KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kwanza nianze kwa kumshukuru rais Kikwete kukubali maombi ya watanzania ya kutaka kuboresha katba yetu kwani amedhihirisha wazi kuwa serikali ya ccm ni serikali sikivu na yenye watu makini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya mambo ambayo yamewashtua sana CCM ni CHADEMA kubadili mikakati yake ya kampeni, hasa kwa kufanya kampeni za nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu, kitanda kwa kitanda, kwa kuanzia na Igunga...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) unawatangazia watanzania wote kuwa kesho tarehe 5 april 2014 kutakuwa na kongamano katika ukumbi wa Landmark hotel- Ubungo, kituo cha Riverside kuanzia saa tatu...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
TANZANIA SIKU YA WAJINGA NI 09 DEC KILA MWAKA. REJEO: Babu aliwahi kunambia "Ukiwa ni mzima ni lazima usherehekee siku yako ya kuzaliwa, ukifa watakaobaki waadhimishe siku ya kufa kwako. Ni...
1 Reactions
0 Replies
818 Views
Hatimaye mwenyekiti wa bunge la Katiba kakiri kuwa saini zilizopo katika hati ya muungano ni za kughushi kwani sahihi za Msekwa na hayati Nyerere zimeongezwa na baadhi ya herufi kwa komputa na...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mkoa wa dar unatarajiwa kulipuka tena kesho ambapo chama chademokrasia na maendeleo (chadema) kwakushirikiana na nccr-mageuzi na cuf kesho saa tatu asubuhh wana waalika pale landmark hotel...
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Nimesikitishwa na kauli za wabunge aina ya mwigulu nchemba ati wanaotaka kura ya siri ni wale wanaounga mkono ushoga!maswali hapa ya kujiuliza ni 1.watanzania wanapiga kure ya siri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi kama muumini mzuri wa baba yetu j.k nyerere napenda kuwaeleza wanakatiba ccm kuwa licha ya kuharibu mchakato wa katiba kuanzia kwenye mabaraza ya katiba ya wilaya ambapo hata mimi nilipigiwa...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
Kwa watu wenye mapenzi mema na hii nchi naomba tumweke jaji Warioba kwenye maombi yetu kila siku tusije kusikia naye kavamiwa na majambazi wakamwibia laptop na kumkata mapanga. Mungu mlinde...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Posted by-khelef Hivi karibuni tulisikiaya kuwa Rais Mstaafu Amani Karume kuwa alimwambiya Mmwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Warioba, Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo, Jaji...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Written by makame silima // 04/04/2014 // Habari // 6 Comments...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
- Well, hatimaye ile siku waliyokuwa wanaitafuta kwa muda mrefu wale wote wasaliti wasiotaka Mungano imetimia, sio siri the damage was done today sas wale wote tunaoamini in Serikali 2 huu ni...
3 Reactions
155 Replies
11K Views
Kwanza napenda kuwapa heshima tele na shikamoo Vibabu na Vibibi vya nchi ya Tanganyika, najua mna kila haki ya kudai nchi yenu ya Tanganyika ambayo ilikuwepo wakati mnazaliwa. Nina uhakika bado...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Dodoma. Utata umezidi kuibuka katika Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutopatikana kwa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ile ya Sheria ya Baraza la Mapinduzi ya kuridhia Mkataba wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
HISTORIA INANYESHA TUMEPIGA HATUA KWA KUANZISHA TANZANIA NA NI TENDO LAKUONYESHA TUPO HURU KIMAWAZO NA KIFIKRA! Kurudisha Tanganyika yenye historia hii ni kuonyesha kizazi cha vilaza Maeneo...
1 Reactions
97 Replies
8K Views
Wadau, habari za asubuhi. Naamini kuwa hamjambo na mmeamka salama. Wale ambao kwa bahati mbaya hali zao za kiafya si nzuri basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu ili wapone haraka. Na wale wwliofikwa...
7 Reactions
110 Replies
9K Views
MH JOHN MNYIKA ALIWASILISHA RUFAA DHIDI YA UVUNJAJI WA KANUNI ULIOFANYWA NA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM KATIKA UENDESHAJI WA VIKAO VYA BUNGE MAALUM, PAMOJA NA KAMATI KUCHELEWA KUTOA UAMUZI KWA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nimejaribu kusikiliza wale wote wanaotetea muungano na wanaopinga kakini napenda kujua mbali na muungano wa urafiki na kuwa na urafiki na wazanziba ni ipi faida nyingine kwa mtu wa kawaida...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
by Edson Kamukara 03/04/2014 Jaji Joseph Warioba, Prof. Palamagamba Kabudi na Prof. Issa ShivjiMVUTANO mkali umeibuka kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakishindana kupendekeza mtaalamu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama Jk alivyoonya rasimu hii ina mambo mengi. Ingawa mijadala mingi imekua juu ya muundo wa serikali. Hili la mawaziri kutokutokana na bunge na kutokuwa wajumbe limekaaje. Nini faida ya mfumo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom