KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kama kweli TBC 1 walizima mitambo makusudi basi ndo wameharibu kabisa. Maana sasa watu wengi tunataka kujua Lissu alisema ukweli kiasi gani kiasi kwamba CCM wakashindwa kunywa hiyo shubiri na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uwezekano wa kuwa na serikali tatu na bado ukawa 'Huru' kwa maana halisi ya kuwa huru. 'Marais watatu mizinga 63? Bendera ngapi? Misafara si ndo tutalala barabarani...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
"Waliowengi" wakiongozwa na CCM wamejikuta wamejifunga na msimamo wa serikali 2 na kushindwa kujibu hoja na maswali ya msingi yalioibuliwa na walio "wachache".... Nidhahiri kabisa CCM na...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Lukuvi alisema Wazanzibari wanaotaka kuwa na nchi yao hawawezi kujitegemea, bali wanataka Serikali ili wapate nafasi ya kujitangaza kuwa ni nchi ya Kiislamu. (MWANANCHI 14/04)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii sasa naiona kama mbinu ya walio wengi kutupotezea mtiririko wa maoni ya wachache. Jussa hadi sasa kapewa taarifa mbili toka kwa 'walio wengi' kitendo ambacho kimepelekea mweneyekiti kutoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni baada ya kusema kwamba kuna watu ndani ya CCM wanakuwa wanafki ndani ya bunge lakini wakiwa nje ya kikao wanakuwa na misimamo tofauti!! Baada ya kuruhusiwa kumtaja mmojawapo Kamtaja Paul...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
The smallest minority on earth is the individual. Those who deny individual rights cannot claim to be defenders of minorities. Tanganyika+Zanzibar
0 Reactions
0 Replies
496 Views
Friends & Enemies, With all of my due respect and kwa kuweka Utanganyika wangu mbele i want to take this opportunity to congratulate Mr Tundu Lisu., I am congratulating him for his true heart of...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
wadau nilikuwa naangalia habari,Prof. A Tibaijuka amesema Mh. Kafulila hakuwa sahihi alipokuwa anazungumzia kuhusu "samples" alisema,alichokisema kafulila siyo "stratified sampling" wala...
1 Reactions
104 Replies
10K Views
Serikali yetu ni hodari sana kwa kuunda tume kuchunguza mambo mbali mbali na sasa ni wakati muafaka pia kwa serikali kuunda tume kuchunguza upotevu wa nyaraka hiyo muhimu(hati ya muungano)...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Nimemsikia tundulisu akiongea pumba zake bungeni nikacheka sana kwa msomi kama yule kufikiri kichekechea eti muungano haukupata ridhaa ya wananchi hivyo ni batili. Lakini amesahau siyo kila...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Kama hukubaatika kumsikia lissu jana kabla tbc hawajakata matangazo fuata link hii Kandili Yetu Leo: VIDEO..KAMA ULIMISS...HIVI NDIVYO TUNDU LISSU ALIVYONGURUMA MPAKA TBC WAKASANDA...!
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya TBC kufanya kazi yao kwa weledi uliotukuka kwa kukatisha matangazo mara tu Lisu alipoanza kushusha nondo zake, kesho ni zamu ya Tanesco. Tanesco hawana mkataba na Bunge kwamba umeme...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana jamvi tangu bunge la katiba limeanza ndugu zitto sija msikia hata mara moja kama tulivyo mzoea makeke yake miaka ile 2008-12 bungeni,amepotelea wapi?je ni mwana ukawa?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika kujenga hoja wanasiasa katika bunge maalum la katiba imekuwa ni viroja tupu kwa wachambuzi waelevu. Kweli siasa ni si-hasa! Kwa wasikilizaji wasio makini wamekuwa wakidhani viroja hivyo vya...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Waacheni waende, wapeni wanachodai kuwa wanataka uhuru na dola kamili......!!! Sababu iliyofichika ya wanaodai zibaki serikali mbili ndio zinazosababisha waogope kusema hadharani dhana ya...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
HAIWEZEKANI! 1 Tanganyika iwe nchi nyingine 2 Zanzibar iwe nchi pia 3 Tanganyika au Zanzibar ziwe wanachama wa jumuia au umoja wa nchi na taasisi mbali mbali duniani.Ikifanyika hivyo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tumewasikia wanasheria nguli vijana kwa wazee mpaka leo bado hakujaonekana sababu hasa ya kuunda serikati tatu ya tanzania.wanaotaka serikali tatu wametoa hoja zao ambazo ni 1.muungano hakuwa wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
S2 [YES] S3 [NO], zitatutoa kibaruani
0 Reactions
3 Replies
890 Views
CCM wengi ni wanafiki. Mungu hapendi unafiki, CCM serikali 2 Mtaona madhara YAKE kabla MUNGU hajawapenda zaidi. AIBU!
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom