Ndugu zangu, Watanganyika, Wazanzibari na Watanzania.
Mara baada ya hotuba ya Mh Jaji Warioba kwa Bunge Maalumu La Katiba, kumekuwepo na malalamiko, mashaka au tuseme manung'uniko kutoka kwa watu...
Habari zenu wakuu!
Leo katika kutafakari mchakato wa Katiba mpya na haswa suala mgawanyo wa madaraka nikapata swali ambalo lilikosa majibu yake! (nadhani ni kwa sababu ya umri wangu kuwa mdogo)...
Fact 1: makusanyo ya kodi bara ni trilioni 33.2 tsh, zanzibar ni trilioni 1.2 tsh. Quote ya Mhe. D. Haji (28.3.2014 star tv).
Anaendelea katika uchambuzi kwamba kwa mantiki ya hesabu za haraka...
Ni wazi swala la kutaka katiba mpya lilitoka kwa walio wengine inawezekana sio wote sababu nina imani kwamba kuna watu hawana habari kama kuna katiba au kama wanayo basi hawajui hata kilichomo...
MASHARTI YA KATIBA YA ZANZIBAR YANAYOVUNJA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
1. Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 inatamka kwamba Zanzibar ni Nchi na inatamka mipaka ya eneo lake katika...
Ndugu zangu inauma saana kuona watu wazima wasomi , maprofesa, wanasheria , waalimu, wanataaluma karibu nyanja zote zipo ndani ya bunge la katiba lakini tunachoshuhudia sasa wananchi sicho...
Kitendo cha kuwepo katiba hai Zanzibar
Wimbo wao wa taifa.baraza la wawakilishi.bendera ya taifa,na rais mwenye mamlaka kamili ni udhihirisho kuwa wazanzibari walimuenzi mama yao Zanzibar huku...
Baada ya malumbano makali na ya muda mrefu kuhusu aina, uhalali na manufaa wa muungano wa Tanganyika na Unguja kwa Watanzania umefika wadau wote tujiulize maswali yafuatayo kabla ya kuamua aina ya...
Pengine acha nikubaliane na wale "maadui" wa muungano wanaodai kuwa Aboud Jumbe alifanya kosa kubwa la kihistoria kumkubalia Nyerere kuunganisha TANU na ASP, hawa wako wengi , ikiwa kweli...
Swali hili zuri nimelikuta katika makala ya Mwalimu Mkuu wa Watu,na nikaona si vibaya tukilitumia kama kichokoo cha udadisi.
Msingi na uzito wa swali unatokana na ukweli kwamba Wazanzibari wana...
Katika mahojiano ya sauti ya ujeruman na wanasiasa wa Tanzania waliopo bunge la katiba mheshiwa Tindu Lisu. Said mkumba na jusa wa cuf. Said mkumba alishindwa kujua kabisa maana ya sampling...
Mh Njelu Kasaka
Na Thobias Mwanakatwe
2nd April 2014
Mbunge wa zamani wa Chunya, Njelu Kasaka.
Mbunge wa zamani wa Chunya, Njelu Kasaka, amekosoa mfumo uliopendekezwa na Wajumbe wa Bunge...
Jana kwenye taarifa ya habari ya ITV walionesha moja ya mikutano ya kampeni za mgombea wa CCM na ahadi zake nyingi,ila kilichonifurahisha ni wakati wanaenda kwenye mkutano mwingine magari yao...
Mimi sasa nimekuwa muumini wa Serikali Moja; Moja ya kwao na Moja ya kwetu, tukutane Umoja wa Mataifa kama ndugu wamoja! Undugu haung'ang'aniwi na ndugu akishalalamika kuwa unamzibia ni wakati...
UMOJA wa Katiba ya Watanzania nje ya Bunge Maalumu la Katiba (Ukawa-nje) umekosolewa na kunyooshewa vidole na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini waliosema hatua yake ya kutangaza...
Bunge la Katiba jana lilianza kujadili Rasimu ya Katiba kwa misukosuko kwenye Kamati baada ya kuvamiwa na kundi la wanaharakati waliokuwa na mabango wakidai hati halisi ya Muungano yenye saini za...
Kulikuwa na mfalme mmoja dhalimu, ambapo fundi seremala mmoja aliapa kumuumbua ili kulipiza kisasi cha maovu waliyofanyiwa wazee wake na mfalme huyo. Fundi huyu aliahidi kumshonea mfalme vazi la...
Naileta hoja hii kufuatia tabia ya Slaa kuendeleza kiinimacho chake cha kufanya mikutano yake Mwanza kama alivyozea. Leo tarehe 1/4/2014 Slaa ameendeleza uchochezi wake jijini Mwanza kwa...
Dhana na Maana ya Bunge Maalum la Katiba
na
Prof. Issa Shivji
Bunge Maalum la Katiba (constituent assembly) ni chombo mahsusi cha wananchi kutunga katiba yao. Katika falsafa ya kisasa ya...
Kama A=B na B=C basi A=C pia full stop!
Mchanganuo: Kama waziri ni wa CCM na CCM inataka serikali 2 basi wajumbe 201 wa bunge maalumu la katiba walioenda kuonana na waziri waliombwa waseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.