1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA- Mwenyekiti
2.Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino
RAMADHANI - Makamu Mwenyekiti
WAJUMBE KUTOKA TANZANIA - BARA
1.Prof. Mwesiga L. BAREGU
2.Nd. Riziki Shahari...
Ukweli ni kwamba hakutakuwa na mshindi kati ya makundi yanayotaka serikali mbili au tatu. Serikali mbili au moja zote zitakuwa na matokeo ya kuuharibu umoja wetu na hata kutishia amani iliyopo...
Kwa haraka unaweza ukadhani kwamba kamati ya maridhiano ni nzuri na hasa kwa kuangalia wingi wa wajumbe wenyewe (600+) ambao kwa kweli ni vigumu kupata makubaliano. Binafsi sikuipenda kabisa...
Kwanza pole na majukumu ya kazi nzito uliyopewa na Mheshimiwa Rais kwa niaba ya wananchi kuandika rasimu ya katiba. Mara baada ya kuwasilisha rasimu ya katiba bungeni kulikuwa na muendelezo wa...
Zitto Kabwe ANASEMA:-
Serikali 2 zitaendeleza hisia za Utanganyika kwa
kasi
Mkuu wa Nchi kamaliza kuhutubia Bunge la
Katiba. Kimsingi kaegemea upande wa msimamo
wa Serikali 2 ambao ndio...
Kwa muda mtefu nimekua nikijiuliza maswali ya fuatayo kuhusu nchi yangu ya Tanzania:
(1) Je,jina lililochukua nafasi ya nchi ya Tanganyika ni Tanzania bara au ni Tanzania?
(2)Mimi kwa ufahamu...
katika kufanya mwafaka wa serikali mbili, kikwete hakuonekana kuguswa na kero za watanganyika wanapoingia ardhi ya znz.Kikwete alijikita kutatua kero za waznz.
madai ya serikali tatu yalilenga...
Watuw anaweza shangaa ila huo ndio ukweli..Hii si mwanzo ktk dunia mataifa kununua vipande vya ardhi,kununua visiwa etc.na kuwapa wakazi wake waishi ila liwe chini ya nchi iliyonunua. Hii ni...
Mwalimu wangu wa dissertation aliwahi nifundisha ivi; unapotaka kutatua kero flani katika jamii flani njia mahususi ni kufanya utafiti yaani research kwa kizungu.
Katika kufanya huo utafiti...
Huo ndio ukweli.
Inaonekana rais wetu amechoka na sasa suala la katiba mpya kwake imekuwa ni mzigo mzito sana.Wengi wetu tuliona dhamira njema pale awali lakini sasa inaonekana kaelemewa.kwa...
Wanabodi,
Jee wajua kuwa Rais Jakaya Kikwete, hakulizundua rasmi Bunge Maalum la Katiba, bali amelihutubia tuu bila kulizindua rasmi?!.
Rais Jakaya Kikwete, alialikwa Bungeni ili "kulizindua"...
Maoni ya baadhi ya watu na hasa wanasiasa na hasa hasa wana UWAKA bungeni yananikumbusha jinsi ambavyo Paul Kagame wa Rwanda alivyochomwa na maneno ambayo Rais JAKAYA KIKWETE aliyatoa kwa Dikteta...
Katika hali isyokuwa ya kawaida leo Kikwete amekwepa kabisa kuzungumzia swala zito la zanzibar kuvunja katiba ya JMT. Huu ulegevu na kuficha ficha kuambina ukweli ndio muungano unaotetewa? Km...
Wadau,
Natumai kuwa hamjambo na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku. Wale wenzangu ambao wapo kwenye viwanja vya burudani, starehe na michezo, niwatakie kila la Kheri.
Kama kawaida yangu...
Maoni ya baadhi ya watu na hasa wanasiasa na hasa hasa wana UWAKA bungeni yananikumbusha jinsi ambavyo Paul Kagame wa Rwanda alivyochomwa na maneno ambayo Rais JAKAYA KIKWETE aliyatoa kwa Dikteta...
Akizungumza katika kipindi cha asubuhi kupitia TBC1 mkongwe wa siasa nchini Mhe. Steven Wasira amesema rasimu iliyotolewa imeipa majukumu makubwa sana serikali ya muungano ambayo haina madaraka ya...
WANAMWAGA UBWABWA! TUNAMWAGA MCHUZI!
* Sasa wazanzibari tunarudi katika dai la asili, Muungano wa Mkataba.
* Hakuna alietaka serikali 3 Zanzibar.
* Asilimia 66 walitaka Muungano wa...
(1) Mara tu baada ya Mkapa kuingia madarakani, alikabidhi kuongoza tume ya kuchunguza rushwa. Waryoba na tume yake wakafanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu na kutoa ripoti kamili isyokuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.