KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Akizungumza katika kipindi cha hotmix kinachorushwa na EATV, DK SLAA AMESEMA SUALA LA SERIKALI TATU SI LA CHADEMA BALI NI LA TUME YA WARIOBA. Amesema kuwa wanaotaka serikali mbili ni sawa na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.Habari kutoka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu wana Jamii. Nchi hii wanawake wamekuwa wakipiga kelele sana kudai haki zao. Kuna wakati viongozi wanawasikia lakini huwapa haki zao kama fadhira. Tumeshuhudia wakipewa fadhila ya viti...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
jana nilikua mmoja kati ya wajumbe walioshiriki uzinduzi wa rasimu ya pili ya katiba ya tanzania uliofanyika chuo cha mipango dodoma tarehe 8.03.2014. Chakushangaza kilichofanyika ni kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Jamani wana JF naomba mnisaidie hivi kweli hawa wenzetu huko bungeni wako serious na kupata katiba mpya kwani mpaka sasa ni mabishano tu utadhani kuna wahuni kumbe ni watu wazima wenye busara but...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
kulingana na suala zima la mchakato wa katiba mpya unavyoendelea na vituko vya kila siku bungeni hasa kutupiana maneno na kuvunja sheria za bunge..je kuitwa na kuingizwa kwenye kamati ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgeni ni kichwa imara olouch tumfuatilie kwa pamoja
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Wadau kwa mujibu wa sheria bunge maalum la katiba halijaanza kwa hiyo wananchi muwe na subira.hapa wanajitengenezea kanuni na hata kama zitatumika siku 70 tena.
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Waungwana heshima ziwafikie kote mlipo... Utangalizi: Jana tarehe 8/March/2014, Bunge la katiba kwa kauli zenye mchanganyiko wa NDIYO na HAPANA, limepitisha Kanuni ya 36 inayohusu Upitishaji wa...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Muhariri wetu Joseph Mihangwa KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, tuliona misingi mikuu inayopaswa kufuatwa katika kutunga Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuzingatia na kuongozwa...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Nimeona picha ya wajumbe wa katiba wakiwa kwenye foleni wakisubiria posho zao. Kwa kweli inatia aibu katika nchi yetu na hasa serikali yetu ni jinsi gani bado tuko nyuma katika ulimwengu wa...
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Wadau, Baada ya kuwawakilisha vema siku ya jana tarehe 7.3.2014, leo tutaendelea kuwajuza yatakayojiri Dodoma kwenye semina ya Bunge Maalum. Kazi kubwa ya leo ni upitishwaji wa vile vifungu vya...
8 Reactions
331 Replies
26K Views
Ndugu Wananchi, CCM haitaki serikali tatu, inataka mbili. Lakini hawajui hiyo mbili waikarabatije ili ikubalike. Ni hivi. CCM wapo kwenye mtego mkubwa kabisa kuwahi kutokea katika historia yao...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tumezoea kuwa Wabunge wetu wa Bunge la Muungano na Wawakilishi wanahudhuria vikao kwa vazi rasmi la suti. Vipi bunge hili suala la mavazi likoje au litakuwaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaonekana kwa kiasi kikubwa makundi mbalimbali waliochaguliwa na JK haisikiki kabisa. Hii ni kutokana na dominance na uzoefu wa u-ccm na kambi upinzani. Sasa maoni ya watasema lini kama wao...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila, amewaacha hoi wajumbe wenzake pale alipotaka kanuni zisiwabane kuwasema vibaya waasisi wa Muungano. Kanuni ya 47 ya rasimu za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita. Chama...
1 Reactions
99 Replies
10K Views
KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA mwenyekiti alimteua mwakilishi wa walimu katika bunge la katba kwenda kuwakilisha msibani kwa mh sofia simba. wakati akiteuliwa wajumbe walipiga kelele ikionekana alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,amekemea vikali tabia ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,kuzomeana. Mbowe alisema kwa hali ilipofikia, kuna...
1 Reactions
2 Replies
960 Views
LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kutangaza msimamo wa kukataa serikali tatu, Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, amewataka wake wajiandae kisaikolojia kwa mabadiliko yoyote...
3 Reactions
252 Replies
26K Views
Back
Top Bottom