Mbunge CCM amponda rais
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wameipinga hotuba ya Rais Kikwete kwa madai kuwa imejaa vitisho na kujibu hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph...
---- uwezekano mkubwa rais mstaafu alijua ni kitu gani mwenzie atazungumza na kwa ajili ya kulinda heshima yake hakuhudhuria ili tu asionekane kama yupo pamoja nae katika kile ambacho alizungumza...
Swala la nini hasa iwe muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanziba ni kizungumkuti.
Wengine muundo wa serikali 3,wengine 1,wengine 2 wakati mmoja nani mfungaji?nani anaweza kuibuka mshindi hasa...
Sijawahi kujisikia mtanganyika kama nilivyojisikia leo hii wakati nikisikiliza hotuba ya rais Kikwete.
Ni hotuba iliyoibua hisia za utanganyika zaidi kuliko ilivyokuwa awali.
Hotuba yake...
Ndugu zanguni,
Najua wengi mtaniita kigeugeu, msaliti, mwoga na sina msimamo.
Hotuba aliyoitoa Rais Kikwete jana imenibadili kabisa msimamo wangu kuhusu muungano na ninakubaliana nae kuwa dawa...
Johnson Mbwambo
Muhariri wetu Johnson Mbwambo raia mwema
Ilistahili ajiuzulu uwaziri baada ya kuchaguliwa
WIKI iliyopita niliandika kuhusu muundo na mwenendo wa Bunge letu la Katiba...
Huyu mzee taifa lilimuamini matokeo yake ameisaliti nchi na kuamua kuvunja muungano kwa njia za panya, pale anaposema kwenye katiba eti serikali ya jamhuri (TANZANIA) itakuwa na mamlaka na vyombo...
SURA YA KWANZA
ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
Zanzibar
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake...
Nilikuwa naangalia kwa umakini juu ya wageni wakitaifa walioingia kwenye uzinduzi wa Bunge maalumu la Katiba nilijiuliza maswali mawili
1) Rais mstaafu B W .Mkapa hakuwepo na wakati yupo nchini na...
Naona mijadala imekuwa mikali sana kujadili Muungano. Je hili ni Bunge Maalumu la Katiba au Bunge maalumu la Kujadili Muungano?
Tusipoteze muda kujadili Muungano, Kuna mambo mengi sana yanatakiwa...
Wakuu, jana ilinikuta safarini hivyo sikupata nafasi ya kumsikiliaza mh. rais wakati akijibu hoja za watanzania (na si Warioba).
Katika pitia yangu ya magazeti leo nimeona gazeti la Mwananchi...
Nakaa nikifikiria ya kuwa Ikiwa Rasimu imeweza kutekwa nyara na kupondwa na kupondwa na kuifanya si lolote wala si chochote. Lilobaki tunajipa moyo kujikomboa na hatari inayotukabili kwa kupiga...
Ili kukata mzizi wa Fitina kati ya Tanganyika na Zanzibar...nawashauri wajumbe wa Bunge maalumu la Katiba wapitishe Kuundwa kwa serikali 1 nchi 1. Hapo ndiyo Muungano wa Kweli utaonekana. Kuwepo...
SERIKALI TATU INAWEZEKANA, INATEKELEZEKA.....
SEHEMU YA KWANZA:
Tuanze na dua ambayo ninapendekeza kwa kila mjumbe kaika bunge la katiba kuikariri na kuisoma binafsi au katika kikundi asubuhi...
Dodoma. Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge...
Wadau wa jf. salamu kwenu.
awali ya yote niwashukuru kwa kujadili mada muhimu kwa mustakabali wa taifa letu.
Katika kuhakikisha tunapata katiba nzuri nitoe ushauri kwa wabunge kuwa wao waendelee...
Rais ni kiongozi wa nchi ambaye amepewadhamana hiyo na wananchi. Pia ni ukweli kuwa Rais ametokea kwenye chama anachokiongoza. Huu nimfumo wa ki-dunia kwani kila nchi hasa zenye mfumo wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.