Leo ni siku ambayo mh. Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kulihutubia bunge maalumu la katiba. Hotuba yake inakuja baada ya kutanguliwa na hotuba mbili...
Bunge maalum la Katiba leo limepata mgeni kutoka Kenya mh. Amos Wako ambaye alikuwa mwanasheria wa Kenya na alishiriki katika mchakato wa kuandaa katiba.
Lengo la ujio wake ni kutoa fursa kwa...
Naipinga hoja ya wenje kujadiliwa bungeni kwa sababu 1. Sheria ipo tokea kitambo sana kifungu namba 154 na 155 vinatoa mpaka adhabu ya kifungo cha maisha au miaka kati ya 20 na 30,2. Kuna mambo...
habari wanaJF,
NIMEKUWA NIKIFUATILIA MJADALA KUHUSU KATIBA MPYA TOKA ULIPOANZA, JAMBO AMBALO LIMEKUWA LIKIJITOKEZA SANA NI SUALA LA MUUNDO WA MUUNGANO, SASA UKIANGALIA JINSI MJADALA UNAVYOKWENDA...
Wakuu hii kitu inazunguka kwenye blogs kadhaa, sijui kama imeshafika humu JF...
CCM inajitahidi kuwatumia wananchama wake waliokuwa kwenye tume ya katiba kuhujumu rasimu iliyowasilishwa na...
Bonyeza vidio
KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA MZALENDO MAGOMENI 16 MARCH 2014 PART 3/5 - YouTube
KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA MZALENDO MAGOMENI 16 MARCH 2014 PART 4/5 - YouTube
KAMATI YA...
Ndugu zangu,
Watanzania leo ni kama watu wenye kusubiri mtoto wa kwanza atakayezaliwa. Hakuna ajuaye kama ni wa kike au wa kiume.
Lakini , uhakika walio nao Watanzania ni kuwa kuna mtoto...
Naikumbuka Stori moja ya Mtume Paulo katika biblia,mark alihitilafiana na Paulo na kukubaliana kutokukubaliana baada ya safari ndefu kila mmoja kivyake wakaja kukutana na kufanya injili pamoja na...
Wakuu salaam
Kadiri ya siku zinavyo zidi kusogea homa ya kupata katiba mpya inazidi kupamba moto.
Na wakati hali ikiwa hivyo mgongano wa mawazo kati ya wadau wa serikali mbili na wale wanao...
Kwanza napinga hakuna dhana ya Uraia wa nchi mbili,labda tuseme Ukazi wa Nchi mbili , Je nini kina determine Uraia wa Mtu? Asili yake au Ukazi wake ,Je Uzalendo wa mtu unajengwa na URAIA...
Mara nyingi nimesikia hii kauli 'serikali mbili zilizoboreshwa' na bado sijaelewa ni kitu na maboresho yake yakoje, mzee Warioba aliwasilisha rasimu ya katiba inayotetea serikali 3 na kuijengea...
Msome Zitto kutoka FB:
Zitto Kabwe
'Ni Nchi' nukuu za Katiba na Rasimu
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977
1) Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.
2(1) Eneo la...
Leo ni siku ya Historia kuandikwa. maana ni siku ambayo ama mwanga utaonekana ama giza litatanda sana. Ni siku ambayo kila aliye na uhai katika taifa hili anatarajia ya kwake kutoka kwa Rais wa...
Na nawaelezeni enyi wenye ushabiki na mawazo yenye uchoyo wa huruma....WaZanzibari wenye tafakari yakinifu wanasema yafuatyo:
1. Usalama wao unategemea nguvu ya muungano kwa % mia moja. Mkiondoa...
Mzee kingunge anamtaja mwalimu nyerere akiupinga muundo wa serikali 3,mbona hamtaji wakati ana kemea mafisadi? je ana masilahi gani na muundo wa serikali 2?
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu, Samuel Sitta, amesisitiza msimamo wake wa kuwashughulikia wajumbe wa Bunge hilo wenye nia ya kuvunja
Muungano uliodumu kwa miaka 50 sasa. Awali kabla ya kusisitiza...
Najiuliza sana hili maana katiba yao tangu mwaka 1985 inagongana na ya Tanganyika.Huku baadhi ya watu wakiamini LABDA ZANZIBAR wanaweza kubadili katiba yao na kurudia katika hali ya kawaida.
Kwa...
Kwa wale waliofuatilia Hotuba ya AG Mstaafu wa Kenya, Amos Wakko, ni kwamba nafasi mbalimbali za uongozi wa Umma, mfano Waziri, Katibu Mkuu, Jaji, Mwanasheria Mkuu, n.k. watu wenye sifa stahili...
1. Alianza kwa kusema ‘kwa ujumla nchi zetu zina hali moja kwamba bado ziko nyuma kiuchumi na ni tegemezi, wa Ulaya wako mbali sana kimaendeleo na ndio walitutawala…. wa Asia na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.