KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
"Dk. Slaa: Upinzani hatuna lengo la kuvunja Muungano" Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (Chadema),Dk. Willibroad Slaa. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Dk. Willibroad Slaa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Akiongea na wananchi lukuki katika Uwanja wa Demokrasia Unguja,Makamu wa kwanza wa Rais Wa Zanzibar na Katibu wa CUF Maalimu Seif amesema Serikali mbili hazivumiliki. Amesema kama CCM wanasema...
7 Reactions
174 Replies
23K Views
Kwakuwa Nilisha sema na kuandika Mawazo yangu juu ya Muundo Wa Muungano wetu Mara kadha na hasa kuhusu dhana ya utanganyika. ninaomba kuweka Hapa Sehemu Kati ya yale aliyo ya sema Prof. Idea...
3 Reactions
99 Replies
8K Views
Mjumbe wa Bunge la katiba na Mkt wa chama cha UPDP, akiongea na Itv amesema kuwa wenye uwezo wa kupitisha katiba hii ni CCM na CUF kwa kuwa Cuf ndio wameshikilia theluthi mbili ya Upande Zanzibar...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Inaonyesha bunge la katiba hawataki katiba mpya ipatikane haraka kabisa.Yaani badala ya kujadili muungano mbele uweje wameshupalia kujadili mmungano uliokuwa nyuma ulikuwaje.Wababishaji mno. Kama...
1 Reactions
1 Replies
885 Views
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likikutana kesho kwa ajili ya kupokea taarifa za kamati na kuanza mjadala wa jumla kwa wajumbe wote, Rais Jakaya Kikwete ameridhia ombi la kulisitisha kuanzia Aprili...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari wana JF. Sote tunakumbuka kuwa mnamo tarehe 7 April 2012 Rais Jakaya Kikwete alitangaza rasmi majina ya wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba. Tume hii ilifanya kazi yake na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengi wanatoa hoja za kumkashifu mh.jaji warioba aliyeongoza tume ya kukusanya maoni ya watanzania kuhusu mabadiliko ya katiba na kuiwasilisha bungeni ambayo sasa inaendelea kujadiliwa sasa...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
watanzania lazima tujue serikali mbili zinahatarisha muungano. tujiulize kwa mfumo wa serikali mbili mzanzibari ana haki ya kuwa raisi wa muungano? haki si kwa kutamka tu au kuandika tu bali...
1 Reactions
5 Replies
818 Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Endapo muungano utavunjika tutapoteza siku tatu za mapumziko 1. Karume day 2.siku ya mapinduzi ya nzanzibar 2. Siku ya muungano sipo poa kabisa jamani tuwe siriasi jamani muungano ni kitu mhimu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hili bara la africa linaongoza duniani kwa kuwa na katiba masikini. Katiba masikini ni ile ambayo raisi mtawala huwa na kinga ya kutoshitakiwa akiwa madarakani au akimaliza muda wake. madhara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa bunge malumu la katiba samweli Sita alisema, ndoa iliyopita zaidi ya miaka hamsini na kuzaa watoto na wajukuu mnaulizia cheti cha ndoa cha nini?Inamaana...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Muundo wa Muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar una utata mkubwa kutokana na kero nyingi na za msingi leo nitazitaja chache tu: #1 .Inakuwaje Zanzibar kuwe na upendeleo katika suala...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haiwezekani kuvunja kisichokuwepo.Kukosekana kwa nyaraka za Muungano ni kukosekana kwa Muungano wenyewe. Na hivyo,hakujawahi kuwa na Muungano. Na hivyo hakuna cha kuvunja. Na 'Muungano' huo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
BONYEZA VIDIO KAMATI YA MARIDHIANO SIX MUST SEE PART 1/8 SEMINA WAWAKILISHI WASEMAVYO - YouTube KAMATI YA MARIDHIANO SIX MUST SEE PART 2/8 SEMINA WAWAKILISHI WASEMAVYO - YouTube KAMATI YA...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Tangu mchakato huu wa kutengeneza katiba mpya umeanza kumekuwepo na madai ya serikali tatu ambapo ni kumaanisha kuifufua Jamhuri ya Tanganyika na 'Utanganyika' wake. Katila hili naweza kusema...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, amewasilisha maombi kwa Rais Jakaya Kikwete, kuomba Bunge hilo liahirishwe Aprili 28, mwaka huu. Kadhalika, Sitta ameomba nyongeza ya muda wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadal mingi sana humu jukwaani lakini kuna jambo ambalo silielewi mara nyingi mtu akiwa against na serikali utalisikia anashambuliwa kwamba ni CHADEMA au BAVICHA. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninatumia nafasi hii kutoa maoni na mapendekezo yangu juu ya nafasi ya viumbe (pamoja na binadamu) katika Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Sura ya 1, Sehemu ya 1, Kifungu cha...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Back
Top Bottom