Kuruhusu serikali tatu zenye marais watatu kama ilivyoainishwa kwenye Rasimu ya Katiba, kimantiki ni kuruhusu mchakato wenye mtifuano wa kuvunja muungano. Rasimu ya Katiba inayopendekeza serikali...
Wajumbe wa bunge maalumu la katiba wameanza leo kula kiapo cha uaminifu na sehemu ya mwisho ya kiapo hicho inasema, "... nitafanya kazi zinazonihusu bila upendeleo..."
Swali ni je, hawa...
Muheshimiwa Samwel Sita ambaye ndiye mwenyekiti wa bunge la katiba leo kaanza kazi rasmi na ameshakaa kwenye kiti baada ya kuachiwa na aliyekua mwenyekiti wa muda ndugu Ameir Pandu Kificho...
Jana katika kumchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la katiba kura 7 ziliharibika! Leo pia zimeharibika kura 7 katika zoezi la kumchagua makamu mwenyekiti!
Inaelekea ni wale wale walioharibu...
Kutokana na maelezo ya Mh. Sitta kura za siri au wazi zitatumika na BMK ktk maamuzi kutegemea na uzito wa jambo lenyewe. Kura za siri zinaweza mchagua MTU au kutolea maamuzi ISSUE.Kura za siri...
Mpaka sasa MH Sitta ameshaweka wazi kuwa masuala nyeti yatahusu kura ya siri, chadema walikuwa wakitetea kura ya siri.
Mimi nasema serikali mbili zikipita kwa kura ya siri nahama chadema kwa...
1. " A good constitution cannot alone make a nations happiness, A bad one can alone make its unhappiness"
Guy Carcassonne
2. " Constitutions are intended to preserve practical and...
Michakato ya katiba mpya na vazi la taifa yote inaongozwa na serikali ya CCM. Tumeona ule wa vazi la taifa pamoja na kutumia mamia ya mamilioni ya wapiga kura, ulikufa kibudu.
Nilishasema tena...
Kwa siku nimemsikia Chenge ktk bunge la jamhuri na la Katiba.Nimeona kuwa pamoja na mambo mengine ni kwamba Chenge hawezi kabis ajieleza kwa lugha yoyote ya kitaifa.
Sijui kisukuma.Ila kiswahili...
Mara tu bada ya kupata ushindi wa kishindo kwenye kinyanganyiro cha kihistoria cha Uenyekiti wa BMK, Mh. Mzee Sitta akitoa hotuba ya shukrani alisema atawashughulikia wanaopinga Muungano. Leo...
Kwa mujibu wa makubaliano yaliyo fikiwa wakati wa kupitisha kanuni juu ya nafasi ya mwenyekiti na makamu mkiti ni kwamba 'vigezo' vikuu ni pande mbili za muungano na jinsia!
Mimi ninadhani...
Watanzania walio wengi tulitegemea wajumbe walioko katika bunge la katiba ni watu makini na wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Katika hali isiyo ya kawaida jana wakati wa kupiga kura ya...
Wanajamvi Mh. Samweli Sita karudi kwenye nyadhifa kama aliyokuwa nayo msimu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne, akiwa kama Spika wa bunge. Tofauti ipo kwani sasa ni Mwenyekiti wa Bunge Maalumu...
Wadau mpooooo? Kama kawaida nianze kwa kuwatakia kila la kheri na shughuli zenu za kila siku na nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema siku ya leo. Wale wagonjwa kama kawaida yetu...
HOJA MAALUM
MCHAKATO WA KATIBA MPYA USITISHWE
(ILI UANZE UPYA KWA USAHIHI)
Waheshimiwa Wajumbe, huu ni ushauri wa kizalendo kwa wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kwamba mchakato mzima...
TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZILIUNGANA ILI IWE TANZANIA, sasa haya yafuatayo yanaashiria hivyo?
Kitendo cha TANGANYIKA kuungana na ZANZIBAR;
Tanganyika haina vitu vifuatavyo;
1. TANGANYIKA HAINA...
Sitta sasa anakazi ya ziada kuhakikisha kwamba haangukii upande wa chama cha CCM kwani nakumbuka wakati ule alipobwagwa chini na kupitishwa makamu wake wakati ule kisa ni uwazi na ukweli wake wa...
Wakuu nimeshuhudia mavazi bunge la katiba ni ya ovyo ovyo upande wa wanawake, wengi wamevalia suruali za kubana na kuwachora maumbo yao, Nakumbuka jana Mwenyekiti wa muda alieleza hili swala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.