Ni hulka tu ya kibinadamu kupenda mambo mazuri na kiukweli ukiacha mwonekano wa bunge la katiba miongoni mwa wananchi bado wajumbe wa bunge la katiba wanakula goodtime sana kwa kuzingatia ukubwa...
Nawapa kwanza pongezi kwa kuchaguliwa kuwa wajumbe wa bumge maalumu la katiba,hakika mimi naamini mnastahili lakini kila mmoja wenu anao uwezo wa kunichunguza na kunipima katika mzani na kuona...
Mjumbe wa Bunge la Katiba Kangi Lugola, ametaja msimamo wake wa kuunga mkono serikali tatu kwamba ni kukwepa unafiki.
Lugola, ambaye alisema kwenye kikao cha Bunge...
Kanuni za Bunge Maalum zinakataza wanahabari kuwepo wakati wa majadiliano ndani ya Kamti mbalimbali za Kibunge zilizoundwa.Kwasasa Kamati zote zinajadili kuhusu Sura za Kwanza na Sita za Rasimu ya...
Kwa hivi sasa waandishi wanalalamika kupewa habari zilizochujwa na wenyeiti wa kamati za bunge maalumu na pia usumbufu wanaopata ikiwa ni pamoja na kuitwa na wenyeviti wa kamati hizo na...
WAS/IS SHIVJI&HIS BOOK(S) PRO-CCM & 3 GOVERNMENTS?
"Whether such a new union structure will be based on one, two or three governments; whether the model of union would be Canadian, US, Indian...
Watanzania imefika wakati sasa tuseme basi; utawala wa kisanii, kiujanja ujanja na kinafiki lazima sasa upigwe vita na Mtanzania yeyote yule aliye na uchungu na anayelitakia mema hili taifa...
Ni kweli kabisa kutokana na kanuni kuwazuia waandishi kuingia kwenye vikao vya kamati kule dodoma haya ndio matokeo yake waandishi wanaandika matangazo wanayotangaziwa na wenyeviti wa kamati na...
KWA mujibu wa gazeti la Fahamu, toleo Na. 288 la Jumanne Machi 25 – 31, 2014 katika ukurasa wa nane, Profesa Ibrahim Lipumba, kupitia makala yake ya ‘Jicho la mwanachuoni' amedai...
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3...
Tumeambiwa mara kadhaa kama habari nyepesi hivi kwamba Kikwete ni mtu wa visasi nasi hatukujali sana, fuatilia kisa hiki hapa!
Kikwete na Warioba walipambana katika kuwania Urais mwaka 1995...
Nasema hivyo kutokana na ziara yake ya hivi karibuni nchini uingereza kwenda kuwatafuta wawekezaji.Ziara ambayo iliambatana na na mawaziri saba pamoja na wakuu wa mikoa.
kwangu mimi tatizo sio...
Hadidu za rejea zilimtaka Warioba ma team yake wafanye nini? Watengeneze muundo wa nchi au namna ya kwendesha vizuri Nchi hii ya Tanzania. Mimi kwa upande wangu nadhani walikosea kutoa hadidu...
Huwa nafuatilia kipindiki cha Je, tutafika, lakini siku hizi napata ukakasi. Huyu jamaa siku hizi anapiga debe serikali 2 tu. Anaalika wageni wenye kazi ya kuponda rasimu ya katiba tu.
My take...
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewateua Wajumbe Watano (5) wa Bunge hilo, watakao ungana na Wenyeviti wa Kamati za Bunge kuunda Kamati ya Uongozi.
Akitangaza Majina ya...
Tume imevunja lakini huyo mjumbe ye bado anahangaika na makabrasha kwenye vyombo vya habari,mikutano.semina .huku akiendelea na msisitizo wa serikali tatu.kwa mwavuli wa tume. Ushauri kwa...
Mjumbe wa Bunge la Katiba na Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh Ezekiel Wenje amedai kwamba Wajumbe wa Bunge la Katiba wanaoiwakilisha CCM kwa uwingi wao wameamua kuleta...
Mimi nina swali Je Watanzania bara tunafaidika vipi na muungano? kama ni swala la undugu basi si swala la upande mmoja. Badala ya kutumia serikali tatu kuvunja muungano kwanini tusiwe wa wazi na...
Ndugu zangu ukikaa kimya kuna vitu viwili, kwanza unafikiria nini cha kusema au hauna upande wowote unaousapoti. Mwaka uliopita nchi yetu iliingia katika mchakato wa katiba mpya. Vikao vikapita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.