KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hii rasimu ya katiba inayojadiliwa huko dodoma ni ya nchi zetu mbili, Tanganyika na Znz. Wengine tuna jiuliza kulikoni mbona Rais wa upande wa pili wa Muungano hatujasikia maudhui yake kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni naibu waziri wa fedha aliyasema hayo leo akichangia katika bunge la katiba. Mheshimiwa huyu pamoja na kukiri kuwa tatizo la ajira ni kubwa katika mfumo wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Niipongeze ikulu kwa ujasili kusikia kilio cha umma juu ya madai ya hati, hapa inafuatia ile hati feki iliyopelekwa bungeni na ikagundulika kuwa ni ya Kariakoo mtaa wa gerezani. Huu ni ujasiri wa...
3 Reactions
69 Replies
9K Views
Swali Tanganyika ilikufa lini? Tanzania haijatajwa kabisa.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mi najiuliza ukawa walifikiria nin hadi kumpa mbowe uenyekiti! Mbowe ameonyesha mapungufu katika kuongoza taasisi. Ameongoza cdm wadadisi wa duru za siasa za tz wote tunajua inakoeleke hata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF; Tangu Bunge Maalum la Katiba (BMK) lianze vikao vyake Dodoma nimekuwa miongoni mwa watu ambao wanafuatilia mjadala huo kwa karibu sana. Nimejifunza kitu kimoja ambacho kiukweli naamini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Muungano wetu umezunguukwa na vichaka vingi mno ambavyo bila ya watu kuanza kuvifyeka na kuvisafisha kwanza muungano wetu hautasalia kamwe. Wale wenye miungano iliyovunjika hawakuwa wajinga kuliko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
najiuliza pia kiakili atakuwa ktk hali gani? binafsi ningependa kuonana naye. naomba nielekezwe nyumban kwake .je maalim seif amewah kwenda mwomba msamaha kwa aliyomkosea? je kwa sasa baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Walipodai hati ya muungano sikuwaelewa. Wameiona hati ya muungano sijawaelewa wanataka kufanya nayo nini ? nitawaelewa zaidi wakija na hoja za kudai- 1-ule mchanga wa tanganyika na zanzibar...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ukisikiliza audio ya mh.Mbowe juu ya ufafanuzi wa maoni ya walio wachache alisema Makonda na wenzake wanahofia CCM itawashughulikia kwa kuwa hawaungi mkono serikali 2! Vijana wawe majasiri wasiwe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau ukifuatilia kwa karibu mjadala unaoendelea ndani ya BMLK na kwingineko nje ya bunge hasa katika mjadala juu ya muundo wa muungano kuna suala moja linajidhirisha wazi,nalo ni kuwa hakuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kijijini kwangu mwaka 1984 kuna jiwe la msingi kwenye kituo cha afya kinachoendeshwa na kanisa katoliki likisaidiana na serikali kama kuwezesha kitua hiki kutoa huduma kwa bei rahisi sana ama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama kuna Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba ambao nimetokea kuwakubali sana hivi sasa basi Maria Sarungi ni mmoja wao. Sio siri leo ndiyo mara yangu ya kwanza kumsikia dada huyu...
10 Reactions
83 Replies
10K Views
Wakati kanuni zinatungwa hata mimi niliamini kwamba kura ya siri ndiyo sahihi ili kulinda wanaotarajiwa kusakamwa kwenye vyama vyao. Kila mmoja wetu aliamini hivyo. Tulipima mazingira na bila...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Nimeangalia bunge nilichokiona ni wajumbe wa kundi linalojiita la wengi hawachambui rasmu Bali wanawachambua wajumbe wa tume binafsi hasa Mzee Warioba.Nilitegemea kama bunge letu lingekuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hadi dakika hii wajumbe wa Bunge la katiba wanajua kwamba wanaweza kukwamisha process hii y akatiba halafu kwa kiingereza tunasema "they get away with it", yaani wanaondoka bila kuwajibika...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Ndugu wana jamvi kwakua kanuni za bunge la katiba zina ruhusu kumuita bunge m/kiti wa iliyo kuwa tume ya katiba mpya,mimi nashauri aje atoe ufafanuzi wa hoja kuu mbili;moja kwanini tume...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi toka zanzibar tunaomba mtupatie mwelekeo na hali ipo je huko zanzibar mpaka sasa kuhusiana na mjadala unao endelea dodoma wa katiba mpya,je wanapokeaje hoja na mijadala mbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika wabunge wote wa bunge maalum naona mchango wa Dr. Bernadetha Kiliani ni mchango bora zaidi. umejengeka katika misingi ya busara na ukweli. NAKUPONGEZA MAMA. Au unasemaje mdau
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hajawahi fanya shughuli yoyote ya kitaifa Zanzibar , Hana ofisi hata moja Zanzibar , hajawahi fanya ziara hata ya kujipendekeza Zanzibar. anaitwaje WAZIRI mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom