KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Naanza Kuona mwanga kwamba huenda hawa vijana wenzetu wakawa ndio watakasaidia kupata katiba au kukwamua hawa wana "Tanzania Kwanza" na "WanaUkawa". -Zitto, -Kigwangwala -Maria -Halima, etc ...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau wote wa JamiiForums. Naamini kwamba hamjambo na Mwenyezi Mungu, muweza wa kila kitu amewajaalia kuamka salama. Kwa wale ambao kwa bahati mbaya siku ya leo wameamka vibaya kutokana na...
1 Reactions
3K Replies
172K Views
Nawashauri ukawa wakubali muundo wa sasa wa kupiga kura kwa sababu moja kubwa. Wanawatetea wana ccm wa zanzibar ambao hawaoneshi kijitetea Wawakilishi wa ccm znz wana akili timamu. kama hawataki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ezekiah Olouch amewasilisha kwa Katibu wa Bunge, hoja ya kutaka, Bunge lianze kujadili hoja ya Muundo wa Muungano kabla ya mambo mengine ili kupata mwafaka. Oluoch...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama wabunge wa bunge maalumu la katiba ni wale wale waliokuwa wabunge wa bunge la Muungano na wawakilishi wa baraza la wawakilishi na hao wanaoitwa wateule wa rais. Kuna uhalali kweli kusema kuwa...
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Dodoma/Dar. Hatima ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuendelea kushiriki vikao vya Bunge au kutoendelea inatarajiwa kujulikana leo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Chanzo ni kuonekana kuna baadhi vipengele vinaanza kubadilishwa kinyemela hata kabla ya kufanyiwa kazi
1 Reactions
108 Replies
14K Views
angalieni tbc jamani tunaelekea wapi? tz?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf nina swali!hawa wajumbe walienda kwa mawaziri kufanya nn?je hawajui walichotumwa kwenye hili bunge?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni maandano ya kupinga bunge la katiba na kutaka raisi alivunje kwani hatuoni faida yake toka limeanza zaidi ya mwezi wakati katiba kikwete na chama chake wameshaandaa....mapinduzi yote duniani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huenda taarifa ya JF jana usiku kuhusu kanuni kumi ambazo zilipangwa kurekebishwa leo imechangia hali iliyojitokeza leo bungeni. Lakini sasa nawaletea makubaliano mapya ya kamati ya kanuni juu ya...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Hivi hakuna uwezekano kuwapigia mwenyekiti wa bunge awe ana control mic zote bungeni?
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Nimekuwa najiuliza sana kufuatia kitendo cha rais KIKWETE kuelezea msimo wa chama chake CCM badala ya kuzindua bunge maalum la katiba kama mkuu wa nchi. Je, alijisahau kuwa amesimama kama rais au...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwa waandishi wa habari mwaka 1995 hasa kuhusu mustakabali wa muungano “Watu wamezungumza Uzanzibari, baadhi ni viongozi wetu wanajivunia Uzanzibari. Nadhani wengine...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza rasimu iliyo kabidhiwa kwa Rais imependekeza uraia wa inchi 2. wananzuoni mnasemaje kuhusu hili?
3 Reactions
214 Replies
21K Views
Wadau, amani iwe nanyi. Leo sina longolongo nyingi. Nimekuja kuwatonya jambo moja tu ambalo nimetonywa na mtonyaji wangu ndani ya UKAWA. Ni kwamba, kama mnavyojua jana mwenyekiti wa Bunge Maalum...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Wajumbe wa Bunge la Katiba walioshinda nafasi ya uenyekiti na kuteuliwa katika Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, wamewatoa hofu Watanzania na wajumbe wenzao kwa kueleza kuwa watatetea masilahi ya...
0 Reactions
9 Replies
995 Views
MWANASIASA mkongwe nchini, Dk. Chrisant Mzindakaya, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutambua kwamba wanatunga katiba ya Watanzania na si watawala. Sambamba na hiyo, amepongeza...
1 Reactions
3 Replies
909 Views
Ofisi ya Bunge la Katiba imeweka maofisa usalama katika kumbi zote zinazotumika kufanya vikao vya kamati. Gazeti hili lilishuhudia maofisa usalama wapatao wanne wakilinda katika kumbi zilizoko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani swali langu ni moja na fupi tu kama Akili yangu , Hivi Kwa nini Tusiachane na Muungano ? Mbona kama Bara Tunanyanyasika sana kwa kujipendekeza Pasipo Jipendekezeka ? Mbona tunahaha sana...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Back
Top Bottom