KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
#pazaSAUTI Usikike Saidia kukusanya Maoni yako Kuhusu Swali hili linalogonga vyichwa kwa sasa. Unapenda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Iwe Na Selikari Ngapi? Mbili au Tatu? Maoni yako ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo asubuhi nilipata bahati yakuzungumza na mwanasiasa mkongwe Tanzania Mhe. Stephen Wasira nikamuuliza kuhusu ule Ubashiri wake kuwa hawa ndg zetu watapotea lini kwenye ulingo wa siasa za nchi...
2 Reactions
72 Replies
8K Views
Kwa kauli zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa ccm kuwa ccm inamaslahi na serikali mbili hi ni kweli na usifikiri maslahi hayo ni kwamaendeleo ya taifa la hasha nali ni kwamaendeleo ya familia...
1 Reactions
1 Replies
935 Views
MAMBO YANAKWENDA FYONGO KWASABABU watz wengi hawaoni direct. siku watakapoona walahi nyie CCM mtakuwa mtakimbiana NCHINI
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Mtu anayetaka kuruka shimo ili ujue anapowaza kufikia mwangalie namna anavyojiandaa kabla ya kuruka. NO LONG FOCUS CCM!
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Prof Lipumba akitoa maoni yanayoaitwa ya wachache ambayo kimsingi ndiyo maoni ya wananchi ametoa hoja nyingi nzito miongoni mwake ni kuwa rasimu ya katiba ina misingi na kuikataa misingi ni sawa...
1 Reactions
121 Replies
14K Views
Naona ccm wanafikiri kuweka kura ya wazi bungeni na kukandamiza serikali tatu ndani ya bunge pengine hawajui kwamba kuna kura za maoni,i wonder what will happen when znz votes kinyume na serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo nimeshtushwa na uwezo wa Mh Ole Sendeka kama kiongozi! bAADA YA KUONA pROF lIPUMBA ANA TIRIRKA HOJA ZA ZA KISOMI ! Huyu Mh aliamua kuomba mwongozo kuwa eti kwa sababu Mh Lipumba anatoa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimefuatilia uwasilishaji wa maoni ya mijadala ya kamati za bunge maalumu la katiba juzi na jana. Jumla ya kamati nane zimetoa taarifa za mijadala yao. Maoni ya waliowengi katika kamati zote...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika mchakato wa kuandika katiba mpya. Bunge la katiba lipo katika hatua ya kamati kuwasilisha maoni yake juu ya sura ya kwanza na sura ya sita ya rasimu. Sura ya kwanza ina tambulisha...
0 Reactions
6 Replies
978 Views
Ni vitu vya kushangaza kwelikweli kwa wanasiasa wa Tanganyika wanavyotoa maoni yao kuhusu muundo wa Muungano. Wanasiasa hawa wametawaliwa na ujinga tofauti na wenzao wa Zanzibar ambao wao...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Wadau naomba tuijadili hii hoja kwa umakini. Katika muundo wa serikali mbili, kuna serikali mbili zenye majukumu matatu. Serikali ya Zanziba yenye majukumu Zanzibar, serikali ya Muungano yenye...
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Kutoka kwa Mdau Assenga Abubakar: "...Nimekusikia na kukuona jana ukijenga hoja,eti kwanini wanaosema kuwa waliotoa maoni watu elfu kumi na saba ni wa chache, je watu mia ambao ni wajumbe wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa? Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
Sasa katiba mpya ije na majibu issue itakuweje CCM wakiwa nje ya box...CDM na CUF watapata serikali 3,au moja.CCM si mdau tena..CUF watashinda Zenj,CDM watashinda Bara..sioni sababu ya CCM...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa kinachoendelea sasa ndani ya bunge la katiba ni moto uliowasha na Jaji Warioba na Rais Kikwete. Kwa maoni yangu nadhani hawa waheshimiwa wawili wangetoa hotuba fupi tu za kukabidhi hii rasimu...
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Wassira anasema hakuna mahali imeandikwa kuwa serikali mbili imechokwa.Eti kuna mapungufu kweli ila watayachukua marekebisho ktk serikali mbili. Mzee huyu kwa unyonge na fuaraha ya kulazimisha...
0 Reactions
109 Replies
7K Views
Baada ya Mh. Kafulila kutoa hoja zake bungeni,nini mawazo yako?
0 Reactions
0 Replies
659 Views
SHutuma , vijembe na hata matusi vinaelekezwa kwa tume ya katiba na CCM. Kama kweli tume ilikiuka na kupika taarifa kwa nini WARIOBA na tume nzima hawashtakiwi. CCM Ina all powers to do...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa kuwa kuna mvutano mkali kati ya wabunge wa CCM wanaopigania katiba ya CCM (uka-CCM) na wale wa upinzani, wanaopigania katiba ya wananchi (UKAWA), ni vema kura ya kuamua aina ya muungano (wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom