Kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika haya na kuwa mwana CCM wa kwanza aliyepo na anayedaidika na mfumo kupinga hadharani muundo wa serikali mbili, tangu rais Kikwete alipolihutubia bunge la...
Maridhiano ni tendo la kiungwana na linafanywa na watu wenye nia nzuri, UKAWA kudanganyika na kukaa meza moja eti kufanya maridhiano na Ccm kumepeperusha matumaini yetu kupata katiba mpya. Ccm...
Ndugu zangu, nimefuatiia sana namna ambavyo mchakato wa kuipata Katiba mpya unavyokwenda. Kila anayepata nafasi ya kuongelea katiba anakuja na mtazamo wake.
Tukianzia jinsi Tume ilivyoundwa...
wana bodi!
Naomba kuwajuzeni kuwa mkakati mkubwa wa chama tawala kuendeza utawala wake ni dhahiri kuwa ulijikita kile kinacho endelea sasahivi yaani huu mchakato wa wakatiba,kwahiyo...
Ilipofikia hatua ya ama kura za uamuzi zipigwe kwa kura ya siri au dhahiri kulijitokeza mzozo mkubwa sana baina ya pande mbili; Upande wa kura za wazi/dhahiri ulijumuisha sehemu kama si wana CCM...
Hivi ndivyo Mbunge wa Bunge maalum Julius Mtatiro FACEBOOK anavyomchambua JK juu ya hotuba aliyotoa Bungeni
WANANCHI ELFU KUMI NA SABA WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA NI HARAMU, WANANCHI MILIONI...
Hii ni taswira ya kura ya maoni inayoendelea katika ukurasa wa Kiswahili wa tovuti wa IPP. Ni dhahiri kwamba kura hii ni kielelezo cha jinsi wananchi kwa ujumla watakavyo piga kura kuamua muundo...
Profesa Palamagamba John Kabudi na Bw. Awadhi wanafafanua kwa undani kuhusu rasimu ya pili ya Katiba iliyowasilishwa kwa Mh. Rais J.k Kikwete na Bunge Maalum la Katiba maeneo VIDEO...
bado udhaifu wa hoja ya rais ya idadi ya waliouzungumzia na kuunga mkono muungano wa serikali tatu unazidi kudhihiri.
Je wale waliokuwa wanaunga mkono hoja za wenzao wakati tume ya katiba...
Wanajamvi.
Mhe. Spika ameagiza mpaka taarifa za hansard za hotuba ya Mhe Jaji Warioba na siku ya Hotuba ya Mhe. Rais zichapwe na Wajumbe wagawiwe kabla ili Jumatano tarehe.26 Jtano, Wajumbe...
Bila shaka sitamkwaza yeyote, na hasa lengo langu kuu ni kutaka kuwekwa sawa juu ya mambo machache ambayo ninyi wabunge kabla hamjatoka hapo mjengoni mtakuwa mnenipa majibu ya hoja zangu hizi.
1)...
Jana ilikuwa siku ya muhimu sana kwa Jk na wana ccm kuonesha uzalendo wao na democrasia katika swala la kaiba mpya hususani swala la muundo wa muungano ila wameamua kwa makusudi kujipotosha kwa...
Na Farrell Jnr
Hotuba ya ufunguzi wa bunge la katiba tumeisikia na kusema kweli wengi tulitarajia hasa kutolewa kama ilivyokuja. Wakati ulikuwa unawapita waheshimiwa kwa kudhibiti hisia zao...
Wanajamvi,mimi nina wazo tofauti.Sawa serikali mbili ziendelee kudumu na zidumu zaidi.Mimi nataka serikali 2 yaani ya Tanganyika na ya Muungano.Sioni sababu ya kutokuwa na serikali ya...
Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na...
Tangu kutolewa kwa rasimu ya kwanza na ya pili wana CCM wamekuwa mstari wa mbele kupotosha umma wa watanzania kwa kusema kuwa kwa vile Watu 303,844 ambao ni sawa na 86.4 % ya waliotoa maoni...
Siku zote tumezoea na ndo utaratibu kuwa Rais wa nchi akichaguliwa siku ya kuapa anashika Katiba ya nchi na Msahafu uwe wa Biblia au Quaran kuwa atalinda Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu.PICHA|MAKTABA
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu amesema kuendelea kuijadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete...
BUNGE Maalum la Katiba leo, linatarajiwa kufanya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Kamati mbalimbali, ikiwamo ya Kamati ya Uongozi itakayoshauri suala la upigaji kura ambalo liliwekwa kiporo kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.