Hati ya muungano yachakachuliwa kukidhi mahitaji ya CCM katika mchakato wa katiba, mambo ambayo tayari yanafanyiwa kazi na wajumbe ni kutaka hati hiyo kuachwa katika majadala na kwenda mahakamani...
Wana jamvi nipo muheza mjini,gari kubwa la matangazo limepita mitaani huku wakitangaza kuwa kesho saa 3 asubuh mkutano wa hadhara utakao hutubiwa na dr slaa,mketo na katibu mkuu wa nccr mageuzi...
Inaeleweka raisi Kikwete ndie aliependekeza mabadiliko ya katiba, na kwa mawazo yake alidhani ingekuwa issue ndogo licha ya kukutana na baadhi ya vikwazo! But kwa mtazamo wangu nahisi amefanya...
Wanajamvi,
Kiukweli kabla ya Sitta kulichukua Bunge la katiba alikuwa akiheshimika sana hasa kwa namna alivyoliendesha Bunge la tisa huku Mama akidharaulika sana kwa namna Bunge la kumi...
Inasikitisha sana kuona wanachama wa ccm ndani ya bunge la katiba wapo kwa ajili ya kupinga maoni ya wananchi. Sasa kama walijua kama maoni yao ndio sahihi na sio ya wananchi kwanini walikuwa...
Wakati mmoja katika maisha ya familia mmoja wa wanandoa anaweza kuwa na matatizo na/au akaamua kuanzisha mgogoro bila sababu ya msingi. Yote yanaweza kuashiria kwamba mmojawapo hapendi kuendelea...
Mara nyingi katika mijadala mbalimbali, Watanganyika wamekuwa wakiwabeza Wazanzibari. Lakini kwa mtazamo sahihi Wazanzibari wameonesha wana ukomavu na uzalendo kuliko sisi Watanganyika...
Hati halali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haiko UN, kuna ya Tanganyika tu,ambayo Nyerere aligushi mambo mengi.
Hati ya Zanzibar ni ile ya Muungano wa Muda wa miaka 10 tu , lakini kwa...
Muda huu maandamano ya amani yana anzia pongwe city hadi uwanja wa tangamano ambako mkutano mkubwa utafanyika leo,amakweli kila mtu ana hamu Tanganyika irudi,nipo eneo la tukio wana tanga...
Kamati ya Maridhiano Zanzibar inayowaunganisha wazanzibari wote bila ya kujali tofauti zao wanafanya kongamano la wazi asubuhi hii ya Jumapili tarehe 06/04/2014 katika ukumbi wa Salama wa hoteli...
Hivi karibuni Profesa Issa Shivji aliwasilisha mada kwenye kongamano la vijana, mjini Dar es Salaam, kuhusu Muungano yenye kichwa kinachosomeka: UCHAMBUZI WA MABADILIKO YA 10 YA KATIBA YA...
TANGAZO!
Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Kamati ya Maridhiano Zanzibar inayowaunganisha wazanzibari wote bila ya kujali tofauti zao zote walizonazo inawatangazia...
Mjumbe wa CCM Amwaga Machozi baada ya Kuzomewa na kuitwa Msaliti….Chanzo ni kukataa kura ya Wazi.
Written by Gumzo | April 5, 2014 |
Amwaga machozi baada ya kuzomewa, kuitwa msaliti...
WanaJF,
Kwa kipindi hiki kifupi ambacho mjadala wa katiba mpya umeanza na kifungu cha 1 na 6 kwa kweli mm nimeanza kukwazika. Sikujua kwa nn kura iwe ya wazi. Mwanzoni nilihisi kuwa kura ya wazi...
Nayatamka na kuyaandika haya nikijua fika kuwa BMK lipo Dodoma na linaendelea kuvutana juu ya serikali 2 au 3. Majuto ni mjukuu wahenga walisema; Mtakuja kunieleza Desemba mwaka 2015 kwa haya...
Wanachama wote wa CUF,NCCR Mageuzi na CHADEMA pamoja na wakazi wote wa Dar es salaam kwa heshima na taadhima mnaombwa kufika Landmark Hotel Ubungo leo jumamosi tarehe 05/04/2014 saa 03:00 asubuhi...
Kikwete pours cold water on Warioba
draft, law process at stake
By JENERALI ULIMWENGU
posted Saturday, March 29 2014 at 14:49
President Jakaya Kikwete has effectively
poured cold water on...
Katika mchakato wa katiba unaoendelea hivi sasa mjini Dodoma kumekuwa na kupigana vikumbo kimawazo na kihoja-za msingi na zisizo za msingi-kila mmoja akitaka wazo lake lipewe kipaumbele katika...
Bunge la maalum linaloendelea dodoma kwa takriban miezi miwili sasa limekua kizungumkuti cha aina yake.
Baadhi ya watu wa zanzibar wameanza kudhani bunge hilo ni kama mchezo wa mpira.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.