Tambo zimesikika wazi wazi.
Tume imesema kwamba Wabunge wa Bunge hili la Katiba hawana uwezo wa kubadili rasimu iliyopo na kuja na rasimu ama katiba mpya. Hii ina maana vifungu vilivyomo ambavyo...
Ndugu zangu,
Kwamba hata wajuu wakue wazikute kero za ndoa ya bibi na babu yao. Hapo kuna tatizo kubwa. Na tatizo hilo litakuwa ni la kimfumo.
Tunapozungumzia suala la Muungano tunafanya...
Kwa mujibu wa kiapo cha kukiri kuwa mwaminifu kwa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kuitii jamhuri ni kutii aina ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,
Warioba kafie mbele na shirikisho lako...
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Jaji Joseph Sinde Warioba,amesema kuwa hana haja ya kumsikiliza Wakili Tundu A.M.Lissu tena kwakuwa sasa ametosheka na maelezo yake.Jaji Warioba alikuwa akizungumza...
Wadau mtakumbuka baada ya rasimu ya katiba kuwasilishwa kwa Mkulu, mmoja wa wapinzani
wa kkatiba hii alikuwa ni Prof Shivji ambaye ni muumini wa muundo wa sasa wa Muungano.
Binafsi nangojea nione...
akizungumza juzi bungeni spika anayejiita kuwa ni spika wa viwango, aliwaambia wajumbe wa bunge kuwa ataawaalika watu watatu muhimu sana waliobaki wanaoufahamu muungano, baadaye imekuja...
Werema kila mara huwa ni mtu wa mwisho kuifundisha au hata kuipa CCM Tafsiri sahihi ya mambo.Leo imedhihirika tena.Sijui km huyu huyu jamaa wa kazi ya kichwa ni kutunza nywele km ataweza tusaidia...
Tangu kuundwa kwa bunge maalumu la katiba, kumekuwa na mvutano miongoni mwa wachambuzi wa masuala ya kisiasa, wanasiasa, wanaharakati na wanasheria juu ya madaraka ya bunge maalumu katika mjadala...
Wana JF,
Kama mjuavyo serikali ipo mbioni kukusanya maoni ya kuandikwa kwa katiba Mpya ambapo hitaji hilo hasa litakuwa na mantiki ya kisiasa ikiwa itapatikana kabla ya mwaka 2015 kwenye Uchaguzi...
Habari za usiku wadau. Natumaini wengi wenu mmejikunyata kitandani huku mkiendelea kutafakari hali iliyojitokeza jana jioni.
Taarifa iliyo rasmi ni kwamba Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya...
Warioba Kuchafua hali ya Hewa Bungeni
Wadau, mtu akitonywa jambo ambalo lina maslahi ya kitaifa, ni vema akaliweka hadharani ili kupata tafakuri ya pamoja.
Ni kwamba mdau wangu ambaye yupo...
Lazima tukubali kuwa Mustakabari wa katiba mpya upo mikononi mwa wabunge wa CCM. Wingi wao unatishia kila uamuzi unaotumia kura.
Ndo mana wengine tunataka kura ya siri tukiamini kuwa kuna...
Mhe. Stephen Wassira akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema mvutano na mabishano ya wajumbe wa Bunge la Katiba ndio uimara wa chombo hicho ili kufikia maridhiano.
Ameongeza kuwa kwa...
Sitta ajue bunge la sasa lina wanasheria mahiri
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samweli Sitta ameanza vibaya kazi yake siku ya kwanza kwa kukiuka kanuni za Bunge la katiba.
Sitta alitangaza...
Nimeshuhudia wajumbe wa ccm katika bunge la katiba wakimsikiliza Jaji Warioba,wakiwa wamenuna na wengi wakionyesha nyuso za huzuni,kunyong'onyea na wengine wana hasira kweli.Ni dhahiri kuwa ccm...
Zitto amenukuliwa na gazeti la Mtanzania akipinga msimamo wa UKAWA na huku Mzee Mrema akiwa amekataa wazi wazi kujiunga na umoja huo.
Zitto amekwisha kiasi hicho? Au kama kawaida yake anataka...
Hapa dodoma baada ya Mzee Warioba kushindwa kuwasilisha rasimu ya katiba baada ya UKAWA kupinga ubabe wa Sitta kuvunja kanuni, sasa ccm imeanzisha propaganda kumtuhumu warioba.
Wabunge wa ccm...
Mwanzo mbaya unamwisho mbaya. Sitta amedhihirisha kuwa hawezi kuliongoza bunge la katiba. Pamoja na kuwa ametengenezewa kanuni na watangulizi wake ambao waliongoza bunge la katiba vizuri bila...
Baada ya jana jioni bunge la katiba kuingia katika hali ya sintofahamu iliyochangiwa pia na wabunge wa chadema,cuf na nccr- mageuzi leo asubuhi bunge litaendelea na shughuri zake kama inavyoonesha...
Ninaamini kuwa Wajmbe wote wa Bunge Maalum la Katiba ni watu makini. Ni watu wenye sifa mbalimbali za elimu,ujuzi na fani.Wanazo sifa za kuwafanya kuwepo Dodoma Bungeni. Kila Mjumbe anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.