Kwa mda mrefu nimekuwa nafuatilia siasa za mwenyekiti wa chadema taifa ndugu mbowe,amekuwa akifanya siasa za harakati na mapambano ambayo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kukipa sifa chama chake kwa...
Nachukua nafasi hii kumsihii Raisi kuvunja baraza la Katiba. Kwa mtazamo Hamna katiba itayopatikana kwa jinsi lilivyotekwa Na misimamo ya vyama vya siasa Na mipasho badala ya hoja juu ya hoja...
Waungwana kwa kinachoendelea bungeni Dodoma nimeyaamini maneno ya Mwalimu J. K. Nyerere kuwa "nje ya muungano hakuna Zanzibar.'' Yatatokea maneno ya sisi Waunguja na wao Wapemba.
Leo...
Niliwahi na kuja na uzi unaosema "Mnaoitaka Tanganyika hamna hoja za msingi, mnafuata mkumbo tu"
Nataka niwaulize nyie mnaosema mnaitaka Tanganyika; Tanganyika ni eneo wa mikoa na makabila...
MTANGANYIKA NA MZANZIBARI.
Hawa ndio watu wakulaumiwa. Kwa sababu Wingi wa wabunge wa CCM, wanaonekana wazi kutaka kulazimisha Muungano wa Serekali Mbili wakati wanashindwa kihoja na wanaotaka...
CCM msidanganye watu, Baba wa Taifa aliwahi kuruhusu wananchi kuondoa mabaya na kuacha mema. Badala yake ccm mkaondoa azimio la Arusha kwa vile liliwazuia kuiba na ulafi. Mnakua viwanda na sasa...
Tangu wiki iliyopita wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakisisitiza kwenye bunge maalum la katiba kuandikwa upya kwa historia ya nchi yetu....
Leo Mbowe kasisitiza kuwa hii ndio nafasi ya...
Heshima Kwenu Great Thinkers.
Nashawishika kuna mengi ambayo sisi wananchi wa kawaida hatujui au pengine hatuelewi kuhusu hali inayoendelea.
1. Naomba kuuliza kwa dhati kabisa; Ni nini maslahi...
Katika kutafari kwangu na kufuatilia kwa makini hoja zinazoitwa hoja nzito za serikali3 nimegundua hazina uzito na kwa namna moja nimezifananisha na ushuzi makali!
Kunawatu hawana hoja bali...
Hivi kiongozi mwemye akili timamu kusema eti sababu ni za kiusalama haiingii akilini.mbona Taupo nayo mbali sana Maji yametutenga sababu hii ingekuwa nzuri kama tungeungana na RWanda au Burundi...
1. Hati ya makubaliano ya Muungano ya mwaka 1964 ndiyo msingi wa kuwa na muundo wa Serikali mbili ambapo Zanzibar ilikubali kuhamishia sehemu ya mamlaka yake hasa yanayohusu masuala ya muungano...
Zifuatazo ni kauli za mjumbe Mh. Joseph Mbilinyi ambae pia ni mbunge wa Mbeya mjini April 15 2014
1. Wabunge Wakristo hii ni kwaresma, ni kipindi cha toba mnatumia kipindi hiki kufanya unafiki...
Kuna wakati najiuliza maswali mengi kuhusu muundo huu wa serikali tatu ambao 'walio wachache' wanaupigania ndani ya bunge maalum la katiba,
1. Je ni zote zitakuwa na mamlaka kamili?
2. Kama zote...
Kuna mjumbe wa ccm tena aliwahi kuwa waziri wa nchi hii,amesema watarudisha ile ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuondoa kero ya muungano.Maswali ya...
Wana jamvi na wananchi kwa ujumla, Tume ya jaji Warioba ilipendekeza kuwapo kwa serikali tatu, ya Muungano ambayo ipo, ya Zanzibar ambayo pia ipo na serikali ya Tanganyika ambayo sasa haipo. Cha...
Mjadala wa muundo wa muungano umeibua mapenzi ya hali ya juu kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere toka kwa wana CCM.
Onyesheni upendo wa dhati kwa mwalimu kwa kurudisha azimio la Arusha na miiko...
NA WAANDISHI WETU
15th April 2014
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Jussa Ladhu, amewalipua mawaziri watatu wa Zanzibar kuwa ni ‘wanafiki' kutokana na kushindwa kusimamia msimamo...
Kwa hali inavyokwenda bungeni Dodoma kunaonekana ufa mkubwa sana kati ya Cuf na Ccm. Wamefikia hatua ya kubaguana mara huyu ni mwarabu, mara huyu ni mpemba, mara hawa wanataka kurudisha usultani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.