KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Baada ya kufuatilia mambo yanavyoendelea kule Dodoma, nimejuliza ili jambo , kuwa huu ni mpango wa ccm kuakikisha katiba mpya haipatikani? Unaweza kujiuliza kuwa ccm na serikali yake waliamua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnara wa Kariba (Babel) kama auonavyo Massoud Kipanya.
2 Reactions
21 Replies
3K Views
wajumbe wa katiba someni hii
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Hivi huyu Dr Lenny na sijui ni nani huyu wanaongea kuhusu hotuba ya Jk BMK wanasifia tu kushibisha matumbo yao.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
FRIDAY, 28 MARCH 2014 James Mapalala (kulia) akiwa na Rais Jakaya Kikwete Mwanasiasa mwenye historia ya kipekee nchini, James Mapalala amesema ufafanuzi wa Rasimu ya Katiba uliotolewa na Tume...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ina mana ccm washaandaa katiba ndio mana weng wamesema wanataka kura ya wazi...ole wenu wapinzani mtakaoshiriki huu mchakato feki wa katiba ya ccm alafu badae mje kutuomba kura mtatamani...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Samwel John Sitta, je kuna haja ya kumjua kwa undani zaidi? Wengi wa watu humu hawaijui historia ya Samwel John Sitta kabla ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge (2005 - 2010). Je ni wangapi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanzanzibar watoa waraka na kuusambaza kwa njia mbalimbali ikiwepo whatsapp na mtu kwa mtu.
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Tayari alama za nyakati alizosema Kakobe katika waraka wake wa wazi kwa rais jk kuhusu mpasuko ccm yamedhihirika kwa sasa ccm hawaaminiani kabisa ndani ya chama njia iliyobaki kuhakikisha msimamo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
201 kwenye majumba ya watu saa 7 za usiku mnafuata nini wakati Katiba inajadiliwa Bungeni?Nani kawatuma mkatafune vyakula vya watu?Mtavilipaje? Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Prof. Shivji ni kati ya Watu wa mwanzo kabisa waliosaidia hatua za mwanzoni kabisa katika mchakato huu wa Katiba. Ambacho sikielewi ni kwanini katika hatua hizi muhimu; hapa katikati-sheria ya...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
Ninavyojua mwakilishi ni mtu uliyeridhia kumtuma kwa moyo wako akufikishie mawazo yako sehemu husika. Je wale 201 wamechaguliwa na nani?kutuwakilisha?mbona tuliowataka hawakuchaguliwa? Pia hawa...
0 Reactions
7 Replies
832 Views
Habari za jioni wana wa bwana.Mimi nilisikitika sana Mh.Kikwete alipokuja kuhutubia bunge la katiba na badala ya kuhutubia wajumbe alikuja na Kuvaa koti la mwenyekiti wa NEC ya ccm kwa kuonyesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimemsikia mbunge wangu Wa ccm akisema Ndiooooooo Kwa nguvu akitaka kura ya wazi. Mimi binafsi kama mpiga kura wake sikubaliani naye. Kwangu naona maslahi yameharibu kila kitu.
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Mwanadada Mjumbe wa bunge maalum la Katiba amesema makundi mengine hayatendewi haki pale inapoonekana ni dhambi kwa kukaribishwa chakula, wakati huo huo siyo dhambi kwa kundi lingine kufanyiwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi siungu mkono ''process'' nzima ya upatikanaji wa katiba mpya, lakini baada ya kuona watu wanavyohangaika na jambo dogo kama hili nawashauri watumie njia hii: Kwa kuwa eneo lenye mgogoro wa...
0 Reactions
6 Replies
930 Views
Akihojiwa na Sauti ya Ujerumani Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa UKAWA amekiri kwamba ni kweli mpango wa kujitoa upo na kwamba wamekubaliana kuvumilia kwa muda kuwapa Ccm muda wa kufikiria mara...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Dodoma. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) sasa upo hatarini kufutwa kutokana na kutuhumiwa kutumika kuwachochea wajumbe kufanya vurugu katika Bunge la Katiba. Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sitta amesema hotuba ya jk ichapishwe pamoja na ile ya uwasilishaji ya rasimu ya katiba ya Joseph s.Warioba ili ziwe kama hadidu za rejea katika kujadili rasimu ya katiba. Swali langu ni kwamba...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani mnaonaje hili bunge likavunjwa na wakatuelekea wananchi tukaamua aina ya Muungano tunao utaka? Naomba mjadala wana JF
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Back
Top Bottom