KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ndugu zanguni, Jana mbunge wa Uvinza, Mheshimiwa David Kafulila, aliwasha moto kwenye bunge la katiba na kushangiliwa na wabunge karibu wote waliokuwemo ndani, wa upinzani, wa ccm na wale wa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama mtu ulishindwa kuelewa maana ya neno NGUVU YA HOJA na HOJA YA NGUVU, Sasa nafikiri huu ndio muda wa kulijua hilo. Ukiangalia jinsi mawakala wa ccm wanavyotumia nguvu sana kulazimisha hoja zao...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Je ni sahihi katiba ya jamhuri ya muungano kueleza kuwa moja ya sifa ya kugombea uongozi ni cheti cha taaluma? Hiyo ndio mada wanayo jadili sijaweza kupata majina ya wageni walioalikwa...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Kikwete alisema serikali ya shirikisho kwa kfumo uliopendekezwa na tume haikopesheki na wenje jana kamjibu ikope fedha za nini wakati shuhuli zote za maendeleo ziko chini ya nchi washirika.nani...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Amewaanbia wajumbe wa Bunge la katiba wa ccm wasichague hotuba za J .K. Kambarage Nyerere,,zile zinazowabeba watumie zote ! hakika ametoa hoja thabiti .. barikiwa sana
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dodoma. Wabunge walio wengi wamekosa hoja na badala yake wamebaki wakimkosoa warioba na kungangania mfumo wa serekali mbili bila kutoa hoja nzito ni kwa nini wanakataa mfumo wa serekali tatu,mmoja...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa amechana mbaya kwa data kupitia vitabu vya bajeti vya serikali,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndani ya bunge maalum la katiba kuna watu ambao CCM imewaandaa kuhakikisha ajenda nzito ambazo CCM wameziwekea msimamo wanazisimamia kama vile Muundo wa serikali,rais kupunguziwa mamlaka na tume...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangu jana waliowengi wanaeleza yaleyale kinachobadilika ni style ya uwasilishaji tu. wachache wana hoja mpya kila mara
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kuwasilisha ripoti ya walio wengi chini ya Anne Kilango mwana siasa huyo maarufu amesema kuwa msingi wa muungano ni lazima nchi moja kutegemea nyengine. Kwa kuruhusu mfumo wa serikali tatu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau sote tunafahamu kuwa unguja na pemba ni visiwa ambavyo havikuwa pamoja hapo awali lakini viliungana na kuwa kitu kimoja,sasa tunaomba tuoneshwe hati ya muungano baina ya unguja na pemba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiangalia uwasilishaji wa kamati za bunge maalumu la katiba unagundua kuwa Tanganyika inakuja.ukiangalia kamati ya Anna kilango Malechela na Duni Haji unaweza kuoma mwelekeo wa ujio wa serikali...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
wakati tuliendelea kujadili rasimu ya katiba yetu na hatima ya muungano wetu, baadhi ya wabunge la katiba walihoji uhalali wa mkataba wa muungano yaani articles of union. walitilia shaka saini za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Upande wa muungano inanyonywa rasilimali zake na serikali ya muungano na bunge la muungano na sherehe za kitaifa. Hao ndiyo wanyonyaji wakubwa wanaoitafuna Tanganyika yetu. Kwa upande wa...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Bahati njema napata access ya kuingia ndani ya vikao vya kamati za Bunge maalum la katiba na hivyo kunusa kile kinachotokea ndani ya vikao hivyo. Nami nitaendelea kuwapatieni kila kinachotokea ili...
13 Reactions
106 Replies
13K Views
Bila shaka kwa namna majadiliano yanavyoendelea katika bunge la katiba CCM itafanikiwa kutetea hoja yake ya kuendelea na serikali mbili! Hivyo nashauri wapinzani kutoendelea na hoja ya kuwa na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kitendo cha huyu Gamba Sugu OLE SENDEKA wa Simanjiro kulia ovyo ovyo kama Toto dogo ni Upumbavu ili hali ni Mtu mzima mwenye familia!... Kwanza anawadharirisha Wananchi anaowawakilisha ndani ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Great thinkers Salaam! Nimekuwa nikifuatilia Bunge Maalum la katiba ila nimechoshwa na Malumbano ya mfumo wa Serikali Mbili au Tatu etc.Baada ya kufuatilia hoja ya Pande mbili hizi nnachokiona ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais wa JMT ikiwa unaupenda uhai wa Muungano huu uuache kama ulivyokabidhiwa na usiingie kwenye historia ya kuvunjikiwa Muungano vunja bunge hili la katiba!! Siku nyingi sana wazanzibar...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KAMATI za Bunge Maalumu la Katiba zimeanza kuwasilisha bungeni maoni yake, kuhusu mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya, huku wengi wakikataa muundo wa serikali tatu, kwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom