KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wakuu, Kwa heshima na taadhima, nawapongeza JK na Jaji Warioba kwa Hotuba zao maridadi zilizoleta changamoto kubwa katika mchakato wa kupata Katiba Mpya! Suala lililojitokeza ni uhalali wa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nyinyi ni wababaishaji na huo umoja wenu wa UKAWA ni kiini macho tu. Mlishindwa nini kuunganisha nguvu za wapinzani ktk chaguzi zilizopita msimamishe mgombea mmoja alie imara ili muweze...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani kwa wale waliofuatilia upigaji kura,hakuna kura ya siri pale,wajumbe walikuwa wanakuja mbele,kwenye meza,hakuna shading yoyote,hata sisi tunaoangalia kwenye TV tuliweza kuona wajumbe waki...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
nlishangaa sana siku zile nlisikia ataenda kuzindua bunge la katiba ila ALIENDA KUONGELEA SERIKALI 2 NA KUMPINGA JAJI WARIOBA....VIONGOZI WA CCM WANAJITAHIDI KULINDA MUUNGANO WA SERIKALI 2 SIJUI...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Dodoma/Dar. Wakati Bunge Maalumu la Katiba linatarajia kuanza kujadili Rasimu ya Katiba kesho, baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wameanza kuondoka bungeni, kupinga mwenendo wa Bunge hilo. Hatua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Written by makame silima // 30/03/2014 // Habari // 1 Comment...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanaofuatilia mijadala ndani ya Bunge la katiba na sisi tulioko hapa Dodoma kuna baadhi ya vituko na kauli vinafanywa na baadhi ya mawaziri wa Kikwete nje na ndani ya bunge na kujenga maswali...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
kama unafuatilia taarifa za habari za ITV, utakubaliana nami kuwa Makonda na Bulembo wanahojiwa kila siku kuhusu yanayojiri bungeni. swali la kujiuliza ni je, hakuna watu wengine wakuwahoji mpaka...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Ivi jamani kuna watanzania wamepungukiwa akili au ni namna tu ya kujitafutia umaarufu usiokuwa wa maana,au ni kuiga. Mtu anadiriki kusema swala la ushoga ! ( homesexual ..) ni swala dogo sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baraza kuu la waislam limesema lina unga mkono katiba ya wananchi iliyo tokana na maoni ya wananchi ikiwa pamoja na mabadiliko katika mfumo wa muungano ili kuleta umoja na kuumarisha uchumi wa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Hawa ni baadhi ya wananchi wa Zanzibar wakiwatisha wabunge wao juu ya maamuzi watakayofanya kwenye Bunge la Katiba. Kwa hali kama hii ni dhahiri kabisa kwa kuwalinda wabunge hao kura ya siri...
2 Reactions
98 Replies
12K Views
Kinachoonekana kuendelea katika Bunge Maalumu la Katiba ni mashindano kati ya Umoja wa Katiba ya Wanachi (ukawa) dhiddi ya Umoja wa katiba ya CCM (ukaccm). Lakini tukizingatia kwamba katiba...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
MATOKEO YA KURA BUNGENI 1. KURA ZA WAZI ZIMEPIGWA JUMLA 438 A. KURA ZA WAZI ZILIKUWA HIVI:- (1). NDIO 351 (2). HAPANA 87 2. KURA ZA SIRI:- (1). HAPANA 46 (2). NDIO26 2. KURA ZA JUMLA ZA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati Bunge Maalumu la Katiba linatarajia kuanza kujadili Rasimu ya Katiba kesho, baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wameanza kuondoka bungeni, kupinga mwenendo wa Bunge hilo. Hatua hiyo ya wabunge...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kuwa katika kuhutubia bunge maalumu kama kamati ya NEC ya CCM, Kikwete alitumia mawazo ya Prof. Shivji. Ili kuthibitisha hili fuatilia mawazo yake aliyoyatoa katika mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Akihutubia wana- CCM wa Mkoa wa Dar-Es-Salaam katika mkutano wa kuipongeza na kuunga mkono hotuba ya Rais Kikwete katika uzinduzi wa BKM, KATIBU mkuu wa CCM Ndg Kinana ameituhumu tume ya...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
Haikuwa kwenye Ilani wala sera za CCM kwa uchaguzi 2010. Katiba Mpya haikuwepo kwenye ahadi zozote ulizozitoa wakati wa Kampeni 2010. Katiba mpya ilijengewa msimamo na wasaidizi na washauri wako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza nianze kukipongeza chama cha mapinduzi kuleta dhana ya uwazi, chama tawala kimekubali kipenge cha rasimu ya katiba kinachopendeza uwazi serekalini kwa maana hiyo kuanzia mwaka wa bajeti...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Wakuu, Mimi nashangaa sana,baadhi ya vyama vimekuja na misimamo yao ya katiba mpya,mwisho wa siku maamuzi ya kuikubali au kuikataa ni kwa wananchi kama watatuletea rasimu...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
- Adai ni wajibu wake kama Rais kuwaeleza ukweli wananchi - Mziray apinga UKAWA na Tanzania Kwanza! JK alitoa kauli hii wakati akijibu risala ya wazee wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga waliofanya...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Back
Top Bottom