KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amesema madai yake ya zaidi ya miaka 20 kuhusu Serikali ya Tanganyika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
BAADA ya mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupitia kundi la vyama vya siasa, Mchungaji Christopher Mtikila, kutishia kufungua kesi katika mahakama ya kimataifa kuzuia vikao vya Bunge hilo...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Dodoma. Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na mawaziri wakuu wastaafu, Frederick Sumaye na Cleopa Msuya, jana hawakuhudhuria uzinduzi wa Bunge la Maalumu la Katiba kama ambavyo ilitangazwa na Katibu wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kusikiliza kwa makini hotuba ya JK jana na kulinganisha facts za JK Vs Walioba, kwa upeo wangu nadhani JK yupo sahihi zaidi kwa wazo la serikali 2
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kupitia ukurasa wake wa facebook Zitto Kabwe ameandiki hivi;Serikali 2 zitaendeleza hisia za Utanganyika kwa kasi Mkuu wa Nchi kamaliza kuhutubia Bunge la Katiba. Kimsingi kaegemea upande wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa nchi mbili tofauti hadi 1964, zilipoungana na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapo kiongozi wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipata kuwa Rais...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Watatnzania tusidanganyike,pale bungeni hatujapeleka wawakilishi .,tumepeleka wapigania vyama ...hakuna hata mmoja anayesimamia maslahi ya nchi katika swala zima la muungano .,bali wote wameenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moderators tafadhali msiunganishe sred Hii.. Tokea dalili Za awali Za kufanyia marekebisho katiba Yetu Hatimae Azimio la Kuunda katiba mpya tumeongelea sana sana suala hili Na kadiri siku...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Hili jambo halijaanza leo hata Kikwete mwenyewe kalitambua lakini naye amejitahidi kulizima kama walivyofanya watangulizi wake. Kwa sasa ataona amewanyamazisha watanzania wanaodai serikali tatu...
1 Reactions
2 Replies
701 Views
Dodoma. Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Naona jambo ambalo wengi hatulijui kuhusu Muungano wa Zanziba na Tanganyika Na wanaojua siri hiyo yawezekana wameambiana wao kwa wao na kula amini kutoitoa kwa mtu mwingine Kwanini Watanganyika...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewasilisha Rasimu ya Pili ya Mabadiliko ya Katiba katika Bunge la Katiba Machi 18, mwaka huu. Katika hotuba yake, Jaji Warioba...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Suala la upatikanaji wa Katiba siyo tatizo kabisa kwa kuwa mambo yote yaliyowahi kufanyika na nayanayofanyika Duniani ni zao la Wazo,Imani na utekelezaji. Nimetafakari sana nikagundua kuwa tatizo...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Nimekaa kimya kuwasikiliza watu wakimsifia Rais lakini mimi naona yeye ndio chanzo cha tatizo kwa hoja zifuatazo: 1.Rais alikuwa wapi kuwaambia Zanzibar kuwa wamevunja katiba kwa mabadiliko yao...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu waliojaliwa uwezo na uelewa na Mwenyezi Mungu, wanajukumu kubwa la kuhakikisha uwezo, vipaji, karama, elimu na uelewa wao unatumika kusaidiwa wengi ambao kwa namna moja au nyingine hali ya...
1 Reactions
0 Replies
938 Views
Nichukue fursa hii kueleza yangu moyoni, Watanzania kweli tulikuwa tunahitaji katiba bora na si bora katiba kilichopendekezwa kwa jaji warioba na wananchi ni maoni yatokanayo na deficiency ya...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Haya ni Maoni yangu sawia baada ya kuona michakato mbalimbali yakifanywa kutokana na kukosa upeo wa kufikiri! Ikimaaniasha asilimia kubwa ya viongozi walikuwa na akili za wasitani tu ama vilaza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko bungeni,sioni dalili ya kupatikana kwa katiba mpya,siioni hata kwa mbali. Nilianza kuingiwa na mashaka haya tangu mwanzoni mwa bunge hili la katiba,nilitilia...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Wana jamvi kutokana na yaliyosemwa bungeni jana,sasa najiandaa kwenda mahakamani kuidai tanganyika huru,nitaungana na mchungaji mtikila,hivyo naomba wale wote walio tayari tuungane hapa,tumeni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete jana alibadili upepo wa mchakato mzima wa Katiba baada ya kutoa maoni yake binafsi, akitaka muundo wa Serikali mbili badala ya tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Back
Top Bottom