Katika kufuatilia uwasilishaji wa ripoti za kamati katika Bunge leo nimeshangaa kuona kuwa mbali ya majilabu ya kuwa wengi walipendekeza mfumo wa serikali mbili lakini hoja za wachache...
Nimevutiwa na jinsi Mbuge Huyu alivyo weza kujieleza na kutetea Serikali Tatu kwenye Bunge Maaluma La Katiba,ameeleza kwa ufasaha na nguvu za hoja kiasi kwa waliosikiliza/kuangalia live.
Ametetea...
Nimesoma kuhusu mkutano wa maalim Seif alioufanya Pemba na kuwaambia jamaa zake kuwa wasiwe na hofu hata muungano ukivunjika watabaki huko bara kwani kuna...
BONYEZA VIDIO
Kamati ya Maridhiano Six: MAALIM SEIF NA TUME YA WARIOBA PART 1/5 - YouTube
Kamati ya Maridhiano Six: MAALIM SEIF NA TUME YA WARIOBA PART 2/5 - YouTube
Kamati ya Maridhiano...
Ukweli ndio huo CCM ni Dicteta wakiwa katika wingi wao ,wamejikusanya na kuwa kitu kimoja ,ni lazima washitakiwe la si hivyo watarithishana utawala na kama ukiangalia kuna Husein Mwinyi kuna...
Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa...
Nimefuatilia tangu asubuhi kamati zilivyo anza kuwasilisha maoni yake, nimejifunza yafuatayo;
1, maoni ya waliowengi kwa kamati zote tatu zilizowasirisha ni kopy and paste ya maoni yao hao...
Chadema ni chama ambacho tayari kimepoteza mvuto na watanzania wamepata mashaka na wasiwasi juu ya uwezo wa chama hiki kuchukua dola. Chama kina akina mbowe, slaa&Co. ambao hawana mvuto tena...
Serikali ni tatu ,sasa kama hizi hazitawezekana itabidi Tanganyika watangaze mgogoro wa Katiba ,je ni nani ataisimamia Tanganyika ?
Serikali ya Zanzibar ipo tokea ulipoasisiwa mkataba wa...
Kushoto kwenda kulia: Abdulrahman Babu, Ali Muhsin, Mohamed Shamte
Nyuma kushoto kwenda kulia Maulid Mshangama na Salim Ahmed Salim
NA MAALIM BASSALEH
LEO ni Ni siku ya kumbukumbu ya muungano wa...
April 09th 2014
Na Karoli Vincent,
Siku Moja kupita Tangu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samweli Sitta kumuangukia Rais Jakaya Kikwete kumuomba aongeze Muda, Naye Mwanasheria wa...
Hotuba ya JK imejibiwa kwa dk 30 tu:
hakika amejenga hoja, labda tu kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kufuatilia niwape baadhi ya hoja alizojenga
1: kama kuna watu (ccm) ambao wanadai maoni ya...
"Wanaodhani kuwa hati ya muungano uliizika Tanganyika ni mbumbumbu wa sheria" Haya yamesemwa na Mh Ezekiel Wenje jioni hii wakati akiwasilisha maoni ya waliowachache kwenye bunge maalum la katiba.
Ndugu zangu,
Naziona ishara za kuendelea kwa mvumo mbaya wa upepo wa kisiasa na hususan inapohusu hoja ya Muungano na muundo wa Serikali.
Mjadala unaoendelea sasa ni kama vile umefunikwa...
Ndugu zangu; tukiwa kwenye mchakato wa kupata katiba mpya lazima tujiulize, kwa nini kumekuwa na mwangwi wa kuidai na kuirudisha nchi inayo itwa Tanganyika? Nimesoma ripoti ya tume iliyo...
Sasa ni dhahiri kuwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo katika wakati mgumu zaidi baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa baraza la mapinduzi la Zanzibar enzi za muungano mzee Salum Rashidi kudai...
Nimekuwa natafuta kujua nani mnafikii kati ya Kikwete na Warioba na nimegundua mnafiki ni Kikwete kutokana na kauli za Kafulila leo alipokuwa anatoa maoni ya kamati nanukuu "Ofisi ya Rais wa...
Maprofessa wa Tanzania ambao ndio wasomi wetu wameamua kupinga maoni ya wananchi na kuja na rasimu yao. Je hii inaweza kidhihirisha ukweli kwamba wasomi wengi wa Tanzania hawawezi kuisadia nchi...
Wadau;
Katika pekuapekua yangu nimekutana na hii Makala; Endapo kama ilishaajadiliwa hapa samahani sana, lakini ningependa kuwashirikisha maoni yake mwandishi kuhusu Muungano:-
Ni ndefu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.