KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Kiapo cha wajumbe wa Bunge maalumu lina vipengele viwili muhimu vya kujadili (kwa great thinker tu). 1. Mimi _____ niliyeteuliwa kuwa mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, 2. naapa, nathibitisha...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Mwenyekiti wa bunge la katiba naona kaanza safari kwa mguu wa kushoto, vitisho vingi naomba aelewe hutaweza kuzuia mafuriko kwa mikono, TANGANYIKA HAIZUILIKI
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Ikimbukwe kuwa hakuna Kiongo hata mmoja miongoni mwenu kutokea Zanzibar aliyeweza kuyafanya aliyoyafanya Mzee Aboud Jumbe Mwinyi bila ya Mzee Aboud jumbe kusingekuwapo na CCM ,lakini juu ya yote...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wanajamvi Tundu Lisu kahoji bungeni leo juu ya tangazo kuwa Rais atahutubia bunge baada ya Warioba kuwasilisha rasimu bungeni kuwa ni kinyume na kanuni zilizopitishwa, na pia wabunfe...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu nimeikuta hii kwenye facebook page ya bwana Julius Mtatiro, nimeona tuilete kama nilivyoikuta Julius S. Mtatiro KUMPA JAJI WARIOBA DAKIKA 60 ILI AWASILISHE RASIMU YA KATIBA NI JAMBO...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, nimekuwa niwasikiliza sana watanzania wenzetu hasa wale makada, wanachama, mashabiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu idadi ya watu waliotoa maoni kwenye Tume ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joshua Nassari, juzi alijikuta akiumbuka bungeni baada ya kushindwa kutaja kanuni aliyoitumia, kuomba mwongozo.Hali hiyo ilitokea muda mfupi kabla ya wajumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, nimesikia redioni kuwa kuna gazeti lina majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba na Taaluma zao....Naomba mwenye link ya gazeti lenye hiyo habari, au kama anaweza kukopi na kupesti...
0 Reactions
2 Replies
967 Views
@ Wazanzibari wanakaribia kutimizanusu karne ifikapo January 12 tokea Mapinduzi ya nchi hiyo, kuna fikra tofauti ya kwamba Wazanzibari ni lazima waanze kusherehekea siku yao ya uhuru pia, uhuru...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Tangu kuundwa kwa bunge maalumu la katiba, kumekuwa na mvutano miongoni mwa wachambuzi wa masuala ya kisiasa, wanasiasa, wanaharakati na wanasheria juu ya madaraka ya bunge maalumu katika mjadala...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutoka kwa Abdulrahman Mohamed INAWEZA KUJITEGEMEA? Muelekeo wa Makala ya Habari Leo ambao ni wazi Omar Ilyas anauunga mkono kama silaha yake dhidi ya mabadiliko katika muungano ni kuwa Zanzibar...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Zoezi la kuapisha wajumbe wa katiba pamoja na wabunge-wajumbe la katiba linaloendele sasa linaendelea vizuri ila tu kwa wabunge-wajumbe namna wanavoopa wameshakosea.sana,wenyewe tayali ni wabunge...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tatizo la akina Mrema na Shibuda wanaojidai kupigia debe serikali mbili ni kwamba wako ndotoni. Katiba ya Zanzibar, ambayo inaitambulisha Zanzibar kama nchi, imeshaondoa uhalali wa Muungano (Mimi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Samuel Sitta sii jina ngeni ktk jukwaa la siasa za Tanzania.ktk kipindi hiki cha katiba wananchi wengi sana walikuwa na shahuku ya kujua nani ataongoza vichwa 600+ ktk mjengo WA dodoma na wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kama kuna aliyeshuhudia uapaji wa mtikila kutokana na msimamo wake kwa kuitetea Tanganyika je atatamka maneno 'mtiifu kwa jamhuri ya muungano wa tanzania??
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wote tunajua kuwa katika BMK zoezi linaloendelea ni la kila mjumbe kuapa mbele ya Mwenyekiti. Hamu yangu ni kumsikia Kingunge Ngombare Mwiru.
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Hizo posho naomba mimi laki mojatu kisha naunda katiba bola kila mtanzania atafurahi kuepusha pesa zote hizo kuwapa hawa wajumbe yani wanawachuna hadi wananchi
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Karibuni ndugu wajumbe wa jf, sina mengi isipokuwa nawapeleka moja kwa moja mjini dodoma kufuatilia shughuli za bunge. Kwako Chabruma na wadau wengine mlioko dodoma
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau, leo tutaendelea kuwaletea kila kinachojiri kwenye semina ya Bunge Maalum hapa Dodoma. Kazi kubwa itakayofanyika leo ni kupitisha vile vifungu vilivyoachwa kiporo kwa siku ya juzi. Vifungu...
12 Reactions
186 Replies
16K Views
wapendwa inabidi niamini tu!!! Malaika wa baba wa taifa mwalimu nyerere malaika wa sheikh abeid karume wote wameisimamia nchi yao!!!! Mungu ibariki tanzania. Wajumbe wote wanaapa kuilinda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom