KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hivi niwaulize mnyika na lipumba kulikuwa na haja gani ya kupoteza siku nyingi kwa ajili ya suala la kura ya siri/wazi.!!! Mmepuga kelele weeeeeee Miongozo kila baada ya dkika 5 Halafu mwisho...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mufti wa Tanzania,Sheikh Issa Shaaban bin Simba,hakusema alivyoripotiwa. Hakusema kuwa BAKWATA inapinga uwepo wa Serikali tatu. Nikiwa namwona,kumsikia,kumsikiliza na kumwelewa,Mufti Simba...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, Sipendi niweke porojo sana. Nimeweka kipengele cha Muungano ili GTs waweze kudadavua hatma ya Muungano wetu na uwezekano wa kurejea kwa Tanganyika (wao wameibatiza "Tanzania Bara")...
7 Reactions
13 Replies
7K Views
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ilichangia gharama za kuendesha serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitatu tu tangu 1965 - 1967 kwa asilimia kati ya 5 - 11. Kwa mantiki...
7 Reactions
170 Replies
11K Views
DEMOKRASIA UTAWALA WA KIJINGA UNAPATIKANA KWA WAJINGA. Hakika maneno haya, aliyasema mwanafalsafa wa kale wa kiyunani, Plato. Alipouona utawala unaotokana na demokrasia kuwa ni utawala wa kijinga...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Nawaomba wabunge mliopo kwenye bunge la katiba kwa kuwa mmepitisha upigaji wa kura ya wazi na ya siri kwa madai kwamba,mnamridhisha kila mtu anavyotaka,hata sisi wananchi wapo wanaotaka kura ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kulingana na hotuba ya Jana ya Jaji Warioba, sijaona mkazo kwenye Tume huru ya Uchaguzi Pia, Tume huru ya uchaguzi itahitaji kuwa na mjumbe ambaye ni Jaji mkuu wa Tanganyika Wapinzani wameungana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati Tunasoma CIVICS shule za msingi, tulisoma Tanzania Bara na Tanzania Visiwani? Tanzania ndo Jina la nchi ya Muungano, hakuna Tanganyika wala Zanzibar.... Je Raisi wa Tanzania Bara ni Nani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM walitegemea kuletewa asali wanywe, badala yake wameletewa shubiri. Yaani ukiangalia juhudi kubwa wanazotumia ili wasimeze hiyo shubiri, inafuraisha sana. Mwanasheria mkuu pamoja na waziri wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sasa, uwezekano wa kuipata Tanganyika yetu upo mikononi mwa Wazanzibar na wala si Watanganyika tena. Ninasema hivi baada ya kugundua kwamba katika kura ya wazi, kila kitakachopitishwa ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mjadara wa kura ya siri bungeni ulileta msuguano sana bungeni.Watu wengi ilionesha wanahitaji kura ya siri,hasa vyama ya upinzani wakiongozwa na kiboko yao CHADEMA. Lakini hebu angalia upigaji...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) tangu zama za TANU umechukuliwa kama kiota cha kulea na kutayarisha wanachama na viongozi wa kisiasa na hata wa kiserikali kwa lengo la kujenga siha...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu kuna hizo kamati 12 zilizoundwa kujadili rasimu ya katiba, mwenye mgawanyo wa hao wajumbe tafadhali watuwekee! cc. Chabruma
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Kwanini ikija hoja nzito lazima ipelekwe kamati ya kanuni kwa maamuzi? Ni kuokoa muda ikijadiliwa bungeni au ndo namna ya kuzipooza?
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Kuona mjadala unaoendelea kuhusu muundo wa Muungano, nadhani kosa kubwa sana la Tume ya Waryoba ni kuwa walifanya kazi yao wakiamaini kuwa jukumu lao ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano tu, na wala...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
KAULI ya hivi karibuni ya Rais Jakaya Kikwete juu ya mchakato wa kutafuta Katiba mpya ya Tanzania inaonekana kuwaumiza kichwa watu wengi wa Visiwani na kuwa mada ya mjadala kila pembe ya mji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu tangu asubuhi sijaona updates zozote zinazo husiana na kinachoendelea hapo mjengoni kwani kawaida kila siku zenye kikao cha huwa tunakuwa na uzi hapa kwaajili ya kupashana kinacho endelea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Akihutubia wanaCCM jijini Dar leo,mtoto wa rais wa kwanza wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Balozi Ali Karume,amewatangazia wanachama wenzake kuwa CCM haiko tayari kuona nchi inaongozwa na hao...
3 Reactions
153 Replies
14K Views
Wanajamvi yapo madai yaliyozagaa kuwa ndani ya UKAWA kuna kutoaminiana ikidaiwa kuwa Prof Lipumba na James Mbatia wanatumika na ccm kutoa siri ya mipango ya ukawa. Wengine wanaodaiwa kuisaliti...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa muda sasa kumekuwapo mjadala kuhusu Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano. Kati ya watu waliopata kuzungumzia suala hili ni pamoja na mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji, ambaye mwaka...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom