KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Katika rasimu ukurasa wa 42 uchaguzi wa rais kifungu cha 79c "wazazi wake wote wawili wawe ni raia wa Tanzania wa kuzaliwa" hivi tume ilitaka kutubana tusioe nje au dada zetu wasije nyumbani na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu kinachoendelea bungen inasikitisha sana kuona watu wanafanya maigizo kwenye katiba ya watanzania. ni nini hasa kinachowafanya hawa wabunge kutokusikilizana?mimi kinachonikela hasa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Kitabu kinaitwa "Zanzibar And The Union Question" kina namba ya usajili ISBN: 9789987697045. Ni kitabu ambacho kimekusanya lecturers mbalimbali za kuhusu Muungano zilizoandikwa na akina Prof...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Mjumbe wa Bunge la katiba ameamua kubana bajeti kuwahi kikao cha Bunge kwa usafiri wa chap chap wa Boda Boda.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wanaotetea Serikali mbili hawajatuambia majina ya hizo serikali na namna ya huo muungano wa serikali 2. Mwenye majina azitaje na aseme ipi inaungana na ipi kisha muungano unaitwaje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tuombe uhai Mzee wetu aweko .Mh Pius Msekwa ,lakini swala hili nyeti halito maliza katika Bunge la katiba tu, Watu watafika mbali...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Lowasa, Malecela na Sumaye ni watu maarufu sana katika siasa za Tanzania hasa zile za urais ujao. Kuna aliyesikia mawazo yao kuhusu muundo wa Muungano? Sita naye yumo ila kwa vile ni mwenyekiti wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KWA muhtasari, nimezungumza na Mzee Njelu Kasaka kuhusu kilichojiri kati ya kundi la wabunge maarufu kama G55 na Mwalimu Julius Nyerere. Kasaka (akiwa Mbunge wa Lupa-Mbeya) ndiye aliyeibua hoja...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Zilizopo ni Serikali-Tatu - - Na Ali Nabwa "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni mrithi halali wa Serikali ya Jamhuri ya Zanzibar, ambayo mwaka 1964 ilitia saini Mkataba, yaani, Makubaliano ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona kama kamati za bungee maalumu 12 zilizowekwa na mwenyekiti wa BMK ili kujadili vipengele vya rasimu ya katiba iliyowasilishwa na Jaji Joseph Warioba kimsingi zinanipa mawazo tofauti: -kwanza...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Habari ndio hio .upumbavu unaofanywa na BMK kulazimisha watz waone Kuwa huko UN uthibitisho uliosainiwa na Nyerere na Karume kuhusu muungano upo huko.ukweli UN hakuna kitu kama hicho. Na...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Baadhi ya vikundi vya bunge malumu la katiba vilivyofilisika kwa hoja wameanza kueneza propaganga kuwa watu wanataka serekali tatu wanataka madaraka sasa ndugu zangu naomba kuuliza hivi serekali...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Mbunge wa zamani wa Chunya (CCM) na aliyekuwa Kiongozi wa Kundi la G55 lililowahi kuidai Tanganyika huru Mhe.Njelu Kasaka, anasema "CCM ni Chama kikubwa, kina Wanachama wengi, Wajumbe ni wengi...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Hello wana JF, Baada ya Jaji Joseph Sinde Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba Mpya kwa BMT na kufuatiwa na Hotuba ya Rais kuzindua BMT kumeibua mijadala mikali nchi nzima kuanzia Bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika makubalino ya serikali na bakwata walikubaliana waanzishe mahakama ya kadhi ambayo itaendeshwa na waislam wenyewe kwa anufaa yao binafsi maana serikali haina dini.Na baada ya muda tukasikia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa nimeamini kabla ya kulaumu chunguza kwanza, Prof Issa Shvji sikutegemea wala sikufikiria kwa msomi kama Shvji kutokutoa maoni yake katika tume ya jaji Warioba. Akizungumza na kipindi cha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
imekuwa kawaida kwa watu wa upande mmoja wa muungano kulalamika kuwa hawataki muungano,nini kinasababisha haya? tujibu kistaarabu
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujua wanasema tusipiganie Tanganyika eti ni kuuzika muungano mbona wazanzibar ukimuuliza yeye ni nani anasema ni mzanzibar na hili tunalitambua kwa wema bila ubaguzi wowote,je mimi kusema...
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Habari zenu Wadau, hii ni sehemu ya andiko la Professor Haroub Othman kuhusu hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. WHERE IS ZANZIBAR'S DEATH CERTIFICATE? As the debate on the status of...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom