Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amesema madai yake ya zaidi ya miaka 20 kuhusu Serikali ya Tanganyika yamerahisishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na ana imani...
Ndugu wanaJF, nilikua mahali Fulani (sitopenda kupataja kwa sasa) na kulikua na very high CCM profile wakipeana mrejesho kuhusu agenda ya serikali mbili/tatu.
Kumbe hiyo sio ajenda yao kimsingi...
Hotuba ya JJ Warioba inaonekana kuwaamsha na kuwahamasisha sana watu wapande zote mbili na kuanza mjadala wa kila upande kudai nchi yake, Wakati Wazanzibari wakidai mamlaka kamili ya kuendesha...
Magazeti karibu mengi ya leo yanaeleza kwamba kesho mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete atahutubia Bunge la Katiba. Huko ataambatana na karibu viongozi wote wakuu wa sasa na wa zamani.
Wametajwa...
Hii TBC inatumia muda mrefu kuwapa CCM kujadili swala la muuungano na kuelezea wanachotaka wao na kibaya zaidi wanamjadili Warioba kama ndio anataka serikali tatu wao wanafanya kama kampeni vile...
Wadau kuna upotoshaji mkubwa unafanywa kupitia TBC na hasa hyu kingunge ndio hajui hata historia ya muungano ccm wamekua hawasemi ukweli, eti Nyerere na karume wameunda muungano wa nchi moja huu...
Dodoma. Mwanasheria Mkuu (AG) mstaafu wa Kenya, Amos Wako amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutokupuuza maoni ya wananchi katika kutunga Katiba ya nchi vinginevyo watazua mgogoro...
Dodoma. Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ambao ni wanachama wa CCM, wamepinga Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa maelezo...
Ndugu wanajf wenzangu,
Kwa sisi wote wapenda demokrasia wa kweli napenda kuwaomba na kuwakumbusha kwamba tushirikiane kuwakumbusha wajumbe wa bunge maalumu la katiba ili wakifika kwenye...
"Nijapotakiwa kuchagua kati ya chama changu au nchi yangu, hakika nitachagua nchi yangu" (Prof Baregu, 2013)...
Punde si punde, mawe yaliyokataliwa na waashi (Mh Abdu Jumbe, na Mh Njelu Kasaka)...
USALA WA TAIFA KUIBUA HOFU KWENYE VYOMBO VYA HABARI KESHO.
Mpango kabambe ulio sukwa na UWT kwa kuyatumia magazeti matatu kesho umesukwa na frontpage za magazeti hayo kesho zitakuwa na habari...
Ndugu wanajamvi,
mnamo wiki mbilizilizopita kulikuwa na matangazo bungeni kuhusu kikundi kipya cha wabunge kinachotwa umoja wa wanafalsasfa ya Nyerere na karume, wenye lengo la kudumisha falsafa...
kama tulivyoelezwa hapa jamvini leo, wale nguli walioalikwa kuja kuwapiga msasa wajumbe wa wa bunge la katiba walikuwa ni pamoja na omar mapuri, msekwa na kutoka nje ya nchi ni amos wako...
nlipozaliwa hadi nakua nlikuta hako kamsemo...tanzania ni muungano wa tanganyika na zanzibar, zanzibar ina katiba, wimbo wa taifa na raisi je mbona tanganyika haina hvyo vitu?....Namheshimu sana...
THURSDAY, MARCH 20, 2014
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya...
Mpango kabambe ulio sukwa na UWT kwa kuyatumia magazeti matatu leo umesukwa na frontpage za magazeti hayo leo zitakuwa na habari mbili kuu.
1. Hotuba ya Jk
2. Hotuba ya Warioba.
1. Hotuba...
Inasikitisha sana kuona 'Siasa' imeiteka Katiba mpya....kila mtu anacheza mziki wa wanasiasa,wimbo ni serikali tatu na serikali mbili kila kukicha..Ata wale wanaojifanya wanauchungu na raslimali...
Nimejaribu kusikia na kusoma hoja nyingi hapa Jf kuhusu swala la uraia wa Watanzania ambao walizaliwa Tanzania na wale ambao wanataka kuwa Watanzania lakini pia hawakuzaliwa Tanzania lakini kwa...
Wadau mlio na ratiba ya shughuli za Bunge la katiba kwa leo naomba kujuzwa Jk atahutubia saa ngapi ili nami nipangilie ratiba zangu ikiwa ni pamoja na maandalizi ya kununua petrol ya kuwashia ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.