Dar es Salaam. Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba.
Taarifa ya Ikulu...
Wadau, natumaini kwamba hamjambo na mnaendelea vema kulisukuma gurudumu la taifa. Nami namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema kwa siku ya leo. Kama kawaida yetu tuwaombee kwa Mwenyezi...
Mimi naona Mhe. Kificho aliliendesha bunge maalum kwa umahiri zaidi kuliko mh. Samwel Sitta. mh. Sitta amepoteza ule umahiri wake aliokua nao waqt akiwa spika.
Dr. Ww ni kati ya watu wachache nnaowaheshimu sana hapa nchini.
Naamini toka moyoni kabisaa kuwa kile unachopigania ktk harakati zako ni mguso ulionao wa maisha yetu na vizazi vijavyo. Natapenda...
Duh.Gazeti la Uhuru limetoa habari hii na picha nimecheka sana.hawaelezi ni kipengele kipi alichofurahia.maana jana Jk wakati mwingine alikuwa akiuma na puliza. mara yuko na wale wa serikali 2 na...
Jioni hii wakati nasikiliza Bunge hili tata la Katiba kuna bidada mmoja amesema kitu makini sana, amesema Yeye Ni mwakilishi wa Kundi la wanavyuo, alichosema nadhani amefunga mjadala wa Kura ya...
Pamoja na kwamba mimi na CCM ni kama Moshi na Pua, lakini kuna mbunge mmoja wa CCM ambaye taratibu ninajikuta nikianza kumkubali. Huyu si mwingine ila ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe...
Wanabodi,
This is the first time in history, Bunge letu Maalum la Katiba linapiga kura kwa aina mbili kuunga mkono kanuni kituko cha mwaka kuliruhusu bunge hilo kupiga kura za siri na wazi kwa...
Kwa kweli "Serikali 3/Nchi 3" ndio "habari ya mujini" kwa sasa! Hakuna haja ya kuzungumzia jambo jingine kwenye Katiba Mpya kwa kuwa hayana umuhimu! Cha muhimu ni "Serikali 3/Nchi 3" tu basi! Hata...
Wakati Mh Raisi Dk Kikwete akihutubia Bunge Maalumu, kulikuwepo na vifijo na vigelegele vingi sana akishangiliwa hata pale aliposema lililo wazi. Wakati fulani alisema "...hakuna kificho katika...
Wadau
Usiku kwenye ITV katika maoni imeonyesha wazi kwamba Watanzania wako na Warioba . Katika kufanya utafiti huo kwenye ITV watanzania walio hojiwa 61% wanasema wanataka Tanganyika na huu ni...
Tukielekea Kwenye Mjadala wa Leo Jioni Hii:
Tumekaribia kufikia makubaliano ya jinsi ya kupiga kura ya maamuzi. Makubaliano yoyote yawe kwa misingi ya kulinda maslahi ya taifa na heshima ya bunge...
Hawa ndio walioshika kibendera Dodoma kutuzia nchi yetu kama vile ni milki yao.
WAUNGWANA TONGE INA MATATIZO YAKE
Hakuna shaka kuwa tunao wengi hawa ,wenye kuiuza...
Baada ya Kamati zote za kudumu za bunge la katiba kuchukuliwa na CCM na kumpa mmoja Hamad Rashid mbunge wa mahakama, CCM imepiga bao jingine kwa kupitisha utaratibu chotara wa kura ya siri na wazi...
NEPPELTA - NETWORK FOR PEOPLE OF PEMB LIVING IN T NZ NI M INL ND
MTANDAO WA WATU WA PEMBA WAISHIO TANZANIA BARA
MAKUNGANYA STREET/ KARIAKOO P.O. BOX 21243
DAR ES SALAAM...
Jee kati ya Rasimu hizi mbili zilizo wasiliswa katika Bunge la katiba, Ni ipi itakayo tumika kwa watanzania? Rasimu ya Jaji Warioba au hutuba ya Raisi Kikwete ambayo ccm wameifanya kua Rasimu...
Kutokana na mambo yanavyoendelea na kufanyika ndani na nje ya Bunge hili Maalum nimeishapoteza imani, na mimi kama Mtanzania nimeishakata tamaa ya kuipata ile Katiba tuliyo itolea maoni yetu kama...
Kinana anawachana wapinzani bungeni na wale wanaodai lazima kura ya siri kuwa ni unafiki. Siri ya nini wanayotaka anahoji Kinana. Anauliza mnataka kuficha nini kama sio unafiki? Anahoji kinana
Ninaangalia upigaji kura kuamua mfumo utakaotumika Bungeni kufanya maamuzi. Upigaji kura unahusisha kura za wazi na kura za siri.Wnaopiga kura za siri wanajongea mbele ambapo wanachagua ndiyo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.