KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Habari wadau wote wa Mtandao Pendwa Tanzania, mtandao wa kila mtu bila kujali itikadi zake za kisiasa, kidini, umri na jinsia, Mtandao wa JamiiForums. Ni matumaini yangu kuwa Mwenyezi Mungu...
19 Reactions
730 Replies
64K Views
Wanabodi, nimepita mjini tunduma leo, kwenye highway inayoelekea sumbawanga kushoto naona bango/tangazo kubwa linaloonekana na kusomeka vizuri limeandikwa "KATIBA MPYA NI YA WANANCHI SI YA...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sitta amekuwa mtu wa kutilia shaka kwa mtu yoyote. Katika picha hiyo anaonekana akimkumbatia mtu anayeweza kutafisiriwa kama adui yake namba moja hasa kama ulifuatilia suala ugonjwa wa Mwakyembe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanza nikupongeze kwa ushindi wa kishindo ulioupata kwa kukalia kiti cha Uenyekiti wa Bunge la Katiba, hii ni ishara kubwa kuwa si tu wabunge bali watanzania wengi wameweka matazamio makubwa...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Swali: Unafikiri nini sababu ya kuandaa Katiba Mpya? Jibu: Katiba nzuri ni dawa ya kuua sheria mbovu. Moja yatatizo la Katiba tuliyonayo sasa ni kuacha mianya na hivyo watu kujifanyiamambo...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Awali ya yote napenda nitumie nafasi hii kukupongeza kwa ushindi wa jana,wewe ndiye MWENYEKITI mteule wa BUNGE la KATIBA. Katika hoja zako, ukiwa unajinadi ulisema maneno mawili 1."mkinipa kura...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira amesema ni vyema Watanzania wakafikiria kudumisha Muungano kwa kutazama kero zilizoonekana miaka 50 iliyopita ikiwemo kero za...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Sita kasema atapambana na wanaotaka kuvunja muungano kwa kiasi Fulani sawa ila isijekuwa anataka kupinga serikali tatu ambalo ni ombi lawananchi wengi waliotoa maoni.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na...
4 Reactions
119 Replies
15K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amempongeza Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, kwa kile alichokiita kuwa ni kuwa na kifua kipana cha kujali masilahi ya Taifa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Sijui wewe, lakini mimi nakerwa sana na hili wajumbe wa Bunge la Katiba na Watanzania wengi kutaka kugeuza Katiba kama chombo/document ya kisera. Katiba ni sheria. Kwa mantiki hiyo, mambo ya sera...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale...
10 Reactions
333 Replies
35K Views
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema amesema watu wanaotaka kura ya siri bungeni ni wanafiki huku Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akiahidi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekuwa na malumbano makali juu ya majina ya wajumbe wa PCT yaliyo pelekwa ofisi ya Ikulu lakini yakatupwa. Utafiti unaonyesha kuwa kutupwa kwa majina hayo kulifanyika kwa makusudi lakini baada...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
sasa nimeamini juu ya usemi unaosema usimdharau usiyemjua. mimi na kificho wote ni watanzania lakini nikiri kwamba sikumfahamu uwezo wake wa kuongoza kwa sababu yeye ni speaker wa baraza la...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Sitta, ninakupa ushauri wa bure, baada ya kuwa umechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalum la Katiba. Tatizo lako kubwa, ni kwamba, you talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Nani amechaguliwa kuwa naibu wa rais mtarajiwa na spika wa bunge la katiba mheshimiwa samwel sitta?
0 Reactions
3 Replies
988 Views
1.wana Jf naomba wataalamu wa masuala ya kisiasa especially uchaguzi; kunafaida gani na hasara gani kwa kutokuwa na tume huru ya uchaguzi? 2.kwanini katiba mpya haizungumzii time guru ya...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
M. M. Mwanakijiji Bunge la Katiba linaweza kujikuta linatumia fedha nyingi na muda na mwisho likakwama kwenye suala la Muundo wa Muungano kwenye sura ya sita ya rasimu ya Katiba. Lakini hili peke...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom