Wana jamvi mwalimu alikiri hakujuwa jina la tanganyika lilipotokea,na ni imani yangu jina hili kwa mujibu wa rasimu ya katiba ya wananchi jina hili tutaanaza kulitumia baada ya kupata katiba...
Ndugu zanguni,
Mimi nimekubali kabisa tena kwa moyo mkunjufu serikali mbili.
Napendekeza hizo serikali mbili ziwe kama ifuatavyo
SERIKALI YA TANGANYIKA
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Nadhani...
Wana Ukumbi,
Pamoja na kwamba kuna madhara mengi yatakayo ibuka kama Watanzania tutaruhusu ujio wa Tanganyika, lakini imeonekana bado wapo baadhi ya watu wameendelea kushabikia ujio huo...
Sasa ni wazi kwamba serikali mbili zimeonyeshwa taa za kijani baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukamata uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba.
Jana kamati 14 za Bunge hilo ziliwachagua viongozi...
Binafsi naamini Chadema, Cuf na Nccr wamepambana kiukweli wakati wa kupitisha sheria ya mabadiliko ya Katiba mpaka wakasababisha sheria hiyo kurudishwa bungeni mara mbili baada ya kusainiwa na...
KWA WALE WAZALENDO WA TANGANYIKA HURU TUNAKUSANYA MAONI KUJUA NI WANGAPI WANAHITAJI NA WANGAPI HAWAHITAJI TANGANYIKA HURU.
ANDIKA NENO
a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.
b)HAPANA~TANGANYIKA HURU...
Sasa ni dhahiri kua serikali 2 zimewashiwa taa ya kijani na haziepukiki kwa wenye viti wote ni wale wanaotetea serikali 2
Matokeo yanaonesha katika kamati 14 basi 12 wameshinda ccm kama...
Wanajamvi napenda tusaidiane katika hili,
Nilijaribu kusikiliza hotuba ya mh. mkuu wa Tanganyika na Zanzibar kule mjengoni nikashindwa kuelewa zile kelele za wale akinamama na baadhi ya akina...
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, amekula kiapo batili kwa kutamka jina ambalo siyo la kwake.
Jana asubuhi kundi la wabunge ambao walikuwa hawajala kiapo wakifanya hivyo...
Katika kuonesha Namna Hotuba ya Warioba jana ilikuwa mwiba mkali kwa CCM, mikakati imeanza, Sasa Nawaona Wazee Kingunge Ngombale Mwiru na Pandu Kificho Wapo TBC 1 kipindi cha Jambo Na wao eti...
ndugu wana jf,
binafsi kabisa nililidhishwa nakuchaguliwa kwa ndugu 6, katika nafsi aliyonayo ya uwenyekiti wa bunge la katiba.
lakini sjiui................nimepoteza kabisa matumaini ya kupata...
KWA MAWAZO YALEYALE SIIONI TENA KATIBA MPYA YA HAKI NA KWELI KWA WATU WOTE
Nimetazama majina ya viongozi waliopatikana kwenye kamati za bunge maalumu la katiba nkaona kuwa ni watu...
TUME YA WARIOBA,WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA,RAIS MWISHO NI WANANCHI WENYEWE
Katika mchakato mzima wa kuipata katiba mpya,ni dhahiri tume ya katiba ikiongozwa na jaji Warioba...
KUNA JAMAA KATIKA FACEBOOK KAANDIKA HIVI;
Mzanzibar mmoja aliniuliza kuwa nchi yenu iko wapi , coz nchi yetu ni zanzibar na nchi ya Tanzania ni ya wote. nilibanwa na haja ghafla nikakimbia. JK...
Haya wanaJF kwa wale wanaotaka kujua ukweli juu ya maswala ya kiuchumi baina ya Zanzibar na Tanganyika, kabla na baada ya Muungano huu ndio wakati wenu kuwasikia wadau wa upande wa pili wa...
Bunge Maalumu la Katiba sasa lipo katika hati hati ya kuendelea kutokana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutangaza kuwa hawatakuwa tayari kujadili rasimu tofauti na...
Baadhi ya magazeti ya jana yaliandika ya kwamba wajumbe 400 wa bunge maalum la katiba wanaiunga hotuba ya JK aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa bunge maalum la katiba, kama gazeti la Mtanzania la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.