KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Jipatie nakala yako ya Katiba mpya ya Kenya ambayo kwa kweli imefanya mabadiliko ambayo yanaonekana wazi. Kwa wachambuzi wa sheria, mnaweza kuchungulia na kuona kama there is something worth...
9 Reactions
16 Replies
8K Views
Kurugenzi ya Habari-IKULU imekuwa ikifanya kazi zake vyema na kutoa ufafanuzi kwa mambo mbalimbali.Mambo husika yaweza kuanzia kwenye vyombo vya habari,mikutanoni (hasa mikutano ya kisiasa) na...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Naona ndoto za kupata katiba mpya kwa sasa ni ngumu.Hebu jiulize maswali haya. 1 Kama theruthi mbili haitapatikana hasa Zanzibar itakuwaje? 2 CUF ndo kizingiti zanzibar dhidi ya selikari 2 hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofuatilia mchakato wa katiba mpya bungeni na hata nje ya bunge wajumbe wengi wanajitahidi sana kujenga hoja. Ila toka mwanzo Ismail Jussa ameonyesha consistency katika hoja zake...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
MKOA wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umesema misingi ya utaifa na umoja wake inawezekana tu nchini hapa kwa kuwa na mfumo wa serikali mbili. Aidha, Mkoa huo umesema...
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Hati halali ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haiko UN, kuna ya Tanganyika tu,ambayo Nyerere aligushi mambo mengi . Hati ya Zanzibar ni ile ya Muungano wa Muda wa miaka 10 tu , lakini kwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
- Jana kuna Wabunge wawili wa CCM waliopiga kura za hapana kwenye hoja ya bunge ambayo msimamo wa chama Tawala ulikuwa ni NDIO, sasa seriously ni kwamba hawa wamekataa sera za chama...
3 Reactions
125 Replies
11K Views
Kumekuwa na mashaka kuwa kuna ujanja fulani ulitumika kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sasa ni wakati muafaka Watanzania (Znz na Tanganyika) kuelezwa ukweli wote. Na kama kuna ujanja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, hii ni aibu ya kustaajabisha mda ni ya Serikali hii dhaifu ya Chama chakavu............... Wakati Serikali hii dhaifu ya CCM Isiyojua Kufanya utafiti wa mambo kabla ya Kuyaropoka hadharani...
8 Reactions
62 Replies
7K Views
WanaJF, Nimekuwa najiuliza kuwa kama hizi nyaraka za Muungano hazipo na imekuwa mazingaombwe kuzitoa hata kwa shuguli mhimu kama ya kuandika kwa katiba mpya, JE ZANZIBAR ikijitoa kwenye huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo home naangalia Star Tv namuona Mh Machali na Paul Makonda, kwa kweli watanzania tuna kazi kubwa sana huyu Makonda naona anafikiria kwa kutumia tumbo, nafakiri anajipendekeza kwa CCM ili...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa hali inayoendelea Dodoma ni wazi kwamba katiba mpya kwa wakati uliopangwa hatuwezi kuipata. Pia hatuwezi kupata katiba itakayokidhi haja zilizopo hata muda ukiongezwa. Nadhani pia laana ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumeshuhudia wanasiasa hasa wa vyama pinzani kuungana kudai kinachoitwa katiba ya wananchi, nionavyo mimi muungano huo ni wa kinafki kwakua kabla vyama husika vilishakashifiana na kuitana majina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nimeona niweke nukuu za viongozi na wanazuoni wetu ili tujadiliane zaidi kuhusu huu muungano wetu 1. "Tarehe 13 April 1964, Karume alimwambia Katibu wa Baraza la Mapinduzi Salim Rashid...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimestushwa na kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kuivunja mapema Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kusema haikustahili kuvunjwa wakati Bunge Maalumu la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika Rasimu ya Warioba, mambo yafuatayo yametajwa kuwa ni ya Muungano katika NYONGEZA (SCHEDULE): 1. Katiba na Mamlaya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2. Ulinzi na Usalama wa Jamhuri ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wadau kwa wale wote wanaosema kwamba serikali 3 ni gharama mbona huo mfumo upo na ndio tulionao kwa sasa na unafnya kazi vizuri tu, serikali ya 3 raisi wake ni Mh Pinda ila kabadili jina tu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema hoja zilizoshawishi marekebisho ya kumi ya Katiba ya Zanzibar hazikuwa na mashiko ya kujenga utaifa, badala yake zilikuwa na sababu za kuleta mpasuko...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
ISMAIL JUSSA, TUNDU LISSU, MNYIKA WAUMBULIWA NA MKOSAMALI BUNGE MAALUM LA KTIBA DODOMA TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wapinzani acheni kubabaika, maana mmekuwa mkishiriki katika chaguzi mbalimbali na chopa zenu mwisho mnaambulia kipigo, mfano Kalenga na Chalinze ni vipigo viwili vinavyowachanganya na kuamua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom