Published on 21 Mar 2014 KUMRADHI: Utanisamehe sikuwahi Kuipata kuanzia Mwanzo. Hii ni Hotuba Ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Akihutubia Bunge...
Katika hotuba ya Kikwete hakuna hata sehemu moja ameisifia rasimu. Kila kipengele kadai kina matatizo. Kwa nini rrasimu isitupwe basi tuanze upya? km maoni yake yatafuatwa maana yake tlazima...
Nimejaribu kuwasikiliza viongozi wetu kuhusu swala la muungano lakini nimeguswa na mantiki za hoja zao katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya muungano.
Tume ya Jaji Warioba ilifikia makubaliano...
Wanabodi,
Wakati mjadala wa muundo wa muungano ukiendelea, na haswa ukinzani kati ya mapendekezo ya Tume ya Warioba ya kupendekeza muundo wa serikali tatu, huku msimamo wa Chama cha Mapinduzi...
Chama kilichokuwa cha siasa mwishoni mwa karne 21, ambacho sasa ni kikundi cha uharamia, ugaidi na ujangili kiitwacho Chama cha Mapinduzi yani ccm, kimejinasibu rasmi kuwa chenyewe kinaishi...
"...Waasisi walituachia muungano wa nchi moja yenye serikali mbili na siyo nchi mbili zenye serikali mbili..." - Jaji Warioba
Hapa CCM hata wafanyeje, hawaamki !. Hoja hii ya Warioba, haiwezi...
Utaifa ni janga ukiukosa, bora kama itashindikana kupanga mikakati vipi tunaweza kuishi kama ndugu kama zamani haitowezekana lakini tubaki tuwe kama Taifa la Zanzibar litakalokua na maamuzi yake...
Imewekwa Thursday, June 6 2013 at 22:05
Dodoma na Dar es Salaam. Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wamedai kuwa muungano unaweza kuvunjika kutokana na pendekezo la kuundwa kwa Serikali...
Mapinduzi ya zanzibar ilikuwa tarehe 12 january 1964 na baada hapo wakataka kumwngusha karume walikuwa wadundane pemba na unguja karume akaomba jeshi 300 kwa nyerere ili kumlinda karume na...
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Joseph Warioba.
Na Waandishi wetu
21st March 2014
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la katiba kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameipongeza hotuba...
Hakika , kuna baadhi ya wajumbe hususani wabunge ,ndio watakua chanzo kikubwa cha kupatikana kwa katiba mbovu .
Kutokana na sababu zifuatazo; .
1. Ujuaji walio nao wabunge, mjumbe ataona bora...
Kwa hakika hakuna mtanzania anayeilewa na kusoma katiba iliyopo na mwenye mapenzi mema na Nji hii anayepinga KATIBA MPYA.
Kwa busara na hekima ya wanaoisoma Katiba yetu naomba tuainishe...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa kuna taarifa za kiintelejensia zinasema KUNA KUNDI KUBWA LA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA wamejipanga kumshangilia mheshimiwa mtukufu rais wa jamhuri hii ya...
Umoja wa wapinzani bungeni ambaye julius mtatiro ni katibu wake ndio tatizo kubwa pale bungeni dodoma. Hawa watu wadhibitiwe ipasavyo. Hili kundi linaratibiwa na akina lema vinara wa vurugu na...
Wanabodi,
Naangalia hapa kipindi cha mahojiano TBC yanayoendeshwa na Shabani Kissu, waalikwa wake ni Mwanasiasa Mkongwe, Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru na Spika wa Baraza Wawakilishi Zanzibar...
Kwa kweli nimeamini warioba hafiki bei, yaani ccm njia yao ya kuhonga imegonga mwamba,yule mzee alikaraa burungutu la pesa ambalo Mwigulu alimpelekea , alikataa kata kata akasema yeye atasimamia...
Warioba alidanganywa, akavimba kichwa, akatoa maoni yake badala ya maoni ya watanzania. Hajatutendea haki wananchi wanyonge. Ni mtu wa kutafuta umaarufu usiomstahili. Hii ni hatari sana na anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.