KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Maneno ya Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yatanipa tafsiri iliyowazi kwa kundi la UKAWA linalotumia mgongo wa maslahi ya wananchi kuficha dhamira yao ya kuvunja nchi.. Baba...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
GWIJI wa masuala ya sheria za katiba nchini, Profesa Issa Shivji amewataka vijana kujiepusha na wanasiasa wenye uchu wa madaraka ambao kwa sasa wanang'ang'ania muungano wa serikali tatu ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Umasikini na kero za Watanzania utaendelea kubaki pale pale kwa kuwa matatizo yetu hayatokani na katiba ila sera mbalimbali kama za elimu, afya, ardhi, kilimo, biashara, na nyingine chungu nzima...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa kwamba znz imekuwa ina bebwa ktika huu muungano bila kuchangia na kwa miaka 47 ya huu usanii Zanzibar imechangia x3, katika mazingira kama haya ni nchi gani ingekuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Samuel Sasali anasema:- Kulikuwa hakuna haja ya Kutumia Mamilioni ya fedha kwa ajili ya Tume Ya Warioba Kukusanya maoni na Kujifungia wakati Rais anasema yale mambo ya muungano yanaweza...
7 Reactions
556 Replies
47K Views
Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nawasilisha kwenu,kwa hali ya Bunge la Katiba linavyokwenda....
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Taarifa niliyoipata hivi punde inasema, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na Chadema, Cuf, NCCR na taasisi zisizo za serikali zenye mlengo wakuhitaji katiba ya umma, kesho watakuwa...
0 Reactions
89 Replies
8K Views
The terms "state," "nation," and "country" are often used interchangeably by those who are unfamiliar with the proper use of these terms. To further muddy the waters, phrases such as independent...
0 Reactions
6 Replies
29K Views
Wandugu tunapokuja kwenye suala la maslahi ya nchi tunatakiwa tuwe wamoja bila kinyongo wala unafki ukija kwenye suala hilo nawasifu sana wapemba kwa misimamo yao thabiti isiyokuwa na mawaa hawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii ni mada aliyoitoa Prof. Issa Shivji (Gamba lililokodiwa kupotosha umma) katika balaza la wawakilishi tarehe 17/01/2013
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wengi wanasema kuenda serikali tatu kutaifanya serikali ya Muungano iwe inaelea na isiwe na majukumu yeyote ya kutenda kitu ambacho kitaleta udhaifu wa muungano. mm kama mzanzibar hii serikali...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye macho haambiwi tazama. Wote tunaona jinsi siasa ilivyoharibu mchakato mzima Wa katiba mpya kuna ambao wanatangiliza maslahi mbele hasa chama tawala. Kuna ambao wamejipanga kubadilisha...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Hivi Tanganyika yetu itarudi kweli? source:Magaazetini _RFA.
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Kuna tetesi kwamba serikali imesambaza pesa kwenye taasisi za kidini ili ziiunge mkono katika hoja yake ya kupinga serikali tatu,utatokea mfululizo wa matamko kutoka taasisi hizo ili ku-influence...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Leta Nyundo....jamaa analeta mchanga Leta sementi....jamaa analeta mbao leta tofali.... jamaa anamletea timanzi etc
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Kwa nini hadi leo imekuwa ni siri na hazijulikani zilipo nyaraka asili za makubaliano ya muungano? 2: Kwa nini kumekuwa na malalamiko kuhusu uendeshaji wa muungano kutoka SMZ kwa awamu moja...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Habari wakuu, Ifuatayo ni sehemu ya nukuu ya hotuba ya katibu mkuu wa CCM,bwana Kinana, hotuba alioitoa siku mbili zilizopita katika viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar-es-salaam kupongeza hotuba...
1 Reactions
4 Replies
974 Views
Katka sakata hili nilimuona Wassira akijidai kama mtu wa kumjibu warioba.Namshangaa Wassira kalifanyia nini taifa zaidi ya kujaza tumbo kodi za wananchi? Huyu mtu ni mtu wa ajabu sana.Sina maana...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Naomba wanasheria na wataalamu wengine mtusaidie katika hili na itakuwa vizuri mtupe mifano ya hizo state au dola zenye maraisi. Mimi navyojua state(dola) inakuwa na governor au kiongozi mwingine...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom