KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Tunazo taarifa rasmi kuwa sasa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wanajadili Sura za 1 na 6 za Rasimu ya Katiba.Sura tajwa,zinazungumzia Muundo/Mfumo wa Muungano na idadi ya Serikali zake. Mjadala...
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara kwamba muundo wa serekali katika muungano sio kitu kinachohusu mwananchi wa kawaida. Pia jana katika gazeti la mwanachi nikaona mjumbe wa bunge la mabadiliko ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hakuwa na nia ya kuidhalilisha Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati alipohutubia kulifungua Bunge Maalumu la Katiba, wiki mbili zilizopita. Rais...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Warioba anajulikana katika kusimamia ukweli, tena ukweli tupu na hana unafiki. JK alilijua hilo fika na ndiyo maana akamwona ni mtu sahihi kumteua. Kikwete alitaka ateue mtu ambaye anaweza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba wa kundi la Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi (Ukawa), Ismail Jussa akionyesha moja ya nukuu za kitabu cha Profesa Issa Shivji wakati wa mkutano na waandishi Dodoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri?
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Wanabodi, Baada ya jana Prof. Shivji kuikosoa wazi wazi kipengele cha serikali 3 kWENYE rasimu ya katiba ya Tume ya Warioba alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la vijana kuhusu Muungano, leo...
3 Reactions
234 Replies
22K Views
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba". Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake...
1 Reactions
101 Replies
13K Views
OKTOBA 10, mwaka huu, Waandishi Wetu, walifanya mahojiano na Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, kuhusu masuala mbalimbali, ikiwamo maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa iliyokuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nakumbuka Siku ya Ijumaa tarehe 28/03/2014 ilipangwa siku ya Jumatatu (jana) wabunge na wajumbe wangeanza kujadili rasimu, sijui nini kimetokea na hata hapa jukwaa la katiba hapajaekwa thired...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Jaji Warioba ni msomi, mzoefu, na mwanasiasa mahiri, Prof Shivji ni msomi nguli, mwalimu, mtunzi na mzoefu wa sheria,siasa na maisha. Raisi Kikwete ni Raisi wa nchi aliyemteuwa jaji Warioba kuwa...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Katika kila matukiomakubwa katika sayari hii kuna watu wanaoibuka mashujaa na wasaliti wakuu.Zanzibar kuna jamaa anaitwa Mansoor Yusuf Himid, huyu jamaa ni shujaa wa haswa,kwa kumuangalia ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
A nation without a national government is an awful spectacle! -Alexander Hamilton-
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Msikilize aliekuwa kiongozi wa kundi la G55,bwana Njelu Kasaka akiongea katika kipindi cha Dakika 45 kuhusu swala la muundo wa muungano. Katika kipindi cha Dakika 45 ITV cha leo saa 3 usiku...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Hii nimeipata kwa jirani, wakuu hebu tuijadili: TUME YA MABADILIKO YA KATIBA1. Jaji Joseph Sinde Warioba - Mwenyekiti 2. Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani - Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
CCM watafanya hila zote katika kuchakachua maoni ya wananchi lkn mwisho wa siku watajikuta wanaangukia pua tu. Ili muundo wowote wa muungano upite,iwe serikali 2 au 3 utahitaji kupigiwa kura. Na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, wametaka katika katiba ijayo kuwe na muundo wa Serikali moja, huku Zanzibar ikiwa ni moja ya mikoa ya nchi ya Tanzania na...
10 Reactions
170 Replies
14K Views
Binafsi nikiwa mtanzania wa kawaida nisiye na ufahamu mkubwa wa kisheria, kupitia maandishi na maongezi na baadhi ya watu nlijua kuwa mabadiliko ya katiba ya zanzibr ya mwaka 2010 yamevunja katiba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom