KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ongera Tundu Lissu Ongera Ismail Jussa; Kwa kazi ya leo hakika mnastahili pongezi ; Sitta pole sana huyo ndio Lissu,,Jussa. Kwa somo la leo basi jipime tena kama unastahili kuitwa wa mzee...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Wakuu, Sheria ziko wazi za kuanzisha na kusajili vikundi mbali mbali katika nchi yetu! Hivi karibuni kimejitokeza kikundi kinachojiita UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) ambacho kilijipanga hata...
3 Reactions
158 Replies
9K Views
Ndugu wanajamvi, Yanayotokea sasa huko Dodoma yaliweza kutabirika tokea mwanzoni huu mchakato wa katiba mpya ulipoanza. Sheria ya mabadiliko ya katiba iliandikwa na kwa uwazi kabisa ikitengeneza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Toka hili bunge lianze limeonesha udhaifu mkubwa, kwa uchache ni kama vile kushindwa kuheshimu ratiba/muda wa shughuli zake , kuvunja kanuni walizojiwekea wenyewe, kutaka kuchakachua/kubadilisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya hatari ya dhana ya ushirikishwaji, ni kutumika kwa watu kuhalalisha uamuzi uliokwishaamuliwa kabla. Ndivyo ilivyodhihirika sasa katika bunge maalumu la katiba kuwa linatumika kuhalalisha...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Bunge Maalum la Katika Limekutana Jioni Hii kuendelea na Shuguli zake Lakini Mvutano Mkubwa Umejitokeza Hali iliyosababisha Vurugu Kubwa Iliyoambatana na Kuzomea Zomea,Mvutano Huo Uliibuka Pale...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Comrades salaam, Nahuzunishwa sana ninaposikia hoja za Utanganyika, Zina niudhi zaidi kwa unafiki wake, watu hawa hutumia pretex kwamba ATI wanatetea " maoni ya Wananchi" ilihali ndani...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Sitta pamoja na ccm kesho jtano wamepanga kuwasilisha bungeni mabadiliko ya kanuni zaidi ya kumi hivi. Nazitaja chache.... Kanuni ya 85 inayohusu kutengua kanuni. Mabadiliko yatakayowasilishwa...
16 Reactions
164 Replies
14K Views
Kwa yanayoendelea bungeni kwa sasa ni wazi kabisa kuwa wananchi tumeliwa. Kila siku wanasoma dua,wakimaliza wanabishana halafu,Mwenyekiti anahairisha bunge. Jamani leo hii wiki ya sita...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau kinachoendelea Bungeni (BLMKT), ni wazi ushauri huu wa Ndg Wacko unahitaji kutafakariwa. Niliwahi kuleta uzi hapa kwamba CCM hawajawahi, na hawana na hawatakaa wawe na haja ya katiba mpya...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Na Maggid Mjengwa, IMETOLEWA hoja bungeni. Mtoa hoja ni Julius Mtatiro, anasema; "Kwa sababu Rais alikaribishwa tu kwa heshima kwenye bunge hili kuja kufungua na sasa akaanza kujibu ile...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Kila kunapokucha, na kila ninavyotafakari kinachowasilishwa kwetu kupitia media kuhusiana na mchakato wa Katiba, nakiona kilichoandikwa kwenye vitabu vitakatifu, kuwa inawezekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ccm hoyeeeeeeeee!!! Baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wamefikia hatua ya kutamani kujitoa kwenye bunge hilo baada hotuba ya rais mwishoni mwa wiki iliyopita. Wengi wanasema kuwa hotuba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wenyeviti wa kamati za bunge waliochaguliwa leo hawa hapa: 1. Hamad Rashid 2: Christopher ole sendeka 3: Shamsi vuai nahodha 4: Anna Abdallah 5: Job Ndugai 6: Anna Kilango malecela =========...
5 Reactions
117 Replies
15K Views
Wanajamvi Ni kiri tangu wamchague, hakuna cha KASI wala VIWANGO; kwani mpaka sasa kazi iliyowapeleka Dodoma haijaanza. Kwa wazo la kurekebisha tena kanuni kama 85,14,nk. Na sio 37na38 ambazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa kuwa wawakilishi wetu wameamua kubaka mchakato wa katiba, na hawataki kuiona Tanganyika ikirudi, wanataka iendelee kuitwa jina la ubatizo, Jina la TANZANIA BARA yaani Tanganyika Zanzibar bara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuhusu muundo wa serikali, CCM ina wakati mgumu kuliko vyama vingine. Sababu ni hizi hapa Waliwaachia sana wazanzibar kujifanyia mambo yanayokiuka katiba ya Muungano. Wanapaswa kumsimamisha...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kila siku zinapokwenda mbele imejionyesha ustawi wa bunge maalum la katiba unarudi nyuma huku ikichangiwa na sitofahamu juu ya umuhimu wa kikao hicho. Yote kwa yote mambo yafuatayo yanatia doa...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Ndugu wanabodi. Kufuatia hali iliyopo bungeni ni ushahidi tosha hakuna katiba mpya kabla ya 2015 na badala yake itakuwa baada ya 2015 kwa sababu zifuatazo. 1. Kutokana na mapendekezo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom