KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wabadili katiba yao hasa hasa vifungu hivi.... 1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu. Kutokana na vuguvugu la wazanzibar kutaka wawe na taifa lao na kutokana CCM kutokuwa tayari kuona Tanganyika inarudi, mimi ninaona huu muungano acha ufe, ila sisi tutabaki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je kuhusiana na hatua ya mwisho ya upigaji kura kuikubali Katiba ,ni kweli kila nchi Tanganyika na Zanzibar zitapiga kivyake na kupita kwa Katiba itabidi ikubalike katika nchi zote mbili.
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Sasa hivi mjadala mkali unaendelea kuhusu muundo wa muungano. Muundo uliopendekezwa ambao ndio sahihi kwa nchi 2 ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ni serikali 3 ambazo CCM wanapinga eti kuwa sio...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Madai hayo ambayo yana ukweli ndani yake inaonekana ni tatizo sugu kwa Msanii Kikwete na makada mavi wa CCM. MUUNGANO huo wa kisanii hadi leo hauna hati orijinali,inasemekana nyerere aliuficha...
4 Reactions
78 Replies
6K Views
CCM wana haki zote za kudai kura ya wazi. Lakini ni unafiki kudai uwazi pale tu ambapo inaonekana kuna manufaa ya kisiasa kwa CCM. Kama CCM wanataka uwazi, watupe mchanganuo wa idadi ya kura...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Nawasikitikia Watanzania wenzangu waliokaa mkao wa kula wakisubiri Katiba mpya. Nasikia wengine wanafunga na kuomba ili Katiba ipatikane, wengine wamejawa tu na matumaini. Ya Mungu mengi...
1 Reactions
3 Replies
940 Views
Fact 1: makusanyo ya kodi bara ni trilioni 33.2 tsh, zanzibar ni trilioni 1.2 tsh. Quote ya Mhe. D. Haji (28.3.2014 star tv). Anaendelea katika uchambuzi kwamba kwa mantiki ya hesabu za haraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimelishika gazeti la Raia Mwema na nimeisoma habari tajwa. Kama ni KWELI anayosema Warioba basi Rais Kikwete ni mtu visasi na hakustahili kutawala.Kama sio yeye aliyeagiza basi IKULU ina...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Mchakato wa kuandika Katiba mpya nchini mwetu Tanzania umepamba moto. Mchakato huu unalenga kumpata 'mrithi' wa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 (kama ilivyofanyiwa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Leo katika taarifa ya habari ya ITV mameya wa majiji yote ya Tanganyika wamesema kuwa serikali za mitaa zimesahauliwa kuwekwa kwenye katiba mpya hapa ndo pale Jaji Warioba aliposema watanganyika...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna haja Watanzania kujiuliza, Jee hofu ya ccm ni kuwepo Serekali ya Tanganyika ambayo itaweza kusimamia mambo yake ya Tanganyika ya sio ya Muungano au ni Ufalme wa ccm kua ndio umefikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Awali ya yote nampongeza Mh.Mbunge Lembeli kwa kujitambua na kuona mbali kuna upepo wa serikali tatu ili izaliwe Tanganyika unaoelekea kuwang'oa Wabunge wengi wa Chama Tawala 2015. Kangi Lugora...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CCM katika jitihada zake za kuiteka Katiba wametumia mbinu ya kuwanyamazisha wanachama wao walio kwenye bunge la Katiba wametumia mbinu ya kulazimisha kura ya wazi. Walichofanya CCM ni kuangalia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mchungaji Christopher Mtikila amedai hataweza kuchangia tena katika mjadala wa Katiba kwa kuwa Ofisi ya Bunge imempiga marufuku kutokana na kauli zake. Hata hivyo...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Hawa ni waasisi wa Muungano wetu wa Srikali mbili ulioundwa rasmi mnamo tarehe 26 Aprili 1964. Ni hawa ambao walichambua mazingira na hoja zilizokuwepo katika Zanzibar na Tanganyika na kuamua...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Zanzibar na kisa cha akina Mahmoud Thabit Kombo Katika kila matukio makubwa katika sayari hii kuna watu wanaoibuka mashujaa na wasaliti wakuu. Zanzibar kuna jamaa anaitwa Mansoor Yusuf Himid...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!! "Kuifufua Tanganyika ni Kuiua Tanzania,Sikubaliani Kabisa na Swala hili,Kwa Sifa tu na Uroho wa Madaraka...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, Ulitueleza kuwa "wananchi walio wengi" walitaka Serikali 3, japokuwa Takwimu zenyewe nazo zina ukakasi mwingi! Hatujasikia kuwa ukilieleza Bunge wakati wa...
1 Reactions
130 Replies
7K Views
Wajumbe wa ccm baada ya kumaliza kikao chao jana usiku saa nane baada ya kutoka bungeni kupokea hotuba ya uwasilishaji wa rasimu ya pili ya katiba, ccm wameazimia kujiandaa kumjibu na kumsulubu...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom