Wanajamvi
Mhe. Mwenyekiti Samweli Sita amejibu muongozo wa mhe Mtatiro kuwa amepokea pia maandishi toka kwa wengine juu ya Hotuba ya Rais dhidi ya Hotuba ya Mkiti wa tume Mhe. Jaji Warioba...
Kada maarufu wa CCM, Peter Kisumo, amemtupia lawama jaji Warioba na kumtuhumu kwamba yeye ndiye chanzo cha serikali tatu-- hoja ambayo imeingizwa kwenye rasimu ya mwisho ya katiba ili ikajadiliwe...
Katika hali ya kawaida, mtu mzima tena mwenye akili zilizotimia, hawezi kutishwa na kivuli chake mwenyewe. Ni zezeta au mtu mwenye kichaa cha mbwa anayeweza kutishwa na kivuli chake. Nayasema...
Watanganyika tuna ugonjwa mbaya sana wa kupuuzia tahadhari za msingi wakati zinapotolewa na kusahau haraka kiasi kwamba tunashindwa kukumbuka hata baada ya madhira kutufika> Tunakuwa utadhani...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeshauriwa kufanya marekebisho ya Katiba kabla ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 ili kuondoa vifungu vinavyogongana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Wanajamvi Heshima kwenu.
Kwa kuwa Wanajamvi wako kila mahali.
Tunawaomba walioko kumbi zinakofanyikia chaguzi kama vile St. Gasper, Hazina, Royal Village na Utawala wa kanuni na uandishi...
Wataalam na wajuzi wa mambo nijuzeni,ni kwa sababu gani serikali ya Tanganyika inaogopwa,hususani na watawala waliopo madarakani?
Kwa kifupi Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza serikali...
Nina wasiwasi huyu Mheshimiwa alitoswa asome yale maandishi yaliyovuruga kila kitu yahusianayo na Katiba mpya ambayo bunge lake litavunjika muda si mrefu.
Mengi ya aliyoyasema hayaingii akilini...
Wapendwa watanzania wenzangu......
naamni kwa sisi wachambuzi wa masuala ya KISIASA tumekata tamaaa na jinsi mchakato wa katiba unavyo endeshwa....amin nakwambia katika siku 40 na kitu zilizo...
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na...
Kuna watu wanachangia kuhusu hotuba ya mh kikwete hasa kuhusu watu wanaotaka serikali tatu,kuwa ni watu kidogo sana,ni asilimia 61 ya wale waliozungumzia muungano ambao ni watu 27000,na waliotoa...
Mazee bila shaka mnakumbuka jinsi jk alivyoponda kwa sana taarifa ya tume ya walioba, na zaidi hasa kwa kuponda suala la waliotoa maoni, mimi ninaomba tujadili haya;
1. mara baada ya tume...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeshauriwa kufanya marekebisho ya Katiba kabla ya Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015 ili kuondoa vifungu vinavyogongana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Kwanza mtuombe radhi watanzania kwa kukubali kupindisha kanuni, ili bwana mkubwa ajekuhutubia bunge la katiba baada ya mwenyekiti wa tume ya katiba bwana joseph sinde warioba, kuwasilisha rasimu...
Sikutegemea kama rais ataongea kauli zile.hali hiyo imenisababishia dipression. Warioba alipendekeza muungano utakaoleta mshikamano zaidi namshangaa kikwete kuendelea kuenda muungano wenye ubaguzi...
Wasaalam,
Rais anasema asilimia iliyotoa mapendekezo kuhusu Nchi 3 ni wachache sana hivyo hayapaswi kuwa mambo ya Watanzania wote. Ok imenipa mawazo kuhusu asilimia na Uhalali wa hilo jambo...
Kikwete kachaguliwa pande mbili za muungano yeye ni rais wa muungano, kasema atakaa nma shein kujadili yeye atajadiliana naye kama nani?rais wa tanzania au tanganyika?
Hapa kuna mgongano wa...
23 Machi 2014
TAMKO LA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WA KUNDI LA "TANZANIA KWANZA
Sisi Wajumbe Wa Bunge Maalum la Katiba tunaotoka makundi mbalimbali na pia tunaoamini katika kauli mbiu isemayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.