Nilipokuwa nasikiliza michango mbalimbali ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, nilisikitishwa na baadhi ya michango ya wabunge kutoka Zanzibar. Sehemu ya michango iliyonisikitisha ni kauli...
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Dk. Abdalah Kigwangalla, jana alimtuhumu waziwazi Mwenyekiti Samuel Sitta kuwa anapendelea kundi la walio wachache.
Dk. Kigwangalla, alitoa tuhuma hizo jana wakati...
Hayapa chini ni maoni ya Mzee Mwanakiji kuhusu Uhalali wa Muungano alioutoa 25/4/2010 ila inaonekana mawazo yake yamebadilika kwa sasa....
Jasusi.. unajua wakati mwingine fikra fulani zinaachwa...
Jana wakati Mh. Tundu Lissu anawasilisha maoni ya wachache Bungeni, alichambua vizuri sana maoni ya wasomi maarufu nchini, wakiwemo Mh. Mwakyembe, Prof. Issa Shivji, na wengine ambao hakuwataja...
Kwa kuwa makundi mawili ya kutoa hoja bungeni yameundwa kutokana na maoni yao na sio idadi yao, napendekeza majina hayo yanayoakisi idadi yabadilishwe na makundi hayo yatambulike kwa maudhui...
Hii ishu ya Muungano naifananisha na mtu (Serikali/CCM) mwenye mgonjwa wake. Sasa huyu mgonjwa ana maradhi ya muda mrefu (kero za muungano). Mwenye mgonjwa amekuwa anatafuta tiba katika hospitali...
Nahitaji msaada kufahamu vizuri, baada ya majadiliano kwenye kamati zote 12 juu ya sura ya 1 na 6, kwa rasimu iliyokuja na mapendekezo ya mundo wa serikali 3. Je Theluthi mbili au zaidi...
si siri kuwa hawa wahadhri ndio wamefundisha wanafunzi wengi wa sheria vyuo vikuu na mikataba mingi imekuwa ya hovyo,uendeshaji wa kesi wa hovyo,kubambikia kesi,ni wazi ni matokeo ya uhadhiri wa...
Wakati wa kumsaka mgombea nafasi ya uwenyekiti bunge maalum la katiba wapinzani hawahawa walioungana kwa jina la UKAWA walionyesha hisia zao chanya dhidi ya Mh. Sitta,
Walisahau kuwa ni waziri...
"Miaka Hamsini ya uhuru,watu mbalimbali wamekuwa wakikosoa namna muungano wetu ulivyokuwa na mapungufu mengi ya kisheria na kikatiba.
Lkn kwa bahati mbaya kila aliekuwa akihoji uhalali wa...
CCM mbona mnapenda kuchezea akili za watanzania, kama Zanzibar zaidi ya asilimia 60 walitaka muungano wa mkataba, mnafikiri hapo tena kuna muungano ?
Kuweni na shukurani kwa kazi iliyotukuka ya...
Hii Ni Aibu, upumbavu Na wendawazimu usiotukukika Daima huko Dodoma. Sijui wajumbe wamelewa mvinyo wa Namna gani . Watu mnajadili Muungano kipumbavu at real sence not!!!muungano Ni kitu, kitu...
Nauliza hili swali kwa maana wakati nasoma somo la HIstoria shule ya msingi na secondary niliwahi kuona kwamba eneo la Sultan(ZANZIBAR) lilikuwa pia linajumuisha kilometer kadhaa ndani ya eneo la...
Kwa sasa bungeni kuna vijana ambao wamekuwa na mchango mkubwa sana kwetu huku wengine wakiwa wameshindwa kujenga hoja za kushawishi wajumbe;
Pamela ni moja ya vijana ambao kwa siku ya leo...
....Sasa tumeambiwa hati ipo... ni wakati wa wale wajumbe wachache kujenga na kutetea hoja kuu iliyopelekea tume kupendekeza serikali 3 na si mbili zilizopo sasa...
...Nimemsikiliza Jaji Warioba...
Nimefuatilia kwa makini chanzo cha upinzani kuunga mkono kuvunjika kwa muungano wa Tanzania!
Nimekuja kupata majibu ya fuatayo:-
1. Chadema haikubaliki Zanzibar tofauti na chama cha mapinduzi...
Bunge la katiba linaendelea hapa Dodoma ambapo wajumbe wake mbalimbali wameindeleza ishu ya uwepo wa Serikali tatu na wengine serikali mbili ambapo yafuatayo kwenye post hii ni aliyoyasema Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.