Kutokana na mjadala uliopo kuhusu rasimu ya katiba mpya kumekuepo na migongano ya kimawazo kutoka katika kada mbalimbali zikijadili muundo wa serikali wengine wakisema tatu,mbili,moja na wengine...
CCM inatushangaza sana kwa kauli zao baada ya mzee warioba kuwakilisha rasimu ya pili bungeni jana.
Wasira alizungumza kwa jeuri sana wakati akihojiwa na mwandishi wa itv achilia hapo leo asubuhi...
Tumekuwa tukipata malalamiko makubwa sana hasa kwa wananchi wa tanganyika waishio zanzibar, kwamba kuonekana sio raia na kubaguliwa.
Kama ccm wanania njema na muungano huu ,walete serikali zozote...
Wakuu habari za kazi?
Kutokana na Chama cha Mapinduzi kutumia nguvu kubwa ya kutaka uwepo wa Serikali mbili, huenda kuna jambo zuri la Kitaifa ambalo mimi na baadhi ya Watanzania wengine...
Nimepitia hotuba ya jarioba jana, katika aya zinazohusu muungano tumeendelea kusikia mapendekezo kadha ambayo yamekuwa yakitolewa na tume mbalimbali, viongozi, taasisi, na hata vyama mbalimbali...
Ndg wana JF,
OMBI LANGU KWA CCM BORA WAKUBALI TU SERIKALI TATU(3) then wafanye yafuatayo
(1) WAZIRI MKUU TANGANYIKA na WAZIRI MKUU ZANZIBAR(WOTE WAREPORT KWA RAIS WA TANZANIA)
(2) RAIS...
Takribani zaidi ya masaa matatu aliyotumia Mwenyekiti wa Mchakato wa Katiba Mpya, Jaji Joseph Sinde Waryoba kuwasilisha kile kinachoitwa(nasema ni kile kinachoitwa kwa vile sasa maana halisi ya...
A man with a mission to make Zanzibar that is at
peace with itself and with others and a better place
to live for its citizens and visitors. I believe in the
power of the new generation to...
Nilipendezwa sana niliposikia kuwa hata ofisi ya Mh. Waziri Mkuu na Makamu wa Rais zilipendekeza Serikali Tatu. Hawa ni watumishi wa umma wanaostahili kupongezwa kwa kuuona ukweli wakiwa sawa na...
Nilivyomsoma warioba na tume yake, ni kwamba uamuzi wa serikali tatu umechangiwa hata na wakuu wa serikali, sasa iweje tuwachanganye wananchi na wajumbe walioko huko bungeni kwamba watetee...
Hivi ktk mtizamo duni kabisa J.S WARIOBA katika uadilifu wake na utumishi wake uliotukuka na ktk itikadi yake iliyozama ndani ya chama cha mapinduzi,je angeliweza kweli "kubuni" mapendekezo ya...
Nilipendezwa sana niliposikia kuwa hata ofisi ya Mh. Waziri Mkuu na Makamu wa Rais zilipendekeza Serikali Tatu. Hawa ni watumishi wa umma wanaostahili kupongezwa kwa kuuona ukweli wakiwa sawa na...
How CA members reacted to Wariobas presentation in assembly http://thecitizen.co.tz/News/How-CA-members-reacted-to-Warioba-s-presentation-in-assembly/-/1840392/2249282/-/nv0l2dz/-/index.html...
Wadau, mtu akitonywa jambo ambalo lina maslahi ya kitaifa, ni vema akaliweka hadharani ili kupata tafakuri ya pamoja.
Ni kwamba mdau wangu ambaye yupo kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo...
wanaotaka serikali 2 hasa CCM maboresho ni yapi yaliyowashinda for 50 years? yasemwe tuyachambue mapema vinginevyo mwacheni Warioba apete. Mkileta zenu kwenye kura ya katiba tutamaliza.
Wadau wengi wanabishana kuhusu serikali mbili au tatu au hata wengine kwenda mbali na kutaka serikali moja hii ni mitazamo ambayo kwangu sioni kama ni tatizo watu kutaka nchi yao iweje kwa mapenzi...
Nitashangaa sana kama wajumbe na wanasheria maili wakiacha na hili lipite tu. Ninavyojua ili uwe mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano unahitaji kuchaguliwa ama kuteuliwa na baadha ya kutangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.