KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
KAMATI YA MARIDHIANO SIX CUF 26 MARCH 2014 SERIKALI MBILI HAZIVUMILIKI PART 3/5 - YouTube
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tunaamini kuwa tutaipata Tanganyika yetu mwaka huu. Tunaamini kuwa Zanzibar yenu itaimarika na kuwa dola kamili. Tunaamini kuwa mapambano yenu yanalenga pia kutusaidia kuipata Tanganyika yetu...
1 Reactions
4 Replies
852 Views
Akiongea katika kipindi cha tuongee asubuhi kinachorushwa na Stat tv,mada ikihusu swala la katiba mpya,mh. Tundu Lissu amekanusha madai ya mjumbe mwenzake, mh.Said Mkumba kuwa wametumwa na...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanyamwezi wana msemo ambao unajulikana dunia nzima, kwamba "MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI''. Usemi huu ni wa siku nyingi tangu enzi za mababu nahata Waarabu na Wakoloni walioitawala Tanganyika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Barua ya wazi kwenu JULIUS MTATILO, TUNDU LISSU, ISMAIL JUSSA NA FREEMAN MBOWE. Nimewataja ninyi kati wa wajumbe zaidi ya 500 ndani ya bunge la katiba hii sio kwa sababu ninyi ni wapinzani la...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
BUNGE MAALUMU LA KATIBA KUSITISHWA HADI MWAKANI,IKIWA.. Kama mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inaudhi tena inaleta kechefuchefu, Bunge lilitumia muda mrefu sana kutunga kanuni hadi baadhi yetu tukawa tunalalamika. Inashangaza leo kabla ya hizo kanuni kabla hazijaanza kutumika kamati ya...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu wanasema kuwa baada ya baba kuona amrithishe mwana mikoba, kitendo cha wananchi kutaka mawaziri wasiwe wabunge kimemkera sana mkuu. Kinatoa uncertainty kwenye siasa za kubebana kwani wakati...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
KATIBA MPYA INAVIZINGITI SANAAA Nimeikuta hii kitu sehemu nikashituka sanaa nikaona ni bora kuileta hapa tuitafakari wote kwa usalama wa nchi yetu sote Tanzania, tukiangalia ugumu wa kupatikana...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Tundu lissu na Said Mkumba wanajadili kuhusu ukiukwaji wa kanuni. Lkn Mkumba analalamika hana hoja anajikanyuaga tu. Tundu anajadili hoja na kuchangia mada kwa mujibu wa kanuni tofauti na Mkumba...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninachowaza: Sijui nimefyatuka tu au nini; nimeamka na kutaka kuona kuwa CCM kwenye Bunge lao la Katiba wanasimamia kanuni zao na maslahi yao... nataka nione wakitumia wingi wao kupitisha...
13 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi nimemwona mbunge wa Sikonge bwana Said Nkumba akijibu hoja,amesema eti wanataka kura ya wazi ili wananchi waliowatuma waone wamechagua nini. Swali la...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Barua ya wazi kwenu JULIUS MTATILO, TUNDU LISSU, ISMAIL JUSSA NA FREEMAN MBOWE. Nimewataja ninyi kati wa wajumbe zaidi ya 500 ndani ya bunge la katiba hii sio kwa sababu ninyi ni wapinzani la...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sitta anaongea na waandishi wa habari..kuhusu kinachoendelea bungeni. updates Tumekuwa tukipata taarifa ya vikao vya wana UKAWA ambao wao wamejikita katika kukwamisha...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Sitta ni Janga la kitaifa kutokana uwezo wake mdogo wa kiutendaji katika bunge maalum la katiba.Kusema kweli walompa kura kwa kishindo yamegeuka majuto kutokana na kushindwa kuwa fair katika...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tanganyika imeendelea kuwa shamba la bibi yaani hata viongozi tulionao hawaoni kama ipo haja ya kulinda maslahi ya mtanganyika. Sana sana tunashikilia mapokeo ya mababu.!!Huyu mkoloni*(serikali ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Rais Jakaya Kikwete amefanya makosa kuhutubia Bunge “kama mkutano wa CCM” na kuipinga hadharani Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na mwenyekiti wa Tume...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Akihojiwa Mjini Dodoma, Mh. Pinda amesema siku za Bunge la Katiba huenda zisitoshe na kuna shughuli nyingi za msingi na kitaifa ikiwemo Bunge la Bajeti; Hivyo kuna uwezekano Bunge hilo kuahirishwa...
1 Reactions
76 Replies
10K Views
Kwenye kipindi cha TBC nimemsikia mbunge Stela Manyanya akongea kwa uchungu kuwa ni vizuri wabunge walipwe kwa masaa wanayokuwa bungeni wakichapa kazi badala ya utaratibu wa sasa wa kuwalipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani tunavyozidi kuzijua kero za Muungano naanza kuona na kuamini kuwa Nyerere alikurupuka na kumrubuni Karume tuungane na Zanzibar, inaonekana kabisa Wazanzibar hawakuwa tayari kufanywa nyumba...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom