Wakati mchakakato wa kupitia rasimu mpya Katika Bunge Maalum la katiba huko Dodoma ukiendelea, ni nafasi muhimu kwa sisi raia wengine kufuatilia kwa ukaribu taratibu zote, ili tujue bayana yale...
Kwa nini? wanataka kubatilisha mambo yakinifu, yaliyopimwa na kuonekana wazi kabisa. Kwa mfano nikiwa na mjomba wangu, lakini sitaki kumpa kura, kwa uwezo wake mdogo, basi nikifanya kwa siri amani...
Tutambue kwamba zanzbar ikipewa uhuru zaid ya hapa itajiunga Jumuia ya kimataifa ya kiislamu kitu ambacho kitasababisha element za udini nchini
Pili tuwe wakweli kwamba zanzb kuna element flani...
Kuna mjadala mkali wa Muundo wa Muungano wa Tanzania ambapo kuna maoni kinzani wengine wakitaja Serikali Mbili na Wengine wakitaka Tatu.
Napenda kuwakumbusha wana Sisiemu kwamba Chama chao ni...
SAFARI YA KUELEKEA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR INAENDELEA
* Wazanzibari hatukutaka 1, 2 wala 3, tulitaka Muungano wa Mkataba na mamlaka kamili ya nchi yetu.
* Tulimheshimu Jaji Warioba.
*...
wakuu heshima kwenu. Tangu hatua za a wali za mchakato wa katiba suala la ujamaa wa Tanzania limekuwa kimya sana. ilikuwa ni mategemeo yangu kwamba suala hili lingekuwa gumzo kama lilivyo lile...
Ni swali nimekuwa najiuliza muda sasa. Zanzibar inachangia kiasi gani ktk mchakato wa katiba. Kuanzia kipindi cha tume ya maoni mpk sasa wkt wa bunge maalumu.tumesikia posho za wajumbe,kukarabati...
Tanzania na watanzania kwa ujumla, 2po katika wakati mgumu sana
Wakati tunao takiwa kusahau dini ze2,kabila ze2,vyama vye2,tofauti ze2 na itikadi ze2 kwa ujumla ili 2pate katiba iliyo bora kwa...
TAMKO LA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WA KUNDI LA TANZANIA KWANZA
23 Machi 2014
Sisi Wajumbe Wa Bunge Maalum la
Katiba tunaotoka makundi mbalimbali na pia tunaoamini katika kauli mbiu isemayo...
Tanganyika iliyopata uhuru tarehe 9/12/1961 ni ya Watanganyika. Watu wanaotakiwa kuhakikisha nchi inaenda sawa ni Watanganyika wenyewew. Kosa letu kubwa tunalolifanya sisi kusubiri watu wengine...
Wanajamvi naomba kutoa kilio changu juu ya mchakato mbovu ambao unadalili zote za kutuletea katiba mbovu. Sehemu kubwa ya lawama wataanza kuibeba watanganyika kwa umbumbu wao, lakini katika medani...
Mzee wangu Sitta hadhi yako uliyoijenga miaka zaidi ya 60 iliyopita inaporomoka kwa kasi kuliko kawaida, kama unabisha jaribu kutafuta kura za maoni kutoka kwa wananchi wanaokujua na waliowekeza...
Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Kangi Lugola ameapa kuwa atakufa na tai shingoni kwa kuitetea hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kuwa ndiyo iliyobeba...
Hakika Nimemkubali sana baada ya kmwona EATv akitetea kutochachuliwa kwa kanuni hali iliyolazimisha Bunge kuahirishwa. Ameainisha makosa lukuki. Kwani wanasheria wengine hawapo??
Naomba apewe...
Nawasalimi kwa jina la Mwenyezi Mungu.
WANA UKAWA - Wananchi lukuki wako nyuma yenu, pamoja na vitimbwi vingi vya CCM mnavyokutana navyo katika bunge maalumu.
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha na...
Ndugu wana jf, kama mjuavyo taifa letu liko katika mchakato mzima wa kujipatia katiba mpya! Ingawa kwa sasa kuna sintofahamu juu ya sheria ya mabadiliko ya katiba iliyopitishwa juzi bungeni kwa...
Dodoma. Rais Jakaya Kikwete kesho ataambatana na ujumbe mzito wa marais wastaafu wa pande zote za Muungano, wake wa waasisi wa taifa na mawaziri wakuu wastaafu atakapokwenda kuzindua Bunge Maalumu...
Ni nani asiyejua ukweli huu kuwa CCM na serikali yake masuala ya Katiba Mpya kwa sio Agenda yao tangu zama Kale Walipoona moto wa Katiba Mpya umewaka sana wakajifanya wamo kumbe lengo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.