KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Jk kwa mtazamo wangu binafsi pamoja na hasara kwa taifa iliyokwisha patikana tafadhali vunja bunge hili kwa sababu zifuatazo; 1> Taratibu na kanuni nyingi juu ya uendeshaji wake zilikuwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa hivi hoja inayotawala ni juu ya hotuba ya Jaji Warioba na jinsi alivyojega hoja za nguvu kuhusu haja ya kuwa na Serikali 3 kwa sasa na hasa ikizingatiwa ya kwamba Katiba ya Zanzibar imevunja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni kule mjengoni dodoma, ambapo Amosi Wako katika presentation zake kuhusu katiba ya kenya, anaulizwa maswali kwa lugha ya kiswahili, anayaelewa na kuyajibu kwa kimombo. Naona hali hiyo imeleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baadhi ya wananchi, wasomi na wanasiasa huko visiwani Zanzibar wamesema muundo wa Serikali tatu uliopendekezwa katika rasimu ya pili ya katiba utachangia kuudhofisha Muungano wa Tanzania na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Sampling techniques applied by Tanzania Constitutional review to collect views from all over the country what are they? Naombeni uchambuzi please.
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Wapendwa, kwa wale waliomsikiliza Mzee Warioba mtakumbuka kuwa kidogo hali ya hewa bungeni ichafuke pale Warioba aliposema kuwa tume yake inapendekeza suala la uraia libaki kuwa la muungano...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
takwimu za haraka nilizonazo ni kuwa watanganyika 61% walipendekeza serikali 3 wazanzibari 60% walipendekeza serikali ya muungano. kwa mantiki hii kuweka serikali 3 ni kupuuza hoja za wazanzibar...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila nikiangalia upeo wa kufikiri wa mzee warioba nathubutu kusema ni moja ya masiha na mzalendo pekee atakayetuokoa na mashetani wanaotufanya tuendelee kuwa watumwa katika taifa letu maana kila...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilimsikiliza,alitulia,akasema bila kumung'unya maneno wala kupepesa macho.Alinikonga moyo hakika.ALIFUNIKA! Hawakutegemea kama angewachinjia baharini kiasi kile,walidhani angejitia ktk siasa za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
inaelekea wanasiasa kuna vitu vingi wanafaidi kwenye Huu muungano wa kishenzi ndo mana wanaung'ang'ania hotuba ya jaji warioba ndiyo hayo wananchi wanayotaka ole wao watakaolazimisha serikali 2...
1 Reactions
1 Replies
709 Views
Hotuba ya Warioba: Wabunge 9 wa Zanzibar watishia kujitoa CCM baada ya kikao cha usiku Habari kutoka chanzo chetu cha kuaminika ni kuwa kulikuwa na kikao cha CCM siku ya Jumanne usiku baada ya...
7 Reactions
48 Replies
7K Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, "Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania" - Ukurasa wa 61.
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Zitto ameonekana Kufurahishwa na ufafanuzi wa Jaji Warioba na hata Kupelekea kuwashawishi Wajumbe wenzake kwamba, hawana budi kujadili namna ya Kuuboresha zaidi muundo huo wa Serikali tatu badala...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Chanzo: RAIA MWEMA ya Jumatano iliyopita: (http://www.raiamwema.co.tz/ni-waraka-wa-wakatoliki)
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Katika kuamini kwangu juu ya uwepo wa Serikali Tatu, hivyo basi, uwepo wa Tanganyika, naamini ni katika kuchangia kuwepo kwa Muungano usiokuwa na maswali mengi huko tuendako...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa Bunge Maalum jana na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,kupitia kwa aliyekuwa Mwenyekiti wake Jaji Joseph S Warioba, inapendekeza kuwe na mfumo wa Serikali...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hatimaye mwenyekitiwa bunge Samwel Sitta amekutana na viongozi wa UKAWA na kuwaomba radhi kwa ubabe aliotaka kuutumia jana hatua iliyosababisha bunge jusambaratika na Warioba kushindwa kuwasilisha...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Serikali Tatu na Zimwi Likujualo Hatimaye Jaji Warioba amelihutubia Bunge Maalum la Katiba. Ule mzozo wa nani aanze kuhutubia kati yake na Rais Kikwete sasa ni historia. Kwa umahiri mkubwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana mzee huyu ameweka historia mpya ktk taifa letu,amejibu maswali mengi sana ambayo kwa vizazi vijavyo watakuja kutuuliza.Tafadhali mwenye link ya kutuwezesha kupata audio/video ya hotuba yake...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom