa bungeni baada ya kutoa mapendekezo yaliyoungwa mkono na pande zote zilizokuwa zinavutana kuhusu kupitisha baadhi ya vifungu vya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Piga kura kutuma ujumbe wako kwa wajumbe wa bunge la katiba Dodoma!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…