Tuna maiti ya Muungano bila kujua - Ndi
Na Ndimara Ndi Tegambwage WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, juzi Jumamosi jijini Dodoma, walishuhudia Chama Cha Mapinduzi kikishinikiza matakwa yake...
Nlikuwa natafakaribu kura ya wazi au siri ktk bunge limependekeza mifumo yote itatumika.Sasa nlishangaa waheshiwa wengine ktk kuipigia kura hoja hiyo walipiga kura ya hapana,yani hawataki kura ya...
Nimeangalia utaratibu unaoendelea bungeni jioni hii ambapo kila mbunge anaulizwa kama anaonga mkono hoja au hapana, utaratibu naona umedoda ile mbaya yaani hauna mvuto na unatumia muda mrefu mno...
Alipokuwa spika wa bunge la 9,alitupa mwamko wa kufuatilia vikao vya bunge.Hasa pale aliporuhusu uundwaji wa kamati ya Mwakyembe iliyochunguza dili la richmond na hatimaye kupelekea kumwagika kwa...
Wadau.
Leo asubuhi katika pita pita yangu ya Kikazi nilihudhuria kikao cha viongozi wote wa Moja ya Dayosisi mojawapo kubwa za KKKT zilizoko nyanda juu kusini (jina kamili kapuni). Kwa desturi...
Kwa vile tume ya katiba ikiongozwa na jaji Warioba inaonekana kama imechakachua maoni ya wananchi. Basi hakuna mantiki yoyote kuendelea na bunge la katiba. Bunge livunjwe, na kura za maoni zipigwe...
Habari wadau,
Naomba mjiandae kisaikolojia kupokea katiba ya CCM kwani wao ndio wengi na hata kile kinachoitwa maridhiano siku zote hunufaisha CCM na kupitia hayo maridhiano "fake"...
Sijui nitauliwa kama mwangosi au mvungi au watanitesa kama dr.ulimboka au nitakufa kiuongo kama balali lakini msimamo wangu ni serikali tatu,sijui wewe ni mfuasi wa serikali ngapi?
Hatujapata kuwa na waziri wa ajababu kama Mwigulu.
Bado anayo mawazo ya kufikiri anaweza kuisaidia serikali kwa kuwadharirisha watu wengine.
Kitendo cha kuwatuhumu wajumbe wenzake kwamba wanayo...
Ivona kutoka mwanza anauliza;
Karume akizungumzia muungano aliwahi kusema koti likikubana ni sharti ulivue, hii ilitokana na matatizo ya muungano kuto kushughulikiwa.
Pius msekwa anasema kwanza...
Makamu II wa Rais wa Znz Seif Idd amemuonya Makamu wa kwanza wa Rais wa Znz Maalim Seif kuacha kuwaongelea Wananchi wa Znz kuwa wanataka Serikali tatu au Muungano wa mkataba wakati hakuna mahali...
Wananchi wanawapenda sana wakati wanapowachagua.Wananchi huwauliza maswali nanyi hujibu maswai yao wakati huo wa kampeni. Majibu yenu huzaa matumaini makubwa kwa wananchi wenu kwakuwa maswali...
Wananchi na umma kwaujumla tuliowekeza matumaini yetu kwa UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI tusimame imara kuzuia hatari iliyombele yetu,
Wiki moja sasa tangu kuibuka kwa nguvu ya wajumbe wakatiba...
kwanza hongereni kwa kupata fursa ya kushirki kwenye jambo kubwa kama hilo kitaifa la uandaaji wa katiba ya nchi hii, ambayo itatuongoza kwa takribani miaka 50 mingine au hata 100.
Naomba...
Maduka mengi jijini Dar es Salaam, hasa yale yanayomilikiwa na jamii ya kihindi yamefungwa. Matangazo yaliyowekwa nje ya maduka yao hayaelezi sababu zipi au kuna tukio gani limesababisha kufunga...
UTANGULIZI
Wahemga walinena, Mficha maradhi kifo humuumbua…Kuendelea Kujaza Maji kwenye ndoo iliyotoboka huku ukifahamua kuwa hayatajaa ni ujinga. Mungu ametupa akili na ufahamu, na hii...
Japokuwa mimi ni muumini wa serikali 1, sasa hivi ni wakati wa muundo wa serikali 3, na hauepukiki. Hii ni kutokana na kero za Muungano amabazo zimetokana na udhaifu wa muundo wa sasa wa serikali...
Sikupenda ule ushabiki wa hoja aliounyesha Wenje, jinsi alivyofoka na kufurahia hisia za unyonge waliopata baadhi ya wabunge wateule. Sikupenda, LAKINI Wenje alikuwa na ujumbe MZITO SANA.
Madai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.