KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
- Jana Rais JK, anahitaji pongezi kubwa sana kwa kutoa hotuba ambayo inakuwa ni ya kwanza ya aina yake infact ninaiona kama hotuba ya The Century. Rais alikuwa makini sana kwa kuongea akitumia...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwanza nina-declare interest kwamba mimi si muumini wa serikali mbili au tatu. Mimi ni muumini wa serikali moja na kama hiyo moja imeshindikana basi ninachukizwa na kitendo cha Zanzibar kuwa nchi...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kosa la kwanza alilofanyarais ni kutojitambua kulihutubia bunge maalumu la katiba kama rais, mwenyekitiwa CCM, mbunge, au mtanzania wa kawaida. Kama mtanzania wa kawaida muda wakukusanya maoni ya...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete juzi bungeni imeleta mpasuko mkubwa miongoni mwa Watanzania, na sasa wengine wanamtuhumu kwa kusaliti Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wananchi na taifa. Wapo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF na watanzania wote. Swala la kutunga katiba ni nyeti na linahitaji tafakuri kubwa. Yamesemwa mengi na hapa tulipofikia sioni uwezekano wa kupata katiba mpya iliyo bora kwa...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Profesa Mwesiga Baregu Na Waandishi wetu 23rd March 2014 Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu , amesema Rais Jakaya Kikwete, alitakiwa kuieleza tume kasoro...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Wadau naomba kuuliza swali kam linavo onekana hapo juu katika mada, tumeshuhudia kila mtu akisema Zanzibar imevunja katiba ya muungano kwa kujitangazia inchi katika jamhuri ya muungano wa Tz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niwape angalizo wajumbe wa bunge maalumu la katiba ya kuwa, rasimu hii ya katiba pamoja na kupendekeza serikali tatu, imeandikwa kwa mpanglio na muundo wa serikali tatu ina ibara nyingi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kulifungua Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, hotuba hiyo imebezwa na viongozi wa vyama vya wafanyakazi, wakidai amepuuza maoni ya Watanzania. Walisema...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa namna mchakato wa katiba mpya unavyopelekwa na wajumbe wa BMK, bora tuendelee na katiba ya zamani maana huenda kuna vipengele vitaharibiwa zaidi mfano suala la mawaziri kutotokana na wabunge...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, MHE. JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA, AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA, MACHI 2014...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi, nimejaribu kutafakari hotuba ya JK wakati wa kulifungua bunge la katiba haswa kuhusu kipengele cha muungano maswali yafuatayo yakajitokeza: Kama kero za muungano zimeshindikana...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Huyu alishantangaza kugombea urais lakini rasimu inapendekeza mgombea we above 40 yrs! pole sana zito,ubunge ulikwishaaga,sasa na urais ndo hivyo tena
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Dodoma. Wenyeviti wa vyama vya Upinzani vya Chadema, Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku walikutana ili kutoa kauli ya pamoja, kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge...
1 Reactions
64 Replies
17K Views
Ili kulionyesha Taifa kuwa mnapigania maslai ya kweli kwaajili ya watanzania wote inabidi kufunga virago na kurudi makwenu pale ccm itakapolazimisha kura ya wazi. Watanzania hatutawaelewa tena...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mod naomba msiunganishe na nyingine zinazohusu KATIBA MPYA Hamjambo wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kusema kuwa ninachokiandika hapa ni mawazo yangu na mengine nitapenda nielekezwe kwa busara...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Kwa mujibu wa JK, "taarifa ya Tume imeonesha kuwa Watanzania waliotoa maoni yao kwa Tume kwa mdomo na maandishi walikuwa 351,664. Kati yao ni wananchi 47,820 au sawa na asilimia 13.6 ndiyo...
0 Reactions
4 Replies
758 Views
JK na wengine waachiwe ukumbu ijumaa km atapiga majungu....au kuleta kejeli kwa warioba...Hapo tutapenda CCM waonje faida ya kura ya wazi kwa wajumbe kutoka nje...km watakuwa tayari kulimeza hilo.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Niulize wana JF kwani tunaandaa katiba gani? ni ya Tanganyika, Zanzibar au Katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania? Kama ktiba ya muungano basi automatic kama kuna Zanzibar basi Tanganyika ipo...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Raisi toka njee uwatake radhi mama maria nyerere na mzee wetu mwinyi kwa usumbufu uliowasababishia bila sababu yeyote ya msingi. Ndugu wana jf itakumbukwa kuwa jana raisi alitoa hotuba ya ufunguzi...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom