KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ukiangalia vita iliyoko bungeni ni wazi kuwa ajenda za ccm zitapita hasa serikali mbili. Hata hivyo mambo yaliyoko kwenye rasimu yaliyohusu uhuru wa nchi washirika mfano vyanzo vya mapato na...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Jamani kuna anae angalia ITV muda huu? Ivi wanachoimba ni sawa, bado rasimu aijaanza kujadiliwa bungeni wenyewe wanaimba serikali mbili ndo mpango mzima.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hii inatoka kwa Kamanda Msigwa: Katika taarifa yake mzee Warioba alituelezea mambo kumi yaliyochangiwa zaidi na wananchi 1. Haki za binadamu 2.muungano. 3.huduma za jamii 4.urais wa jamhuri ya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nikiungana na Wenje.. makatibu wa Bunge ambao ni makada wa CCM hawawezi kusimamia kura ya wazi..wala hansard za bunge haziwezi kusimamia kura za wazi kwani kuzipata kwake ni mchakato...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana nimetumia muda mrefu sana kuangalia silly discussion inayoendelea bungeni dodoma nikaongea na Mungu wangu kwa nini baadhi ya watu wasingekua ndani ya ile ndege ilopotea ili hata mazishi yao...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
GUILTINESS BOB MARLEY"Guiltiness Pressed on their conscience. Oh yeah. And they live their lives On false pretense everyday - each and everyday." "And these are the big fish Who always try to...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wetu hatujaliona hili labda kwa kuwa hulka za miafrika ni kutokujali muda. Kwa uchunguzi mdogo nilioufanya ni kwamba zoezi la kupiga kura hapo jana kupitia mfumo 'mpya' wa 'wazi-siri' '...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Kura ya wazi: Jumla:488 Waliosema Ndio:351 Waliosema Hapana: 87 Kura ya Siri: Jumla: 71 Waliosema ndio: 25 Waliosema Hapana: 46 Jumla kuu: Waliosema ndio: 376 Waliosema hapana: 133
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, Baada ya kupoteza muda wetu kufuatilia wawakilishi wetu wakipiga kura ili kuamua kura watakayotumia, sasa tunapendekeza watumie mwezi mmoja kujadili lugha ipi watakayotumia kutoa...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Hiviv wapinzani katika hilo bunge liliosheheni wajumbe wa CCM,mnatarajia kupata katiba gani zaidi ya katiba ya CCM? Mchukue posho alafu ikipita katiba ya CCM eti mje kujidai kupiga campaign...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Binafsi Mbunge wangu mh. David Silinde amepiga kura ya siri,namuunga mkono bila kujali kwenye karatasi ameunga kura gani. Je wewe Mbunge wako kapiga kura gani,iwe unamuunga au humuuungi toa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu wanajf kwa kifupi naona dhamira kuu ya zanzibar kutaka mamlaka kamili ni pmj na kuwa na free port.sasa swali ni je endapo watafanikiwa nani mteja anayelengwa?je jiografia yao imekaaje ili...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Watawaza na kuwazua.Watafikiri na kujilaumu na kuwalaumu wenzao wote. Watajinunia na kununia wengine.Wataiona 'weekend' fupi na ya kukwaza. Haitanoga kwao na ndugu na jamaa wanaweza kuwakiwa na...
3 Reactions
3 Replies
818 Views
Mimi sioni msingi wowote waliokubaliana haya yaiyofanyika leo kwenye mashauriano yao sana sana wamekubali matakwa ya CCM kwa style nyengine sikutegemea kabisa., Kwanini kwenye kanuni wasiweke kura...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wenje bila kujali kwamba anaudhi wengi amesema kundi la 201 wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji, hii ni dharau kwa wajumbe 201. Vitendo alivyofanya Wenje bungeni ni aibu na upuuzi, kwa hakima...
0 Reactions
307 Replies
25K Views
Ni dhahiri sasa ccm wako tayari bunge la katiba livunjike baada ya jk kugundua kuwa wateule wake akina Warioba wameeda kinyume na maamuzi ya ccm na serikali. Wamekuwa waaminifu kwa wananchi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hatimaye mpaka leo Tarehe 30/3/2014 Bunge la Katiba Dodoma sasa limetimiza siku 40 toka lianze rasmi Tarehe 18/2/2014, na katika muda wote kwa mahesabu ya haraka haraka Taifa letu limekwisha...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
kuna nini viongozi wetu wanaking'ang'ania kwa wazanzibar mpaka hawataki kuvunja muungano wala kusikia swala la serikali tatu..? kuna kitu kipo nyuma ya pazia
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Wapinzani msijitoe katika bunge hili la katiba. mkumbuke kuwa ccm tangu mwanzo hawakuwa na mpango wa kubadilisha katiba hii ya sasa. Umuhimu wa upinzani kuwa bungeni:- 1.watz tutajua hila...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Takribani siku 40 zimeisha wale waheshimiwa wakijadili kanuni tu,hawajagusa sura hata moja ndani ya rasimu ya katiba.Wamevutana sana na zingine zimepita bila msuguano mkali.Zingine mbili bado ni...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Back
Top Bottom