KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Leo saa 10,Bunge la katiba litamchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la KATIBA,Wadau mnaombwa kuzingatia uzoefu,uadilifu,ujasiri na DIRA ya mgombea husika.
2 Reactions
101 Replies
10K Views
Hadi sasa tayari watu wawili zaidi wamejitokeza kumvaa Samwel Sitta kuwania nafasi ya uenyekiti wa kudumu katika Bunge la Katiba hapa mjini Dodoma. Aliyekuwa Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Wanabodi, Kile kitendawili cha chaguo kati ya kura ya siri au kura ya wazi, kitapatiwa ufumbuzi wiki hii, ambapo waheshimiwa wabunge wetu, wa Bunge Maalum la Katiba, watapiga kura kuamua kama...
17 Reactions
183 Replies
18K Views
Mapinduzi ya zanzibar ilikuwa tarehe 12 january 1964 na baada hapo wakataka kumwngusha karume walikuwa wadundane pemba na unguja karume akaomba jeshi 300 kwa nyerere ili kumlinda karume na...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Ndugu wadau, mimi naomba nichokoze hoja ya muundo wa serikali ya Tanzania. Napendekeza iwe na serikali moja na wala si mbili wala tatu. Tumeona jinsi kero za muungano wa Jamhuri wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana jamvi. Nichukue Fursa hii kwanza Kuishukuru Kamati ya Kanuni ambayo imefanya Kazi kubwa sana huku Utundu Mkubwa wa Kujisomea na utaalam wa Hali ya Juu wa Tundu Lissu ukijionesha Bungeni(...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam kwa wote.napenda kuchukua nafasi hii kulipongeza bunge la katiba kwa kazi nzuri waliofanya kwa moyo wote na nguvu zao zote mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza kanuni.ni katika mchakato...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kutangazwa kwa wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba napendekeza wabunge hao wamchague Mh, Sitta kuwa Mwenyekiti kwa kuwa alionesha kulimudu vyema bunge la JMT haswa katika mambo yenye...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Leo mh sitta akiwa sambamba na paul makonda na hamis kigwangala wameandamana kuchukua fomu hiyo;ila mizingwe na mkakati wa kumkwamisha sitta ume anza kubainika unao fanywa kwa siri sana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mhe. Rais Pole na majukumu Naomba uzingatie ushauri wangu na watakaopenda kutumia njia hii kukushauri. 1.Jaza nafasi zilizowazi mpaka sasa za wajumbe ambao hawaripoti. ZINGATIA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali Mbili hazihepukiki,,, " Mimi ni Muumini wa Serikali 2 hivyo kamwe sitaweza kuusaliti msimamo na mtazamo wangu juu ya Serikali mbili na Muungano wetu" - Mhe JOHN M. SHIBUDA (MB) Kupitia...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukiangalia mwenendo mzima wa CA mpaka sasa, ni dhahiri CCM imeshindwa hoja. Ingekuwa Katiba ni kampeni ya uchaguzi, CCM wangeshaiba kura au kupiga wapinzani mabomu. Ila kwa sababu hakuna polisi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesikia vituko vya CCM ,majibu na sababu zao ila sijapata majibu ya maswali haya..na pia ktk sababu zao nimepata maswali haya.NApata shida 1.Ikiwa wale pale bungeni sasa hivi ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajumbe kutoka zanzibar walipwa 420,000/= ili wakubali kurudi katika serikali mbili, hii imetokana na kuwepo kwa nguvu kubwa kutoka znz ikitaka serikali tatu.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
salaam wanajamvi, ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi kusababisha uchaguz kuahirishwa ama kuendelea bila uwepo wake. Tumuombee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu Napenda kujua kesho kura ya kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba itakuwaje?? maana nimeona watu wakishabikia kuahirishwa kwa kifungu cha kanuni kinachoelekeza...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Wananchi wangu wa Vunjo na wananchi wengine wanachotaka ni suluhu ya utatuzi wa matatizo yao wingi Serikali hauwasaidii kitu. Hii kudai serikali tatu haisaidii katika kutatua matatizo ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau heshima mbele. Kamati kuu ya ccm imemaliza kikao muda si mrefu usiku huu chini ya uenyekiti wa Dr. Kikwete, ambapo pamoja na mambo mengine mkuu wa kaya amehimiza msimamo wa chama wa matumizi...
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Kwa takribani siku sita,kulikuwa na mjadala juu ya Vifungu vya 37 na 38 vya Kanuni za Kudumu za Bunge la Katiba.Vifungu husika vinahusu namna ya kufikia uamuzi Bungeni kwa njia ya kupiga kura pale...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari zenu wadau. Leo nina utimiza usemi kuwa kuuliza si ujinga. Nikiwa kama mtanzania nisiye na ufahamu wa kutosha ktk siasa yetu ya bongo ningependa kufafanuliwa mambo yafuatayo ambayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom