Katika hali siyo kawaida Watanzania wamepeleka maslahi yao binafsi bila kujali maslahi ya nchi! Na bila kusahau kuwa wao ni mavumbi tu na katika mavumbi watarudi! Usikose kufuatilia bunge la...
Ni wakati wa kuahirisha semina kwa wabunge wa Bunge maalum la Katiba, mwenyekiti wa muda wa bunge hilo mh,Kificho alitoa tangazo linalowataka Viongozi na wabunge wa vyama vya Chadema,Cuf na Nccr...
Binafsi ninaamini kuwa wapo watu wengi sana ndani ya Chama cha Chadema ambao ni 'smart' zaidi yangu lakini mara nyingi huwa nashangaa sana juu ya maamuzi wanayoyafanya na huwa na-question kama...
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Dodoma. Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) amesema ameupokea kwa furaha, uteuzi na uamuzi wa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta wa kugombea Uenyekiti wa Bunge...
WABUNGE na Wawakilishi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepongeza hatua ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo kueleza kuwa kanisa halikutoa...
Najiuliza so many question why in most cases watanzania tunapenda kucheza ngoma inayopigwa na CCM hata kwenye mambo ambayo hata hayahitaji kuyatizama beyond physical reality? Taking example hii...
Ndugu zanguni
Naomba mjiulze
Mtu mweusi asili yake wapi?
Na muarabu asili yake wapi?
Inakuwaje leo muarabu aje kudai uzanzibari wakati katokea yemen?
Kwa nini wewe mtanganyika unakubali...
Lile vuguvugu lililoanzishwa na Wajumbe Huru (WAHU) la kutaka Samwel John Sitta kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Katiba limefikia pazuri.Sasa,karibu kila Mjumbe anamtaja Sitta kwa hili au...
Kitila Mkumbo
Haya mambo mimi ndio yananishinda. Nimeshasema hili jambo la Katiba ni la jamii. Ni la kitaifa. Ni kwamba hatuwezi kwenda wote Dodoma kuiandika hiyo katiba na ndio maana inabidi...
Ndugu zanguni
Uchadema na UCCM pembeni
Naitwa CHRISTOPHER LUKOSI natopkea Kalenga Iringa Tanganyika ambako toka nizaliwe sijawahi kuona wala kusikia faida ya kuwa na kipande kinachoitwa...
KWA HILI CCM MMEZIDI ITS A SHAME
Ni jambo la ajabu kuona watu tena viongozi wakituaminisha UONGO WA WAZI WAZI.Ni jambo la ajabu sana kuona mjumbe wa bunge maalumu...
Wadau, kama mjuavyo ni kuwa, kuanzia chana jioni, bunge maalum limeanza zoezi la kupitisha kanuni za bunge hilo. Hii ni baada ya Rasimu ya Pili ya Kanuni hizo kuwasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati...
Habari wanaJF,
Kama tunavyojua kuwa leo tarehe 5/03/2014 kikao cha Bunge la Katiba kinaendelea,itakuwa ni vyema tukiwa tunajulishana hapa jamvini ili kuweza kusaidia wadau wengine ambao hawana...
Mimi nchi yangu inanishangaza sana. Mara nyingi huwa inaingia gharama kununua mitambo ya kisasa tena kwa majigambo makubwa lakini mara nyingi huwa haitumiki. Majuzi tuliaminishwa kuwa serikali...
Kumekuwa na mkanganyiko kutokana na views za watu tofauti kuhusiana na rasimu ya pili ya katiba ya Tanzania,Proffesor Issa shivji anasema kuwa rasimu siyo Msaafu mpaka isobadilike huyu ni moja wa...
Nimefatilia sana semina hii/bunge hili la katiba, mambo madogo yanachukua muda sanaa na makubwa hawayaoni kabisa... wanarudiarudia mambo yaleyale na kupoteza muda mwingi sanaaa
Wabunge hawa...
Tuesday, March 4, 2014.
HabariLeo
Kamati ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.