KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Katika rasimu ya katiba mpya, mswada unapendekeza elimu ya kiwango cha kuanza mtu kutafuta nafasi ya ubunge walao iwe elimu ya sekondari. Naridhika na kiwango hicho maana elimu ya sekondari...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Mheshimiwa waziri mkuu, Mizengo Pinda ametangaza kwenye kikao kilichowashirikisha baadh ya wabunge wa CCM kuwa atakayetetea kura ya siri atanyanganywa kadi ya chama! Vigezo na masharti yazingatiwe.
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Ninadhani mmeshaona kuwa kuna wajumbe wachache katika bunge maalum la katiba IQ zao zina hitilafu na wamekuwa wakimzomea na kumtukana wazi wazi Mwenyekiti wa muda Mzee kificho ambaye hata kwa umri...
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Kuamua 'wazi au siri' bunge letu maalum limechukua wiki 3 Jee kuamua seriali 2 au 3 litachukua siku ngapi? Tujaribu kutabiri. Jee mahakama ya kadhi ni siku ngapi? Na kadhalika - weka hapa. Kweli...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu hilo. Jaji Warioba kwa nyakati tofauti ameaminiwa na Umma, amewasilisha matakwa ya umma, amesimamia umma, ametetea umma, amejipambanua kwa umma. Kama ni hivyo, tuamini au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kabla ya bunge la katiba kuahirishwa jioni hii alikaribishwa lipumba akaongea hadi mwisho sikumwelewa,akafuatia mbowe naye cha ajabu tofauti na nilivyomzoea kwa kutoa hotuba kali zenye hoja...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
hakika katika kutafakari maspika mbalimbali waliowahi kusimamia bunge letu kwa haki busara na *usawa* kati ya s.sitta a.makinda p.msekwa hakika sijawahi iona *hekima ya ajabu* aliyonayo...
5 Reactions
77 Replies
10K Views
Natoa rai kwa vyama vyote vyenye wajumbe ndani ya bunge la katiba mpya (except ccm), pamoja na wajumbe wenye mapenzi mema na nchi hii kususia vikao vya bunge la katiba pale tu itakapokuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila nikisoma magazeti na blogs mbalimbali nakutana na neno "mbunge Ole Sendeka kasema hivi". Sasa najiuliza kwani wajumbe wengine hawapewi nafasi, au ni waoga wa kusema? Nini ni tatizo hapa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna watu wanadhani ndani ya CCM hakuna watu mioyo yao ilishawahi kuonyesha kwa vitendo damu ya utanganyika na wala hawajaukana hadharani. Hata sasa hivi wakifungua mioyo yao ili wajitaje...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Baada ya bunge la katiba kuhairishwa hadi baadaye saa 12 jioni, tbc badala ya kuwachambulia wanachi kinachoendelea bungeni wameweka kipindi kinachoonyesha wenzetu huko south amerika. Bora hata...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Kufuatia kinachoendelea hapa Bungeni Dodoma,Wajumbe mbalimbali wameingiwa na hofu kuu juu ya mambo fulanifulani. Wajumbe hao-hasa wenye mafungamano na CCM wameonesha hofu juu ya usalama wao na...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Natoa macho hapa home nikisubiri bunge kila nikicheki ola. tatizo ni nini? au wameenda kusaini tu posho na kuondoka?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muheshimiwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Kinachoendelea Bungeni ni aibu tupu kwa Taifa.Kwa uwezo uliokuwa nao vunja Bunge la katiba na uchague wajumbe wasio wanasiasa.nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mwl. Ezekiah Oluochi amedai kuwa siku 21 ni chache mno kujadili rasimu ya Kanuni za Bunge la Muungano,Hivyo wananchi wasiwe na Hofu kua Bunge Maalumu la Katiba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajumbe wa bunge la katiba mlioko Dodoma usiwe kama maroboti yanayopangiwa na mtengenezaji nini cha kutenda bila kufikiri hata kidogo. Sisi wananchi tunafahamu na tunafuatilia yanayotendeka huko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ya Jumatatu wazalendo wenzangu Kumekucha na makucha yake,macho na masikio ni kwa wajumbe wa bunge la katiba wanaokula pesa zetu bure. Jambo lililonifanya niandike ninachokiandika ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninasikitiswa sana na harakati Za CCM kuchakachua mchakato wa katika katika kila ngazi tangu mchakato huu uanze. Kinachoniumiza zaidi ni fedha zetu ambazo zimekuwa zikiteketezwa kila uchwao huku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nime kuwa nkifuatilia kwa makini sa na mijadala inayo endea na wajumbe wa bunge maalum la katiba nimegundua kuwa wale wajumbe wanao onekana ni wa bunge au wajumbe wa CCM hoja na michango yao ina...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Mtakubaliana nami kua Mpaka sasa kwa Hizi Week 3 Ambazo Bunge Maalumu la Katiba limetumia,ni Zaidi ya Bilion 3 kwa Posho Pekee zimetumika achilia Gharama nyingine Zisizo rasimi na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom