KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Akiongea kwa hisia, akionesha kuwa kama siyo "Gender" wanawake ndo basi, kanikatisha tamaa. Nilikuwa ninamfikiria ni shupavu, mwenye uwezo wa kushika wadhifa wowote nchini kwa uwezo wake, Mhe...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina...
13 Reactions
464 Replies
57K Views
Na Salome Kitomary 7th March 2014 Dk. Harrison Mwakyembe. Bunge la Katiba limeamua kuweka kitanzi kwa uhuru wa wananchi kupata habari za mchakato wa Katiba Mpya, kwa kuwazuia waandishi wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimekutana na Hotuba ya JK TBC haikuwa Live ila.Ila kipande nilichokisia ,nimeweza soma mood na mind ya JK..ni wazi kuwa JK alikuwa akiongelea jinsi CCM ilivyoshindwa ktk hili,na mipango yao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inaelekea watu hawakuelewa sana somo langu kuwa uhuru hauna mipaka ..Na uhuru unakwenda sambamba na wajibu.Hapa ndipo kichwa cha CCM hakipo. Hili somo lilikuwa gumu sana hadi kwa wana JF...
0 Reactions
2 Replies
899 Views
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Dr Benson Banna ambaye kwa mara nyingi uchambuzi wake umekuwa ukitiliwa shaka haswa kwa kuonekana kuegemea CCM na kuitetea serikali kwa kila jambo, leo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Wasalam wana JF Leo ningependa nitoe maoni yangu machache tangu Bunge Maalum la Katiba lianze Februari 18, 2014. Nimefuatilia mijadala michache sana kutokana na kazi yangu kunifanya nisipate muda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanasheria wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othuman Masoud, ametupilia mbali hoja ya mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Christopher Ole Sendeka, la kutaka hati ya Muungano...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika bunge la Jamhuri ya Muungano na sasa Bunge maalumu la katiba kupitia TBC. Kitu ambacho mimi nimeona ni kasoro labda mpaka hapo nitakapoeleweshwa ni kile...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani baada ya mihangaiko ya siku nzima huwa nalingojea bunge la katiba kwa hamu kweli ...niweze kucheka na kutulizabakili .. Kuliko niangalie comedy like futuhi na wakina Joti ni bora nifurahi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nimekiwa kwenye lindi la msongo wa mawazo mazito juu ya upatikanaji wa katiba ya umma, Utata wa sheria ya katiba mpya. Kwenye tafsiri ya kiswahili inatafsiriwa hivi: 1. Tafsiri ya...
3 Reactions
78 Replies
7K Views
Hivi Katiba Ya Sasa walikaa watu wangapi tumetumia miaka 50?
0 Reactions
2 Replies
663 Views
Bunge letu la katiba linaelekea kutoa picha halisi ya ni jinsi gani watanzania tulivyo zaidi ya kuonyesha au kusaidia kuipata katiba mpya kama wote tulivyonuia. Ushabiki wa vyama na sera za vyama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya ndo baadhi ya maoni ya baadhi ya hawa wabunge wa Bunge maalumu la katiba. Michango ni mibovu na mingine haina umuhimu kabisa, lugha mbaya na wakati mwingine bila staha, lakini wao wanasema...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Bunge la katiba liwe na lengo (milestone) ya kufikiwa kila siku.Waweke utaratibu kuwa kwa siku wajadili nini na lazima wamalize hata kama mjadala huo utakamiliki saa kumi alfajiri lazima...
1 Reactions
3 Replies
824 Views
kilio kikubwa kwa vijana ni ajira,fursa katika ngazi za kiuongozi na uhuru wa kusikilizwa na kutoa maoni,lakini rasimu haijazingatia haya tofauti na makundi mengine yamepewa majawabu ya kero zao.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Hali inayoendelea katika Bunge ni reflection ya namna tulivyowaachia wanasiasa kutufanyia kila kitu watakacho ili hali sisi tukichekelea ! Uwezo wa utambuzi wa Watanzania wengi uko chini sana ndio...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Mwenyekiti Tokea umeanza KaZi yako ya kuliongoza Bunge hili la KATIBA Binafsi nimeshuhudia Hekima yako kubwa sana unaposhika usukani huu. Na hakika Kwa Kweli umetukumbusha Enzi Za Spika Adam...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha wadau. Sababu -Elimu yake haina mashaka -Uzalendo wake hauna mashaka -Tumekuwanae wananchi akitupa elimu ya katiba tangu 2010 (Kupitia Makongamano ya katiba UDSM) n.k...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dodoma. Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu, wajumbe watano wanaonekana kuwa ndio wachangiaji wakuu katika mjadala wa Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo. Bunge hilo...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom