KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wana jamvi mbona mh mtikila hasikiki wakati ni mtu muhimu sana wakati huu wa harakati moto moto za kuidai tanganyika?amepotelea wapi au amejificha anataka kuibukia mahakama ya kimataifa kudai...
1 Reactions
1 Replies
968 Views
Wana jamvi wapambanaji wa kutetea katiba ya wananchi kupitia rasimu ya pili ya katiba kesho jumapili wana washa moto uwanja wa tangamano jijini tanga na jumatatu wapo muheza uwanja wa ng'ombe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati Rais Jakaya Kikwete anaanzisha mchakato wa kupata Katiba mpya, wewe Mzee na wenzio wapinga maendeleo ndio mlikuwa wa Kwanza kupinga uteuzi wa JAJI WARIOBA kama mwenyekiti wa tume hiyo. Na...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Nchi mbili zinapoungana na kuwa Nchi moja mifumo ya kawaida ya miundo ya Katiba ni miwili: Muungano wa Serikali Moja, au Shirikisho la serikali Tatu. Kwa mfumo wa kwanza kila nchi itafuta serikali...
7 Reactions
367 Replies
37K Views
Naamini nitapata majibu mengi juu ya hili, lkn cna imani kwamba nitawapata walio sahihi na majibu yao kwa asilimia 100. Kwani binadamu tumeumbwa kwa utashi wa pekee ambao huyachambua mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na ugumu wa kupata habari, waandishi wataka kanuni za Bunge Maalum zirekebishwe ili waripoti moja kwa moja habari za kamati za Bunge,mimi mpaka leo najiuliza ni kwa nini KATIBA ni ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Al- Shymaa Kweigyir Amwaga machozi baada ya kuzomewa, kuitwa msaliti by Edson Kamukara 04/04/2014 Mjumbe Al- Shymaa Kweigyir alazimishwa kupiga kura ya waziWAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
wana jamvi hapo tanga mjini matangazo yana tolewa kuwa uwanja wa tangamano kesho watetezi wa katiba ya wananchi wata washa moto,na jumatatu wapo muheza..dr slaa ataongoza jahazi
0 Reactions
0 Replies
837 Views
HAPA WASISI WA NCHI MBILI HIZI WANAONEKANA WAKIWEKA SAHIHI ZAO NA SIO DOLE GUMBA je HATI HIZI ZIKO WAPI? tunataka tuzione hati halisi ili tujuwe walikubaliana nini? na ni muundo upi wa muungano...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu; Tuahirishe hili la Muungano for the next 5-10 years! Tuendeleee na vdi fungu vingine!!! Asante. Tukubaliane kutokukubaliana tusonge mbele! Najaribu kuepuka kukosa katiba kabisa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Dr slaa awaambia wananchi waliohudhuria ktk mkutano wa ukawa pale landmark rais nubkama kinyonga wa katiba ukiachilia ukweli ccm yake ktk rasmu haikuwa ajenda ya kutubfa katiba ktk raesmu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Kamati namba Sita ya Bunge Maalum la Katiba, Stephen Wassira amesema kamati yake imependekeza Tanzania Bara kuvua koti la Muungano, linalodaiwa kuvaliwa ili koti hilo sasa livaliwe...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tumesikia mara kwa mara kwamba nje ya Muungano Zanzibar itakuwa "Dubai ya Afrika!" Sitaki kubisha kuhusu hili maana sijajua dhana hii imejengwa katika msingi gani! Hata hivyo, nina maswali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wakati tunajadili suala la katiba mpya ni vizuri tukajiuliza kama rasimu hii inatokana na maoni ya wanainchi ambayo warioba na wajumbe wa tume walikusanya maoni nchi nzima na sasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Dodoma. Kura za awali katika Kamati 10 kati ya 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zinakipa wakati mgumu Chama Cha Mapinduzi,(CCM) kutekeleza azma yake inayotajwa kuwa ni kufumua Rasimu ya Katiba, ili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr Bana akiwa anahojiwa kwenye kipindi cha Hot Mix EATV amesema twakimu za tume ya jaji warioba sio za kisayansi na zisitumike kuafanya majumhisho ni kama za kipima joto cha ITV pia ameendelea...
1 Reactions
107 Replies
9K Views
Ni jambo la aibu mambo aliyofanyiwa warioba baada ya ccm kutangaza msimamo wao,kiasi cha kuamka asubuhi na kuambiwa tume imeshavunja ni udhalilishjaji uliopitiliza.kama warioba ambaye ni waziri...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Kwa mujibu wa Ratiba ya vikao vya Bunge Maalum ambapo nimepata nakala yake, ni kwamba kuanzia jana tarehe 31 Machi 2014, Bunge Maalum limeanza vikao vya kujadili vifungu...
6 Reactions
107 Replies
10K Views
Mwanasheria mkuu wa Zanzibar anasema hati ziko UN Katibu wa bunge maalumu anasema hati ipo mahkama kuu Dar Ina maan kila mmoja anasema bila ya kuwa na uhakika. Kila kinachokuja mdomoni tu ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom